Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

Eti ameletwa dereva wa Uber anasema watekaji wazungu! Mbona walio kuwa ndani ya gym hakuna aliyesema kuna mzungu? Au huyo Uber ni 'wasiojulikana' naye?
Ukianza kula nyama ya mtu hauachi, na siku ukikosa mtu hata mama yako anageuka asusa
Very true
 
Hiyo article ya african intelligence nani kaweza kuisoma yote atuwekee hapa ambao tumeshindwa subscribe?
 
mmeanza kuja na habari zenu za kufikirika.
Chadema Wana steam out frustration zao kwa Mo Dewji baada ya kukimbiwa Na mbunge wao wa Ukerewe .Ndio maana unaona wamekazania sana hizi habari. Pigo walilopata ni kubwa wahurumie tu
 
imageresize
Billionaire Mohammed Dewji, head of MeTL, is targeted by President John Magufuli.

Still vigorously pursuing his moralistic campaign to clean up the business sector, President John Magufuli, nicknamed Tinga Tinga (bulldozer in Kiswahili), has decided to go after Mohammed Dewji, the owner of Tanzania's second largest conglomerate, MeTL (Mohammed Enterprises Tanzania), and....

TANZANIA : Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?
Hakuna aliyeweza kuipakua hiyo habari then aibandike hapa? Naona kuisoma yote lazima uwe "subscribed"
 
Something might have went wrong..!
SIKU MAMBO HAYA YATAKAPOKUWA WAZI NA AKAFAHAMIKA KIGOGO ALIYENYUMA YA MATUKIO YA KIFEDHULI NATUMAI KUNA WATU HUMU WATAJIFUTA WENYEWE, LAKINI KWAKUWA MATAJIRI WAMEANZA KUINGILIWA NA HILI JINAMIZI BASI MUDA SI MREFU KILA KITU KITAKUWA WAZI.
 
Na Chadema inawagharimu sana ndio 202o mbunge wa Chadema akirudi niite mbwa I officially declare official war with Chadema Since they have decided to war with CCM in all fronts I welcome them to the war zone in all fronts wether political , business etc and their supporters Chadema members and supporters be prepared .Vita haina macho mtatutambua
That sounds good.
Mbona huyu Lumumba mwenzako hujamrekebisha kwenye kingereza chake cha ugoko lakini kutwa kiguu na njia kurekebisha wengine ?
 
Na Chadema inawagharimu sana ndio 202o mbunge wa Chadema akirudi niite mbwa I officially declare official war with Chadema Since they have decided to war with CCM in all fronts I welcome them to the war zone in all fronts wether political , business etc and their supporters Chadema members and supporters be prepared .Vita haina macho mtatutambua
Kiingereza cha wapi hiki???!! Something might have went wrong!!!!??? No no no...Something might have gone wrong
Hii hukuiona ?
 
Mambo yameanza!!
Hili saga wasiojulikana watapatikana sasa hivi... bad timing bashite. Alizoea kuwapoteza wasio na sauti hili pichu itambana dammit.
Mungu amemwanika peupe
Forbes watafuatilia mwisho wa uharamia huu ni sasa bashite na genge lake wajiandae kuwekwa mambo hadharani.
Huko aliko anazunguka nyumba mara kumi kumi dammit
Time will tell ndiyo hii
 
Back
Top Bottom