Corona: Shule Afrika Kusini zafungwa tena

Na analinda kweli, maana kwa jinsi tunavosongamana bila barakoa wala social distance, basi tungekuwa mashuhuda wa vifo vya jumla jumla.
Watoto wana miezi miwili shuleni,lkn mpaka sasa sijawahi kuombwa hela ya rambirambi ,manake kama mwenzao akifa wanachanga rambirambi.
 
Hivi unavyohusisha vifo vya watu na corona hali ya kuwa huna ushahidi tuseme hiyo ni sayansi au unatumia imani? kama ni siasa ni wewe ndio unaleta siasa unailazimisha hiyo corona, mfano sasa unahusisha kifo cha mzee wa watu na corona hali ya kuwa hata hujui Mzee wa watu alikuwa anasumbuliwa na maradhi gani.

Basi tufanye kwamba haya Mzee wetu kafa na corona na hiyo ni kutokana na ule mkutano wa dodoma,hivyo tutarajie kuona wengine wakifuatia. Maana mule wazee walikuwepo na wengine afya zao sio nzuri.

Maneno yote ya nini?

Wapi nilipohusisha vifo vya watu na Corona? Hata style ya uandishi hauioni?

Waachieni wataalamu wapime waseme wao.

Acheni kupoka shughuli za watu walizosomea kwa miaka mingi kwa niaba ya umma.
 
Kuna watanzania wapumbavu sanaa.
Yaani wao wanaona africa kusini,kenya,Madagascar n.k kuwa na corona WANAFAIDI.
YAANI WANA TAMANI NA TANZANIA TUWE NA CORONA .
nashindwa kuwaelewa kuwa wana matatizo ya akili au bangi.
naomba kujua,unataka nchi hii ifanye nini kuhusu corona?,
pia,naomba kufahamu unapata faida gani kusema neno baya au lisilojenga juu ya nchi yako mwenyewe?,
itapendeza zaidi ukijibu bila jazba;

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kuna watanzania wapumbavu sanaa.
Yaani wao wanaona africa kusini,kenya,Madagascar n.k kuwa na corona WANAFAIDI.
YAANI WANA TAMANI NA TANZANIA TUWE NA CORONA .
nashindwa kuwaelewa kuwa wana matatizo ya akili au bangi.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Unajua mkuu mijadala haitakiwi hasira.

Unaweza jikuta wenzio nao wanakushangaa wewe hivyo hivyo kama unavyowashangaa wao. Waliona mbali sana waliosema "nyani haoni ku*dule."

Katika hali kama hizi, ndiyo maana pia waungwana wanakumbusha majadiliano ni kwa hoja. Yaani acha nguvu ya hoja itamalaki wala si hoja ya nguvu.

Huko Madagascar, Africa kusini, Kenya nk unakosema, hayupo anayedhani wala kusema kuwa wanafaidi. Wale ndiyo wananyolewa hivyo.

Waungwana wanasema "ukiona wenzio wananyolewa, zako wewe tia maji."

Hawana matatizo ya akili wala hayapo mambo ya bangi. Kumbuka nao wanashindwa kukuelewa wewe kuwa ni matatizo ya akili au ni bangi? Yale yale ya manyani.

Mkuu taratibu rejea hadithi na miongozo ya wahenga ndiyo waungwana hao niliochukua muda kukuorodheshea kwa mifano.

Jazba haijengi mkuu. Mjini wanasema tuliza mpira.
 
Hakuna cha hasira bali UNAKERA.
wewe ni corona corona na wewe.
Kama corona ipo Tanzania si tutaiona?.
Na hata kama ipo watu wakifa wewe unadhurika nini?.
ACHA WAFE.
Unajua mkuu mijadala haitakuwi hasira.

Unaweza jikuta wenzio wanakushangaa wewe hivyo hivyo kama unavyowashangaa wao. Waliona mbali sana waliosema "nyani haoni ku*dule."

Katika hali kama hizi, ndiyo maana pia waungwana wanakumbusha majadiliano ni kwa hoja. Yaani acha nguvu ya hoja itamalaki wala si hoja ya nguvu.

Huko Madagascar, Africa kusini, Kenya nk unakosema, hayupo anayedhani wala kusema kuwa wanafaidi. Wale ndiyo wananyolewa hivyo.

Waungwana wanasema "ukiona wenzio wananyolewa, zako wewe tia maji."

Hawana matatizo ya akili wala hayapo mambo ya bangi. Kumbuka nao wanashindwa kukuelewa wewe kuwa ni matatizo ya akili au ni bangi?

Mkuu taratibu rejea hadithi na miongozo ya wahenga ndiyo waungwana hao niliochukua muda kukuorodheshea kwa mifano.

Jazba haijengi mkuu. Mjini wanasema tuliza mpira.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Na utasubiri sana kama kufa kwa corona utakufa wewe na UKOO WAKO MZIMA.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Mkuu si mbaya kutambua kuwa hayupo aogopaye kufa kwa lolote hata ikiwemo kwa Corona.

