Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

Siamini kabisa kuwa Serikali yetu ya Awamu ya Tano inaweza kumdhuru mtu kama MO kwa kuwa ni mwekezaji mkubwa na serikali ndiko inakoelekea. Acheni kuleta chuki na fitina kwa articles ambazo ni za kishabiki na ki activists ili kuipaka serikali matope.
Nawaza sijui familia ya Azori, Ben na Roma watakufikiriaje wakiisoma hii kuhusu serikali
 
Mambo yameanza!!
Vitu kama hivi sio vya kufurahia.
Habari kama hii huonesha kuna uwezekano wabaya wa Magufuli wamemteka Mo ili achafuliwe Magufuli na serikali yake.

Lengo aindolewe Magufuli waje waendelee kutafuna rasilimali za taifa letu.

Hata kama wapinzani hamtaki Magufuli basi kwa hili msiwape nafasi maadui wa taifa watatuletea machafuko ambayo tutaishia kuwa kama Sierra leon, Liberia, DRC, Central Africa, South Sudan, n.k.
 
"Nyerere was an outward-looking globalist who saw Tanzania as a leader in world affairs. Magufuli, on the other hand, is an inward-looking provincial nativist who wants a Tanzania for Tanzanians alone."
For him alone
 
Kwani Mo kaikosea nini dola mpaka wamfanyie ubaya?! Tuache kuisema dola bila sababu..
 
Mwandishi acha ujinga kila siku wewe unaiwazia mabaya serikali, sahau ukidhani uharo unaoleta hapa kila siku utadhoofisha serikali yetu pendwa utaishia kuleta majungu na hakuna mtakalofanikiwa.
Wengine mko Duniani kwa bahati mbaya umewahi.kujiuliza tumefikaje hadi kila kusingiziwa hao jamaa
 
THE INDIAN OCEAN NEWSLETTER ISSUE 1481 DATED 14/09/2018
Screenshot_20181012-083653.png

Following the fines, the authorities are now planning to confiscate the young magnate's land...

The entire article (293 words) may be accessed by subscribers or e-wallet users

Already have an account?

TANZANIA : Magufuli sinks his teeth deeper into Dewji's empire
 
Kama ni kweli safi sana na Mungu ambariki Raisi wetu, mimi ningetaifisha kila kitu na kugawia watu wetu halafu ningepeleka mswada Bungeni kuliomba Bunge letu tukufu kupitisha sheria ya wote wasio weusi wawe ni raia daraja la pili baada ya sisi.

Sisi kwanza Wahindi na wengineo daraja la pili!
 
Mwandishi acha ujinga kila siku wewe unaiwazia mabaya serikali, sahau ukidhani uharo unaoleta hapa kila siku utadhoofisha serikali yetu pendwa utaishia kuleta majungu na hakuna mtakalofanikiwa.
Ila alisema kuwa atahakikisha wansoishi kama malaika wanaishi kama mashetani na huo ndo "uharo" unao stink up inchi hii! Get real man!
 
Akitoka huyo tajiri kufanywa chochote wewe nae hutapona....

Usifurahi mwenzako kushughulikiwa,wewe nae utafuata!

Tusichukie wafanyabiashara namna hii aisee..hii ni persecution kabisa!

Deal na watu by the LAW and not otherwise!
hiyo ni nukuu toka kwa rais wetu sio ya mtoa mada. muulize baba yetu akupe maana japo ameongea kiswahili
 
Kama ni kweli safi sana na Mungu ambariki Raisi wetu, mimi ningetaifisha kila kitu na kugawia watu wetu halafu ningepeleka mswada Bungeni kuliomba Bunge letu tukufu kupitisha sheria ya wote wasio weusi wawe ni raia daraja la pili baada ya sisi.

Sisi kwanza Wahindi na wengineo daraja la pili!
Duuh!
Sikuungi mkono huu ubaguzi mbaya sana.
Marekani, Uingereza na Canada zenyewe zinapata maendeleo kwa kuwatumia wahindi wenye vipaji au mitahi ya kibiashara.
 
Back
Top Bottom