#COVID-19: Tuwajibishane

#COVID-19: Tuwajibishane

cariha,
Watu wenye mamlaka ya kuweka zuio hilo inawezekana wanafaidika na kutokuwepo kwa zuio.(I mean the highest office).

Imagine, Iringa mkuu wa wilaya alisema wanaotokea Dar wawekwe karantini, baada ya muda akatengua kauli.

Same kwa Chalamila, mkuu wa mkoa Mbeya, alisema bar zifungwe nadhani saa 3, baada ya muda akafuta hiyo kauli.

What do you think, wamebadili msimamo au wamelazimishwa kubadili msimamo? Kwa manufaa yepi?
 
Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Paskali acha kutetea ujinga, mbona umekua lipuuzi namna hii? Magufuli anatakiwa ajitokeze sasa, aoneshe njia. Kama u-Rais umemshinda ajiuzulu, apishe wengine wenye ujasiri na weledi katika vita hii.
 
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Tatizo maneno ni mengi kuliko matendo. Hivi kwa mfano imeshindikana nini kufunga baa na night clubs?
 
Watu wote tungelikuwa vigilant kama Zito, labda hali ingelibadilika
Katika kipindi nimemkubali zitto ni kipindi hiki. Amekuwa mstari wa mbele kuelimisha na kutoa miongozo ambayo ina faida sana kwa taifa dhidi ya hili gonjwa. Nasikitika tuu sio serikali ama viongozi wa serikali mmoja mmoja wanaomuelewa
 
Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Sasa P rais wetu anapambania wapi? Sisi tulianza kuripoti case ya kwanza nyuma ya uganda. Lakini elimu na mwongozo alioutoa Mseven umeifanya Uganda kuwa nchi pekee EA ambayo bado haijapata.mtu aliyekufa kwa covid 19. Hata hivyo maambulizi yanabaki kuwa chini kuliko nchi nyingine za EA.

Sasa je tudharau uwajibikaji wa m7? Ona Rwanda Paul is doing very great na ataanza kuingiza wagen very soon see where we are as a nation number of infected people is increasing by double digits.

Do ypu still think it's ok?
 
Sasa P rais wetu anapambania wapi? Sisi tulianza kuripoti case ya kwanza nyuma ya uganda. Lkn elimu na mwongozo alioutoa m7 umeifanya uganda kuwa nchi pekee EA ambayo bado haijapata.mtu aliyekufa kwa covid 19. Hata hivyo maambulizi yanabaki kuwa chini kuliko nchi nyingine za EA.

Sasa je tudharau uwajibikaji wa m7? Ona Rwanda Paul is doing very great na ataanza kuingiza wagen very soon see where we are as a nation number of infected people is increasing by double digits.

Do ypu still think it's ok?
kutoka 2 april mpka 20 april kuna ongezeko la la 1,170% ( by Zito!)
 
Ameonyesha utu kujali.na kuwa solution oriented. Kipindi hiki amekuwa ni mtu.mwenye solution zaidi kwenye kila changamoto. Kitu ambacho watawala wangekitumia pengine tungekuwa past covid 19 saa hizi
exactly
 
Kaka Zitto unapambana sana na kutoa ushauri mzuri sana.

JPM siyo kiongozi wa kumtegemea kwenye majanga na ujenzi wa uchumi wa nchi. JPM ni Manager wa kusimamia kujenga barara,madaraja,kununua ndege,kujenga reli,kujenga mabwawa ya umeme. Kwenye usimamizi yupo vizuri sana na hili ndiyo liliwandanya akina Mkapa na JK.

2015 Mzee Mwapachu aliandika makala moja akasema JPM is a Manager and not a leader, kipindi kile sikumuelewa lakini baada ya mwaka mmoja nikamuelewa.

Yaani JPM akisimama tu kuongelea COVID-19 lazima aharibu bora aendelee kujificha huko Chatto,tumeona akinena kupitia Kinywa cha Bashite ni mashudu matupu. Akae kimya tu ndiyo Raisi wetu kuliko kuongea akachafua hali ya hewa.
 
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
To fight as one wakati wengine wamejificha!
Bro .
 
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Tunasimamaje pamoja wakati wote tunasubiri kauli ya mtu mmoja tuu kuliokoa taifa letu.
 
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Mkuu P. Tusimame pamoja katika lipi?? Tusimame pamoja katika maombi? Tusimame pamoja kuficha takwimu sahihi za cases za _19? Naamini mkuu kwa umri wako ulipata mafunzo ya JKT. Hivi ukiwa kwenye mapambano mmoja akihatarisha usalama wenu unasubiri mpaka mwisho ndipo uchukue hatua??

Kwenye mpira wa miguu inapolazimu team captain hutolewa na kitamba/jukumu hupewa msaidizi na mpambano ukaendelea.
 
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Sasa huyo rafiki yako mpo pamoja au kakimbia. Uliwahi kuona wapi namba moja anakuwa likizo nchi ikiwa vitani? Au wewe hujui kuwa tupo vitani?
 
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Unaweza kutafsiri hicho ulichokiandika? Kwangu mimi tafsiri ya ulichosema ni hii: Kwanza umesema tuko kwenye mapambano. Maana yake tuwe na silaha imara ili tushinde pambano. Sasa hapo silaha ni ipi? Zitto kapsema tuwe na bajeti ya dharula. kwangu mimi hiyo ni silaha ya mapambano usemayo.

Pili, unasema ni wakati wa kusimama pamoja. Zito kasema tuangalie tusije tukawapoteza wataalamu wa afya na tuangalie uwezekano wa kuzisaidia kaya kumudu maisha.Pia kasema kiongozi mkuu awe mstari wa mbele kuongoza mapambano, yaani tumwone anayetuonyesha njia kupambana, tusiachane huyu kajificha huku yule kajificha kule na mwingine ambaye ni kiongozi hajulikani alipo.

Kwangu mimi hiyo ndio maana ya kusimama pamoja. Sasa kwa tafsiri hii ya ulichokisema wewe mwenyewe huungi mkono nini? Labda ungesema ABC nakubaliana na ABC siungi mkono. Unatetemeka nini? Msizifinye akili zenu kiasi hicho, mtapumbaa.
 
Sasa atoke Chato aje wapi? Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, Dar, Mtwara, Iringa au? kama anaweza kuwepo sehemu moja kwa wakati mmoja basi ata Chato sio shida.

Muhimu strategies ziwe na mrejesho chanya.
 
Ni ushamba wa wenu kutokujuwa serikali inafanyaje kazi, sio lazima mtu awe sehumu fulani ndio kazi inaendelea.
Mkuu kama ingekua hivi basi Nyerere ama Churchill wasingeenda front ya vita kuongoza mapambano ya kijeshi ili kuwatia morale wanajeshi wao kisa tu hii principle yako ya serikali inafanya kazi ikiwa popote!!

In times of crisis, the big man's public presence is of high essence.
 
Back
Top Bottom