Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

Siamini kabisa kuwa Serikali yetu ya Awamu ya Tano inaweza kumdhuru mtu kama MO kwa kuwa ni mwekezaji mkubwa na serikali ndiko inakoelekea. Acheni kuleta chuki na fitina kwa articles ambazo ni za kishabiki na ki activists ili kuipaka serikali matope.

Swali ni kwanini serikali ihusiswe mbona huko nyuma mauaji na utekwaji wa wafanyabiashara kamwe serikali haikuhusishwa nini kimebadilika?
 
Eti ameletwa dereva wa Uber anasema watekaji wazungu! Mbona walio kuwa ndani ya gym hakuna aliyesema kuna mzungu? Au huyo Uber ni 'wasiojulikana' naye?
Ukianza kula nyama ya mtu hauachi, na siku ukikosa mtu hata mama yako anageuka asusa
Mkuu yaweza kuwa plastic surgery au mask, intelligentsia ya Sikh hizi iko bize kuua Chadema.
 
Duh hadi kero sasa..yani kila tukio linageuka sera ya siasa,acheni ushabiki wa ki-siasa wa namna hii.

Huu ungekua muda mzuri kupiga kelele tume huru ya uchaguzi

Huu ungekua muda wa kupiga kelele katiba mpya...na mengine kibao
Ikifika tena 2020 tutabaki kulialia na kuzidi kuongozwa na ma-lofa wa CCM
Mbona hatuja kuona unapiga hizo kelele? Au nyie ndio wale wasemao "hayatuhusu hayo!"
 
Duh hadi kero sasa..yani kila tukio linageuka sera ya siasa,acheni ushabiki wa ki-siasa wa namna hii.

Huu ungekua muda mzuri kupiga kelele tume huru ya uchaguzi

Huu ungekua muda wa kupiga kelele katiba mpya...na mengine kibao
Ikifika tena 2020 tutabaki kulialia na kuzidi kuongozwa na ma-lofa wa CCM
Sasa ni zamu ya ccm wenyewe kuidai katiba mpya, wapinzani waishatimiza wajibu.
Kama wameanza kutekana hili hata lisu alilitabiri
 
Hivi kumbe hili tukio la kisiasa?

Maana naona kwenye jukwaa la siasa
 
nikiwa na mbili kichwani kiingereza kinashuka chenyewe lakini kavu kavu majanga ungenikosoa hadi basi.
 
Rostam Aziz kama aliota vile akahama. Mo kachelewa sn
 
Ndio bavicha walivyo hivyo.
Na Chadema inawagharimu sana ndio 202o mbunge wa Chadema akirudi niite mbwa I officially declare official war with Chadema Since they have decided to war with CCM in all fronts I welcome them to the war zone in all fronts wether political , business etc and their supporters Chadema members and supporters be prepared .Vita haina macho mtatutambua
 
Na Chadema inawagharimu sana ndio 202o mbunge wa Chadema akirudi niite mbwa I officially declare official war with Chadema Since they have decided to war with CCM in all fronts I welcome them to the war zone in all fronts wether political , business etc Chadema members be prepared .Vita haina macho mtatutambua
That sounds good.
 
Back
Top Bottom