Hapa mjinga ni nani sasa: Africaintelligence ambao waliandika habari hii kabla ya MO kutekwa?, aliyeleta post hii hapa JF? au wewe ambaye umekubali akili zako zitunzwe na watu wengine awamu hii?Wajinga nyinyi kila tukio mnahusisha siasa , fooo

Dunia nzima wanaamini hivyo na ndo maana Wazungu, Wakorea na Wajapani wameendelea, hawaruhu watu wa jamii nyingine kumiliki uchumi wao, ndo maana mnsafisha choo kwa Muhindi na Muzungu unafikiri ni kwa nini? Ulishaona Muhindi anasafisha choo hapa Dar hata kama hajasoma?
.....kwahiyo MO akifilisiwa wewe unamiliki utajiri wake! kuna nyakati nahisi mtu mweusi ni toleo la mwisho katika uumbaji daah! maana sikwaakili hizi
Nadhani ni hint ya nani anaweza kuwa amehusika.Sasa unanukuu hiyo makala ili iweje?
Hivi Azory alifanya nini hasa?Kwani Mo kaikosea nini dola mpaka wamfanyie ubaya?! Tuache kuisema dola bila sababu..
Ndiyo maana wewe ni nusu mtu.Kama ni kweli safi sana na Mungu ambariki Raisi wetu, mimi ningetaifisha kila kitu na kugawia watu wetu halafu ningepeleka mswada Bungeni kuliomba Bunge letu tukufu kupitisha sheria ya wote wasio weusi wawe ni raia daraja la pili baada ya sisi.
Sisi kwanza Wahindi na wengineo daraja la pili!
Billionaire Mohammed Dewji, head of MeTL, is targeted by President John Magufuli.![]()
Still vigorously pursuing his moralistic campaign to clean up the business sector, President John Magufuli, nicknamed Tinga Tinga (bulldozer in Kiswahili), has decided to go after Mohammed Dewji, the owner of Tanzania's second largest conglomerate, MeTL (Mohammed Enterprises Tanzania), and....
TANZANIA : Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?
Msisahau kuwa hata Deo Mwanyika wa Acacia alitekwa uwanja wa ndege Songwe, akasafitishwa usiku na kufichwa kwenye majumba yao. Aliachiwa siku ya pili baada ya Barrick kuja juu na kuwaambia kuwa asingeachiwa baada ya masaa 48, wangeitoa taarifa hiyo rasmi Duniani kote.Kwani MO ni wa kwanza kutekwa?
Ben Saanane,Azori,Zakaria ,Kanguye Super Sami na wengine wengi.
Magufuli anahusika na ndiye anayetoa maagizo ya watu kupotezwa.
Nyie mataahira endeleeni kushangilia ujinga ipo siku tu.
Hao ni kikundi cha Wakenya wanaoharibi siasa za TZ. Walifabnya hivyo wakati wa uchaguzi mkuu, ajabu hawasemi lolote juu ya ufisadi na mauaji ya Kenya.Hawa wanaojiita Africa Intelligence nadhani ni wachochezi!
Stupid President, hili jamaa litateka hadi marais wastaafu.Msisahau kuwa hata Deo Mwanyika wa Acacia alitekwa uwanja wa ndege Songwe, akasafitishwa usiku na kufichwa kwenye majumba yao. Aliachiwa siku ya pili baada ya Barrick kuja juu na kuwaambia kuwa asingeachiwa baada ya masaa 48, wangeitoa taarifa hiyo rasmi Duniani kote.
Akaachiwa kwa masharti taarifa hiyo isiwekwe wazi lakini Jiwe alifura hasa kwa hicho kitisho.
Wewe hujitambui kazi kushabikia serikali katili hii.Kwanza kiusalama wa nchi Nchi (Serikali) haiwezi kufanya uhalifu kama huo kamwe sababu kwanza ni kuhatarisha usalama wa nchi kimataifa....na hasa ukizingatia Mo ni Public Figure...hapo ilipo habari zitakuwa zishafika hadi kwa Rais wa Marekani..Mtu kama Mo ni mkubwa si tu kwetu hadi kimataifa sababu ni mtu anayefanya biashara kubwa. Hivyo Kiongozi wa Serikali yeyote hawezi kujihusisha ktk kitu kama hicho. Itakuwa imechafu taswira ya nchi, na wageni watajiona hawako salama kuja Tanzania wakati Tanzania ndio nchi iliyokuwa kimbilio la Raia wengi wa kigeni.
Mimi nakanusha kuwa kiongozi yeyote wa Serikali hawezi husika ktk hii...Sababu ishabeba tayari taswira mbaya kwa Raia wa kigeni kuwa nchi si salama tena...
Hao ni waovu tuu wa kawaida..wa kigeni pengine wakishirikiana na wakitanzania
Kukariri si kuzuri , halafu unaendelea kukaririsha mazwazwa wenzio"Zamani tajiri alikuwa anaweza kufanya chochote , lakini leo tajiri anaweza kufanywa chochote "
Unadhani anashindwa kufanya chochote?"Zamani tajiri alikuwa anaweza kufanya chochote , lakini leo tajiri anaweza kufanywa chochote "
Mjomba unanitukana bure ! hii ni nukuu ya mkubwa mwenyewe .Kukariri si kuzuri , halafu unaendelea kukaririsha mazwazwa wenzio
basi sawa mkuu .Hawa wanaojiita Africa Intelligence nadhani ni wachochezi!
Hakuna ushahidi kuwa serikali ilihusika na kupotea kwao hawa.Nawaza sijui familia ya Azori, Ben na Roma watakufikiriaje wakiisoma hii kuhusu serikali
Una ushahidi kuwa h. Rais anahusika? Ushahidi unao?Kwani MO ni wa kwanza kutekwa?
Ben Saanane,Azori,Zakaria ,Kanguye Super Sami na wengine wengi.
Magufuli anahusika na ndiye anayetoa maagizo ya watu kupotezwa.
Nyie mataahira endeleeni kushangilia ujinga ipo siku tu.
Funny stupidity. Tunajadili siasa kwa ufahamu wote, wewe unaleta mambo ya TB Joshua Tapeli! yaani nchi iendeshwe kwa utabili wa mtu muhuni! wewe ni irresponsible wa ngazi ya juu.Stupid President, hili jamaa litateka hadi marais wastaafu.
Kikwete boya sana,walijua kabisa Magufuli hana hadhi ya kuwa Rais,yet wakalazimisha.
Nakuambia watatekwa wengi mno ,Magufuli smells the blood of the innocents .
Hii JF imeachwa makusudi iwepo,kuna kundi kubwa la vijana limetumwa South Korea kusomea hacking ili kuidukua JF,la pili ili wapate kujua nguvu ya umma ikoje dhidi ya serikali.
TB Joshua predicted the worst ending of Tanzania under Magufuli regime, kina Mbowe wanajua aliwaambia wasiseme hadi utabiri utimie.
Hata haya mataahira ya CCM yanayoshinda humu kumsifia huyu ibilisi iko siku yataacha baada ya wazazi wao kutekwa.
Nadhani wa kwanza kutekwa amma kuuawa atakuwa Mkapa. Huyu ndio JIWE anamwona tishio kwake kuwa rais wa maisha. Akiondoka huyo, ataondoka na kipengele cha ukomo wa madarakaStupid President, hili jamaa litateka hadi marais wastaafu.