Ni kwa sababu hiyo waungwana hata huwa tayari kufa wao ili wapendwa wao wapate kuishi japo vizuri.

Wangapi wa maana mno wametangulia mbele za haki nasi tungalipo? Kwani sisi ambao tungalipo tumefanya lipi la mno kuhalalisha uwepo wetu au pia hata labda kuhalalisha kutokuwapo kwao?

Wanasema waungwana: "graves are full of indispensable people." Mwisho wa kuwanukuu.

Kwamba hatuogopi kufa hakuna maana ya kukisabiria kifo bila sababu au kutokuchukua tahadhari inayoonekana ili kuwa salama.

Hiyo ni common sense ambayo bahati mbaya inafahamika kuwa "is not very common for every body."

Mkuu 1 + 1 = 2 haijali wangapi wanasema ni 5.
 
Hakuna cha hasira bali UNAKERA.
wewe ni corona corona na wewe.
Kama corona ipo Tanzania si tutaiona?.
Na hata kama ipo watu wakifa wewe unadhurika nini?.
ACHA WAFE.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Ila wewe haukeri?

Watu wakifa nadhurika nini? Swali ka ajabu kidogo. Kwani mkuki kwa nguruwe binadamu huwa mnadhurika?

Miye ni mtu (binadamu), nina ndugu, jamaa, marafiki nk ambao wakidhurika au nikidhurika ninaumia.

Kukuelewesha zaidi, hao wakidhurika au nikidhurika, huo ndiyo mkuki kwa binadamu - ninasikia uchungu.

Ndipo tofauti ilipo baina ya binadamu na nguruwe panapo mkuki.

Hii siyo mimi nasema, bali wahenga wenyewe waliokaa wakawaza na kuwazua. Hadi kufikia kauli zilizo shiba kama hizo.
 
Mtizamo wako ila reality ugonjwa huu impact yake haujafikia hata robo ya Malaria.

Malaria ipo lakini watu bado wanaishi nayo pamoja na impact yake kubwa lakini watu wanaendelea kupiga kazi kama kawaida.So lazima maisha ya endelee.

Yaani Corona nayo ishakua ajenda ya kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2020,huko ni kufilisika kwa sera na mawazo.
usifananishe corona na Malaria mkuu. Ujio wa corona uliishtukiza dunia, mpaka leo hakuna anayejua 100% inaambukizwa namna gani, dalili zake ni zipi na ni hizo tu, inaathiri namna gani hasa mwili wa binaadamu, n.k

busara sahihi za kupambana na hatari ya namna hiyo, ni kupeana habari sahihi. lakini serikali ikac hagua usiri na uongo. corona inaweza kuepukika kirahisi kuliko malaria, hao waliokufariki kwa corona hata kama ni wachache sana, hasa baada ya serikali kupuuzia kuchua hatua sahihi hatupaswi kuwasahau kwa sababu tu sisi tumemabi hai.
 
Wahi mirembe
Ila wewe haukeri?

Watu wakifa nadhurika nini? Swali ka ajabu kidogo. Kwani mkuki kwa nguruwe binadamu huwa mnadhurika?

Miye ni mtu (binadamu), nina ndugu, jamaa na maadili nk ambao wakidhurika au nikidhurika ninaumia.

Kukuelewesha zaidi, hao wakidhurika au nikidhurika, huo ndiyo mkuki kwa binadamu - ninasikia uchungu.

Ndipo tofauti ilipo baina ya binadamu na nguruwe panapo mkuki.

Hii siyo mimi nasema, bali wahenga wenyewe waliokaa wakawaza na kuwazua. Hadi kufikia kauli zilizo shiba kama hizo.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
usifananishe corona na Malaria mkuu. Ujio wa corona uliishtukiza dunia, mpaka leo hakuna anayejua 100% inaambukizwa namna gani, dalili zake ni zipi na ni hizo tu, inaathiri namna gani hasa mwili wa binaadamu, n.k

busara sahihi za kupambana na hatari ya namna hiyo, ni kupeana habari sahihi. lakini serikali ikac hagua usiri na uongo. corona inaweza kuepukika kirahisi kuliko malaria, hao waliokufariki kwa corona hata kama ni wachache sana, hasa baada ya serikali kupuuzia kuchua hatua sahihi hatupaswi kuwasahau kwa sababu tu sisi tumemabi hai.
Kushtukiza dunia nyima ndio hatari? Malaria ni ugonjwa ambao upo maeneo mengi ya Africa lkn ulaya haupo ila unaua idadi kubwa ya watu zaidi ya Corona.Kwa hiyo swala sio kushtukiza swala ni impact ya huo ugonjwa,impact ya ugonjwa wa Corona ni ndogo kuliko Malaria ila nyie mmeamua kuukuza.

Corona unaepukika kirahisi HOW?

