Wajinga nyinyi kila tukio mnahusisha siasa , fooo
Wameshaanza kuongea kizungu cha ugoko.Bavicha wamefanyaje mkuu ?
Mkuu hao wazungu wawili watakuwa wapinzani tuNdio bavicha walivyo hivyo.
Kawaulize.Mkuu hao wazungu wawili watakuwa wapinzania tu
Kazi ya kuwauliza amechiwa mambosasa na vijana wakeKawaulize.
mkuu wewe mgeni humu? Humju huyu unayemjibu ukamuelewa? ErythrocyteAkitoka huyo tajiri kufanywa chochote wewe nae hutapona....
Usifurahi mwenzako kushughulikiwa,wewe nae utafuata!
Tusichukie wafanyabiashara namna hii aisee..hii ni persecution kabisa!
Deal na watu by the LAW and not otherwise!
Hukunielewa mkuu .Akitoka huyo tajiri kufanywa chochote wewe nae hutapona....
Usifurahi mwenzako kushughulikiwa,wewe nae utafuata!
Tusichukie wafanyabiashara namna hii aisee..hii ni persecution kabisa!
Deal na watu by the LAW and not otherwise!
nadhani huyo jamaa hakunielewa .mkuu wewe mgeni humu? Humju huyu unayemjibu ukamuelewa? Erythrocyte
Labda aisee...its on me for being too lazy to understand you..Hukunielewa mkuu .
Usikonde mkuu , hiyo nukuu niliyoiweka ni kauli ya mkulu mwenyewe , na kuna mpaka clip inazunguka .Labda aisee...its on me for being too lazy to understand you..
Sawa.Kazi ya kuwauliza amechiwa mambosasa na vijana wake
"Zamani tajiri alikuwa anaweza kufanya chochote , lakini leo tajiri anaweza kufanywa chochote "