#COVID-19: Tuwajibishane

#COVID-19: Tuwajibishane

Huwa kuna wakati nawaza kuwa huenda CCM wanayo agenda ya siri kuhusu huu ugonjwa, huenda wanachukulia kaama fursa! Sijaona mtu yoyote wa CCM akiwa active kwenye hili.
 
Zitto,
Uwe na utulivu.
Huu si wakati wa politics. Ni wakati wa kuwasikiliza wataalamu wa afya. Channel mawazo yako huko ili kamati husika ije na neno la kuwasaidia Watanzania.

Hatuwezi kusikiliza matamko ya Kila mtu mtandaoni, please take a break.
tupambane na Korona huku tukiwajibishana na tuwajibishane huku tukipambana na Korona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.... hatari sana! Huwa nimejiuliza sana; hivi hawa waheshimiwa mazingira yao ya maisha safi kabisa; barabarani ni ma-V8-R ya maana full viyoyozi; majumbani kwao nako safi; kipato elites kwa standards za nchi hii. Sasa kama mtu kama huyu corona imemfikia; huku uraiani tunakobanana kwenye madaladala na mamwendo kasi tutapona kweli? Hali inaogofya sana.

Kweli mkuu, Hao elites waendelee kujidanganya watumie Covid-19 kwa manufaa yao yaliyojificha, lakini gongwa hili halichagui nyumba ya tajiri, kiongozi wala wanyonge, covid-19 ni sawa na upepo wa kisulisuli wa jangwani unatufuata na kutuletea wote virusi vya coronavirus bila ubaguzi

HOW COVID-19 KILLS--I'm a Surgeon--And Why We Can't Save You



Source : Duc C. Vuong
 
Ila pamoja na mambo mengine yote kitendo cha rais kwenda kukaa chato kwenye vita kinaacha maswali mengi sana kama kweli tuna mtu mzalendo kwa taifa lake.
Kipi bora zaidi kati ya rais kubaki Chatto ambako ni salama na kuongoza mapambano remotely au aje mstari wa mbele na ku risk kuambukizwa?.

Watu tumeisha sikia the consequences za Corona kwa watu wenye underlying symptoms za magonjwa mengine that has to do with uwezo wa mwili ku produce antibodies against Corona virus, do we have to kumu exposure Amiri jeshi Mkuu wetu to such risks ili tuu watu wamuone tuu anaongoza mapambano kutokea the usual expected command post, wakati kutokana na maendeleo ya kisayansi na kitechnolojia, anaweza kuongoza mapambano from anywhere?.

No, Amiri Jeshi Mkuu wetu abakie mahali salama for as long as it takes na endelee kuongoza mapambano remotely from there.

P
 
Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Mkuu Ng'wanangwa, kulikuwa na vitu vya kuoiga kivyetu lakini na vya kuiga vilikuwapo! Bila kificho Huyu mzee ametuangusha sana tofauti na matarajio yetu!

Hivi kwa mfano siku tumepata mgonjwa wa kwanza Dar angesema hakuna movement ya mkazi wa Dar kwenda mkoa mwingine si angefunga goli la uhakika?

Sasa ona maambukizi yanavyokimbiza na yeye kajifungia Vyato wala hatujui atarudi lini?
 
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Nani anatakiwa kusimama pamoja na nani Pascal Mayalla?
Nani anatakiwa awe mstari wa mbele kwenye hii vita!?
 
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Kaka pascal, unaweza niona nakutweza sana ktk kila post zako hasa zinazohusu maamuzi mabovu yanayofanywa na viongozi wakuu wa nchi hususan Rais.

Huwa najiuliza hivi wewe pascal unamjua Mungu aliyehai kweliii au?
Fahamu zako ziko sawa kweli!!!!!

Au huamini kuwa kuna jehanam?

Unashabikia maamuzi ambayo kwa mtu anayemjua Mungu muumba mbingu na nchi anafahamu kuwa ni maamuzi yanayotoka kuzimu 100%

Ulishangilia maamuzi ya kila mtu apige kazi, ukapost MAGUFULI OYEE.
au umesahau?

Why! Leo asitafutwe mchawi?
Mayalla kalamu yako inampotosha sana Rais tena unastahili hukumu ya watanzania.

Tufike mahali tukubali kusema hii ni nyeusi na siyo njano.

Hebu ona tunashindwa na tunchi tudogo kama rwanda, uganda, burundi.

