Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,877
- 32,654
Si umrekebishe wewe sasa, kwani kuna ubaya gani?Mbona huyu Lumumba mwenzako hujamrekebisha kwenye kingereza chake cha ugoko lakini kutwa kiguu na njia kurekebisha wengine ?
Si umrekebishe wewe sasa, kwani kuna ubaya gani?Mbona huyu Lumumba mwenzako hujamrekebisha kwenye kingereza chake cha ugoko lakini kutwa kiguu na njia kurekebisha wengine ?
"Nyerere was an outward-looking globalist who saw Tanzania as a leader in world affairs. Magufuli, on the other hand, is an inward-looking provincial nativist who wants a Tanzania for Tanzanians alone."Ni ya lini kwani? Jibu kwanza hilo swali.
Kiingereza....hujamrekebisha kwenye kingereza chake...?
Hahaha aiseee vipi ualimu huwa haufanyi kazi kwa Wanalumumba wenzako ?Si umrekebishe wewe sasa, kwani kuna ubaya gani?
So what's the problem?"Nyerere was an outward-looking globalist who saw Tanzania as a leader in world affairs. Magufuli, on the other hand, is an inward-looking provincial nativist who wants a Tanzania for Tanzanians alone."
Wanajiuliza wakimuachia atakuja kusema nini uraiani?Hili saga wasiojulikana watapatikana sasa hivi... bad timing bashite. Alizoea kuwapoteza wasio na sauti hili pichu itambana dammit.
Mungu amemwanika peupe
Forbes watafuatilia mwisho wa uharamia huu ni sasa bashite na genge lake wajiandae kuwekwa mambo hadharani.
Huko aliko anazunguka nyumba mara kumi kumi dammit
Time will tell ndiyo hii
Kwa Zakaria imeshatokea,ndio maana natoa angaluzo!
"Zamani tajiri alikuwa anaweza kufanya chochote , lakini leo tajiri anaweza kufanywa chochote "
Tajiri ataishi kama sheitwani
Video yake ipo na hakuna hata mmoja aliyemshangilia hadi akajishitukiaHio kauli kwa nchi zenye watu utajiuzuru siku hiohio
Unavaa body cameraWatu wakiamua kukuteka ata kama una walinzi kwenye gari..kitu cha msingi ni kubaini watekaji ni wakina nani? Je jengo hilo lina CCTV,kuingia hapo Gym kuna maafisa usalama au la? Kama wapo wanafanya vipi kazi yao kuhakikisha wateja wao wapo salama! Kitu kingine hii kutekwa ni aina mpya ya uhalifu unaoanza kushika kasi hapa Tz kila mtu yampasa kuwa makini kila unapoenda mahali ukizingatia hoja zako,mali zako au uadui na watu.
Tupo mguu sawa. Ila nani atamrudisha mzimaSure; he might be refused to do some sort of instructions from JIWE!!
Same what happened to Zakaria but he escaped from ... for what we call it mbinu za medani; for MO lets us cross our fingers!!! Lazima arudi mzima bila masharti...
Wekundu Mpo???
.......'gone wrong 'Something might have went wrong..!
Kaka dewji hafi ki rahisi ivo..... watamrudisha tu.Tupo mguu sawa. Ila nani atamrudisha mzima
Mwandishi acha ujinga kila siku wewe unaiwazia mabaya serikali, sahau ukidhani uharo unaoleta hapa kila siku utadhoofisha serikali yetu pendwa utaishia kuleta majungu na hakuna mtakalofanikiwa.Billionaire Mohammed Dewji, head of MeTL, is targeted by President John Magufuli.![]()
Still vigorously pursuing his moralistic campaign to clean up the business sector, President John Magufuli, nicknamed Tinga Tinga (bulldozer in Kiswahili), has decided to go after Mohammed Dewji, the owner of Tanzania's second largest conglomerate, MeTL (Mohammed Enterprises Tanzania), and....
TANZANIA : Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?