Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

Sijui wanamfanya nn sahv huko aliko masikini! Bora kama hakubeba simu yoyote.
 
Kuna uwezekano watekaji walianza kutengeneza habari mweiz wa sita. Maana link uliyotoa imechapishwa mtandaoni mwezi huo mwaka huu. Nasema yawezekana.

Ebu tusome wasifu wa muandaa article hiyo.

====

BARBARA GONZALEZ CEO, MO DEWJI FOUNDATION
Barbara Gonzalez is the head of the Mo Dewji Foundation, a registered charity founded by Africa’s youngest billionaire, Mohammed Dewji. The foundation is dedicated to enriching the lives and alleviating Tanzanian citizens from poverty and hardship through health, education and community development. She is responsible for developing strategies to address some of the world’s most challenging inequities and leading all the foundation’s efforts to promote equity and sustainable livelihoods for all Tanzanians.

Gonzalez serves on the advisory board for Young African Leaders Initiative (YALI) Regional Leadership Center East Africa. YALI was launched by former President of the United States Barack Obama as a signature effort to invest in the next generation of African leaders.

Prior to the foundation, Gonzalez was consultant at Deloitte Consulting Limited Tanzania. She was involved in projects for public sector clients including USAID, UNICEF, World Bank and Plan International.

Gonzalez holds a master’s degree in development management from the London School of Economics and Political Science, and a bachelor’s degree with honors in economics and political science from Manhattanville College in Purchase, New York.

====
Msisitizo nauweka kwenye haya mbili za mwisho.
 
Huu hapa ni wasifu wa Mhariri wa jarida la Afrika intelligence
=====
Editorial director: Philippe Vasset
- - -
Investigative journalist Philippe Vasset joined Indigo Publications in 1999, working as correspondent in the United States, editor of Africa Energy Intelligence and, then from 2007 to 2014, as editor of Intelligence Online. He was promoted to editorial director in 2015, after a sabbatical year.
He has a masters’ degrees in philosophy and geography from Paris IV University and studied in Washington DC at the John Hopkins University's School of Advanced International Studies. He is also the author of six novels.
 
watekaji wamepata wapi ujasiri wa kumteka?,
Wamempeleka wapi kusikojulikana?
 
Dah... sio poa
IMG-20181011-WA0001.jpeg
 
hivi mo hana hata walinzi
Watu wakiamua kukuteka ata kama una walinzi kwenye gari..kitu cha msingi ni kubaini watekaji ni wakina nani? Je jengo hilo lina CCTV,kuingia hapo Gym kuna maafisa usalama au la? Kama wapo wanafanya vipi kazi yao kuhakikisha wateja wao wapo salama! Kitu kingine hii kutekwa ni aina mpya ya uhalifu unaoanza kushika kasi hapa Tz kila mtu yampasa kuwa makini kila unapoenda mahali ukizingatia hoja zako,mali zako au uadui na watu.
 
"Zamani tajiri alikuwa anaweza kufanya chochote , lakini leo tajiri anaweza kufanywa chochote "

Akitoka huyo tajiri kufanywa chochote wewe nae hutapona....

Usifurahi mwenzako kushughulikiwa,wewe nae utafuata!

Tusichukie wafanyabiashara namna hii aisee..hii ni persecution kabisa!

Deal na watu by the LAW and not otherwise!
 
imageresize
Billionaire Mohammed Dewji, head of MeTL, is targeted by President John Magufuli.

Still vigorously pursuing his moralistic campaign to clean up the business sector, President John Magufuli, nicknamed Tinga Tinga (bulldozer in Kiswahili), has decided to go after Mohammed Dewji, the owner of Tanzania's second largest conglomerate, MeTL (Mohammed Enterprises Tanzania), and....

TANZANIA : Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?
.....
....Hii ndo J4 hapana acha kitu
 
Back
Top Bottom