#COVID-19: Tuwajibishane

#COVID-19: Tuwajibishane

No one is safe kwenye hii corona imagine Boris Johnson,mwana mfalme Prince Charles aliupata ndo sisi aisee.

Ukisema at personal level utajichunga how about community ambayo haijali hzo tahadhari, pia nchi nyingine ziki control corona ujue Watanzania tutaanza kubaguliwa, na hao watalii wagome kabisa kuja kisa hatukuchukua serious measures?
Ni vizuri kuanza kuchukua serious measures honestly
Rais yuko safe (at least that is what he thinks).

Rais hana watu wa kumshauri, sidhani hata kama anao huwa anapokea ushauri.

Tuendelee kupambana at personal level, ila at National Level ni tatizo. Imagine hali ilivyo Dar lakini bado watu wanasafiri kwenda mikoani bila kizuizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maambukizi kutoka tarehe2/april-20 april ongezeka la wagonjwa ni 1,170%! With this date hakuna lolote llinafanywa la maana
Corona inachukuwa muda mrefu kujitokeza kwenye mwili wa mwanadamu, kama Corona kuingia Tanzania itakuwa imeingia mda mrefu nyuma kuliko April 2020. Hata kama serikali ingefunga border zote baada mgonjwa wa kwanza, case za corona zingekuwepo Tanzania kutokana na dunia ilivyo hivi sasa.

Ukisema hakuna kitu serikali imefanya, ulitaka kuona nini kinafanyika? je hakuna hospitali zinatibu wagonjwa na wengine wapo quarantine? Au ndio mlitaka kuona LOCKDOWN na watu wanateseka kawa kukosa chakula na kipato?

Au ulitaka wakulima wasiotumia mvua zilizopo kulima na nchi ingie kwenye janga la njaa huku tukiomba misaada ya chakula kutoka nje?
 
Watu wote tungelikuwa vigilant kama Zito, labda hali ingelibadilika
Hata isingehitaji watu wote.

Tungekuwa na watu watano tu wa aina ya Zitto katika kuyazungumzia mambo mbalimbali ya nchi yetu bila kuchoka, Tanzania ingekuwa tofauti na ilivyo sasa.

Sielewi Mh Zitto hii nguvu na kutokata tamaa anakutoa wapi!

Maana watu wenyewe (waTanzania) anaowaelimisha ni kama wameziba masikio na wala hawana macho ya kuona.
 
Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Mkuu uko serious kweli?
 
How do we stand together and fight while our commander in chief has abandoned us?
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trust me maamuzi mengi yanatoka humu JF,na sisi kwa sisi tuwajibishane!!!! nina uhakika 100% hili la partial lockdown lilipingwa na wanaJF wengi (tena wengine nakumbuka majina yao)...

Sijui sasa hivi wanawaza nini...ni kwa vile tu JF inazuia kuwataja members wengine..lasivyo leo ningewatajaaaaa woote...mmesababisha ugonjwa huu uenee pumbav.u zenu!!!!!!!!!!
Kuna njia nzuri ya "kuwataja" bila kuwataja.
'Quote' waliyoandika.
 
Ukisema hakuna kitu serikali imefanya, ulitaka kuona nini kinafanyika? je hakuna hospitali zinatibu wagonjwa na wengine wapo quarantine? Au ndio mlitaka kuona LOCKDOWN na watu wanateseka kawa kukosa chakula na kipato? Au ulitaka wakulima wasiotumia mvua zilizopo kulima na nchi ingie kwenye janga la njaa huku tukiomba misaada ya chakula kutoka nje?
Kinachofanyika na serikali iliyo makini hakitoshi, ni mchezo mchezo as if tunatibu mlipuko wa malaria!
 
Kwa muingiliano huu ni kazi mno kufanya personal level, 80% tunategemeana!!

Lockdown hasa ya mkoa kwa mkoa ingesaidia kwa kiasi kuzuia ugonjwa usisambae.

We are doomed.

Mungu tu ndiye atatunusuru.
 
April 21, 2020
Dar-Es-Salaam, Tanzania

DC SARAH MSAFIRI KUHUSU CORONA : "KIGAMBONI KUONGEZEWA PANTONI NYINGINE WATU WANAFIA NYUMBANI"

Wilaya ya Kigamboni ipo mkoani Dar Es Salaam, Tanzania. Na wakaazi wake kuingia mjini kati maeneo ya Posta hutumia usafiri wa pantoni kadhaa kuvuka rasi hiyo iliyo mkabala na eneo la katikati la jiji hilo kubwa kuliko yote Afrika Mashariki.

Source : millard ayo
 
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Rejea kwenye Maandiko yako ulikuwa unaunga mkono watu kuendelea kufanya kazi, na kudai Corona ingelipita, Nikakwambia (muda utaongea). Ila sishangai maneno yako kwani wewe ni moja ya wandishi wa Habari wasio jitambua.
 
Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Kwa mara ya kwanza mkuu p umepoteza dira (totally off topic) na hoja ya Zitto....sijui kwanini ila some time nakuamini plz revise your stand and argue like a non partisan journalist

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha...jiwe anaendesha nchi kwa rimoti? Mkuu anawaogopa sana wapinzani sasa amefikia hata kwenye corona anaogopa kuongoza mapambano anataka sisi tuchpe kazi yeye anachapa usingizi?

Mama Samia ndo kapotea kabisa! Inatia hasara sana ni kweli kuna haja ya kuwajibishana sasa mana viongozi wa serikali hii wanafanya utani na maisha. Inatosha kutuharibia uchumi wa nchi kwa miaka 5 lkn sio kutaka kututesa na corona kirahisi hivi.
 
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Tunasimamia pamoja wapi? Dar, Dom au chato?
 
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Tunasimama pamoja tunahitaji kiongozi pia. Sasa kiongozi atakuwa yule yule aliyetufikisha hapa au tunatafuta mwingine wa muda
 
Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Kwa hiyo anafanya mapambano yasiyoonekana? Yeye ni mtu asiyejulikana?
 
Hii tabia ya Rais wetu kujifanya et hawezi fata ushaur wa wapinzani itamkost sana. Na nilichogundua, hawa wapinzani wanampa ishauri mzuri wakijua kabisa kuwa ataupuuza au atajaribu kuact opposite ili wapinzani waonekane hawafai. Kumbe ndyo anapotea njia.

Ref: Sukari, korosho na hivi sasa corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na uwingi wao na matumbo yao makubwa sijawahi kuona ushauri wowote wa mbunge au kiongozi wa ccm wote wanaimba mapambio ya mataga tu basi
 
Tunasimama pamoja tunahitaji kiongozi pia,sasa kiongozi atakuwa yule yule aliyetufikisha hapa au tunatafuta mwingine wa muda
Tutafute wa muda....Tumuondoe huyu tumwite Tundu Lissu atuongoze kwa miezi hii mitano kabla ya uchaguzi....ITAKUA POA SANA
 
Back
Top Bottom