Manchi ya wenye akili yanapata taabu juu ya corona wewe nani hata useme ka ugonjwa kadogo tu.
Mbona sasa umejichimbia ndani?

Kagonjwa kadogo kwa wenzako(watanzania) wewe kwako linakutisha siyo?

Ivi mliamini wachina,waingereza, wa usa,nk wanadhambi na hawana Mungu ndiyo maana wanapigwa na kuuliwa na corona siyo!? Leo hii mnarejea vifungu vya biblia na korani huku mko mafichoni. UJASIRI ULE UKO WAPI PASCAL!!

Baba ukinya mavi juu ya dinningtable hutozuwia mke na watoto kulaumu.
NAIKEMEA ROHO YA SHETANI NDANI YAKO, KWA JINA LA YESU MTOKE HUYU.
AMINA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naona Raisi ahutubie taifa na kuhimiza watu kujikinga maana matamshi kuwa haka kagonjwa ni kadogo watu wachape kazi, ilifanya raia wengi wapuuze hii corona kumbe ni serious matter ni vizuri ku act mapema ili kudhibiti usambaaji sio wengine wamedhibiti sisi ndo tunabaki na corona na Watanzania Sasa waanze kuogopwa na kila nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trust me maamuzi mengi yanatoka humu JF,na sisi kwa sisi tuwajibishane!!!! nina uhakika 100% hili la partial lockdown lilipingwa na wanaJF wengi (tena wengine nakumbuka majina yao)...

Sijui sasa hivi wanawaza nini...ni kwa vile tu JF inazuia kuwataja members wengine..lasivyo leo ningewatajaaaaa woote...mmesababisha ugonjwa huu uenee pumbav.u zenu!!!!!!!!!!

Inazuia name calling (revealing true identity of the member).

Ila kutaja nani alisapoti lockdown au hakusapoti unaruhusiwa.

At the same time, nikiwa moja ya watu ambao hawasapoti lockdown, bado nitailaumu serikali kwa nini haikuweka lockdown mapema.
 
Kusimama pamoja ni pamoja na kushauri kama wanavyofanya wapinzani, Zitto na ACT wakiwemo.

Kama ushauri unapuuzwa huku madhara yanaongezeka,ni kwanini wahusika wasitakiwe kuwajibika?

Kama ni kuwajibika serikari zote duniani zitawajibika hakuna zitakazobaki, tusifanye hili jambo la kisiasa, chi zenye uwezo zimeshindwa kuzuia watu wao kufa itakuwa tanzania? Na kila kitu sio lazima ulazimishwe, chukua hatua kaa nyumbani kama una uwezo. Fuata masharti na ushauli wa matabibu.

Cha kushangaza wote wanaotaka watu wabaki nyumbani, wao utakuta mpo mtaani mnazurura bila kazi ili mpate taarifa vijiweni muwahi kuandika humu JF, Kaa nyumbni jali afya yako, usitarabu sio kusukumwa.
 
Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Kina zitto ni makanjanja lakini subiri hili suala litaisha bila uharibifu mkubwa kisha watatia aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naona Raisi ahutubie taifa na kuhimiza watu kujikinga maana matamshi kuwa haka kagonjwa ni kadogo watu wachape kazi, ilifanya raia wengi wapuuze hii corona kumbe ni serious matter ni vizuri ku act mapema ili kudhibiti usambaaji sio wengine wamedhibiti sisi ndo tunabaki na corona na Watanzania Sasa waanze kuogopwa na kila nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Rais yuko safe (at least that is what he thinks).

Rais hana watu wa kumshauri, sidhani hata kama anao huwa anapokea ushauri.

Tuendelee kupambana at personal level, ila at National Level ni tatizo. Imagine hali ilivyo Dar lakini bado watu wanasafiri kwenda mikoani bila kizuizi.
 
Zitto upo sahihi...

Uchumi unarekebishika hata kama ni kwa miaka 10 ijayo ...uhai hauna spare!!
 
Rais yuko safe (at least that is what he thinks).

Rais hana watu wa kumshauri, sidhani hata kama anao huwa anapokea ushauri.

Tuendelee kupambana at personal level, ila at National Level ni tatizo. Imagine hali ilivyo Dar lakini bado watu wanasafiri kwenda mikoani bila kizuizi.
Kwa muingiliano huu ni kazi mno kufanya personal level, 80% tunategemeana!!

Lockdown hasa ya mkoa kwa mkoa ingesaidia kwa kiasi kuzuia ugonjwa usisambae.
 
Back
Top Bottom