Kwani serikali haijachukua hatua,tumeona wote,matangazo kibao kila Channel ya TV na Vituo vya redio wanatoa elimu,tumefanya partial lockdown inchi nzima ,wewe ulitaka serikali ifanyeje ?

Sasa unataka upewe habari sahihi ipi?

Habari ambayo kwako wewe itakusaidia,kila siku kwenye vyombo vya habari wana ongea (mf UTV wana matangazo kila siku na kipindi cha nusu saa kila weekend),vaa barakoa na tumia sanitizer kama ww hufanyi basi ni ujinga wako.
 
Serikali iendelee kutoa taarifa, ili wananchi wajue kiwango cha maambukizi na kuendelea kuchua hatua stahiki, sio kuleta ujinga wa eti mi ungu kaondoa corona Tanzania.

Ni haki yetu kupewa taarifa ya ukubwa wa tatizo na maeneo yaliyoathirika, watuambie ukweli kwamba leo hakuna maambuki, leo kuna mtu mmoja amebainika kuwa na maambukizi say chato n.k sio kutuambia eti tumeishinda corona.

alafu tunapaswa kutoa mchango wetu kwa dunia, kama kweli tumeishinda corona tuileze dunia hatua tulizochukua ili kusaidia wengine, au tumejificha kwenye kichaka kikuuuuubwa cha mungu ignorantly?
 
Maneno yote ya nini?

Wapi nilipohusisha vifo vya watu na Corona? Hata style ya uandishi hauioni?

Waachieni wataalamu wapime wasema wao.

Acheni kupoka shughuli za watu walizosomea kwa miaka mingi kwa niaba ya umma.
Karibu msibani huku uje kutupa nasaha za corona maana naona hapa hata wafiwa nao hawajavaa hata barakoa,hivyo nasaha zako ni muhimu sana mkuu.
 
Serikali iendelee kutoa taarifa, ili wananchi wajue kiwango cha maambukizi na kuendelea kuchua hatua stahiki, sio kuleta ujinga wa eti mi ungu kaondoa corona Tanzania.

Ni haki yetu kupewa taarifa ya ukubwa wa tatizo na maeneo yaliyoathirika, watuambie ukweli kwamba leo hakuna maambuki, leo kuna mtu mmoja amebainika kuwa na maambukizi say chato n.k sio kutuambia eti tumeishinda corona.

alafu tunapaswa kutoa mchango wetu kwa dunia, kama kweli tumeishinda corona tuileze dunia hatua tulizochukua ili kusaidia wengine, au tumejificha kwenye kichaka kikuuuuubwa cha mungu ignorantly?
Mbona hauombi taarifa za vifo vitokanavyo na Malaria ambavyo ni vyingi kuliko vya Corona?

Au taarifa za Corona ndio haki yako ila vya Malaria sio haki yako kujua?

Mbona huombi taarifa za Ukimwi au homa ya Ini au haya magonjwa siku hizi hayana madhara na yame acha kuua au hivyi sio haki yako kujua.

Sisi hatujamaliza Corona tumeamua kuishi na Corona kama tunavyoishi na Malaria,HIV,Homa ya Ini,huku tukichukia tahadhari.

Mpaka unatangaziwa kwenye vyombo vya habari kuchukua tahadhari kwa ajili ya afya yako,manake ugonjwa huu upo unacho takuwa kuchukua tahadhari huku ukiendelea na shughuli na kama KWAKO BINAFSI unaona kuna hatari unaweza jifungia ndani na familia yako.Ila wenzako wasiokua na uhakika wa maisha yao,maisha yao ya kuungaunga,kula yao mpaka watoke kwao, waache waendelee na shughuli zao wakitafuta kipato kwa ajili ya familia zao.
 
Mbona hauombi taarifa za vifo vitokanavyo na Malaria ambavyo ni vyingi kuliko vya Corona?

Au taarifa za Corona ndio haki yako ila vya Malaria sio haki yako kujua?

Mbona huombi taarifa za Ukimwi au homa ya Ini au haya magonjwa siku hizi hayana madhara na yame acha kuua au hivyi sio haki yako kujua.

Sisi hatujamaliza Corona tumeamua kuishi na Corona kama tunavyoishi na Malaria,HIV,Homa ya Ini,huku tukichukia tahadhari.
Malaria inadawa, mbu wanaosambaza maralia kuna madawa kibao ya kuwaangamiza, kuna mpaka net kuzuia mbu wasitufikie tukiwa vitandani, malaria kwa sasa inaathiri wale wasio na uwezo wa kupata vitu hivi, ndio maana bado inaua watu wengi africa sababu ya umasikini wa familia zetu japo serikali zetu zina ukwasi uliokithiri.

MaraliaUkimwi (HIV)Corona
Dawazipozipohamna
Kingazipozipohamna
UambukizwajiMbuMsuguanohewa
Jangasiosiondio
man to mansiondiondio
infection to death (days)> 30 days> 20 years15< days
uwezekano wa kuzuia maambukizihamnahamnaupo
 
Back
Top Bottom