Corona: Shule Afrika Kusini zafungwa tena

Kama wenzako wanakwambia ipo na yamewakuta, hujishangai kuwakatalia ati tu kwa kuwa hayajakukuta wewe?

Pana ka kitongoji wanakaita "tinde" (ka google map) binti mbichi wa sekondari (rip) juzi vichomi vichomi kupumua katangulia.

Utu wetu ni nini? Kukomaa macho makavu sisi ni Corona free country?
We jamaa unajua kuokoteza taarifa, kwa hiyo b4 corona watu/ mabinti wabichi walikua hawafi?
 
Kama wewe sio unayesemaga kwamba kumekuwa na wingi wa vifo vya ghafla katika kipindi hiki cha corona basi hayo hayakuhusu ila ikiwa ndio wewe unayehusisha vifo vya ghafla na corona katika kipindi hiki basi hayo yanakuhusu.

Mkuu labda jiridhishe kama hadi hapa tuko wote na tuko vizuri:

IMG_20200727_213645_595.jpg

Inapendeza tunapokuwa tunasonga mbele.
 
We jamaa unajua kuokoteza taarifa, kwa hiyo b4 corona watu/ mabinti wabichi walikua hawafi?

Mkuu unadhani tunaokoteza? Hizi tunachomoa kwenye kanzi data hai. Hapa ni za wanasheria nguli, kama kada peke yake:

Corona: Orodha ya wahanga, sampuli

Nimeuliza zinahitajika za kada zingine, wanafunzi, walimu, maprofesa, nk. pia au za vigogo? Si Mara moja:

IMG_20200727_214756_609.jpg

Someni nyuzi vizuri. Acheni kurukia matreni kwa mbele.
 
Hivi hoja yako ni nini hasa?,
yaani nchi kutambua huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine (a health issue) ndio unasema umetoa hoja?,
hivi unafikiria sawasawa?,
mimi naomba angalau mambo matatu unataka nchii hii ifanye kuhusu huu ugonjwa, kinyume chake nakuona hujitambui tu,acha unafiki,tumia akili zako sawasawa;
Jazba ya nini sasa? Mkikosa hoja mnarukia matusi?

Hayo mbona tangu MODs wafanye yao tukapata kale ka list pendwa ka kuwapumzisha mazwazwa unilaterally, hamtupi pressure tena. Sembuse wewe uliyeifahamu JF juzi juzi?

View attachment 1518831

Mara ngapi mmeambiwa nini kifanyike bado tu huoni? Comment #9 inakuhusu. Kama bado pia huoni nakuwekea hapa tena. Vaa na miwani kabisa inaweza kuwa shida macho yako:

View attachment 1518828
 
Hivi hoja yako ni nini hasa?,
yaani nchi kutambua huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine (a health issue) ndio unadena umetoa hoja?,
hivi unafikiria sawasawa?,
mimi naomba angalau mambo matatu unataka nchii hii ifanye kuhusu huu ugonjwa, kinyume chake nakuona hujitambui tu,acha unafiki,tumia akili zako sawasawa;
Huyo jamaa anakutia njaa tu,anazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma,hawezi akakupa sababu hizo tatu.

Kiwiliwili kipo Tz kichwa kawapa wazungu,anataka solution za ulaya uapply Africa.
 
Hivi hoja yako ni nini hasa?,
yaani nchi kutambua huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine (a health issue) ndio unasema umetoa hoja?,
hivi unafikiria sawasawa?,
mimi naomba angalau mambo matatu unataka nchii hii ifanye kuhusu huu ugonjwa, kinyume chake nakuona hujitambui tu,acha unafiki,tumia akili zako sawasawa;

Hoja yangu iko wazi:

Handling ya ugonjwa huu hapa nchini haiko sahihi. Tungeweza kufanya vizuri zaidi.

Kwa bahati mbaya matokeo yake tunapoteza watu na tunashindwa kuwahami hata watu ambao hawakupaswa kufa kizembe kwa ugonjwa huu na kwa namna hii.

Umenisoma?

Nini cha kufanya:

Je Inawezekana kuwapa nafasi wataalamu wetu wa afya (yaani madaktari na kada zao) kuongoza mapambano kamili dhidi ya ugonjwa huu?

Kama jibu ni ndiyo, hicho ndiyo cha kufanya kwa vitendo na siyo maneno matupu.

Nikiachilia mbali mawili hayo hapo juu, nilikwisha kukumbusha kuepuka sentensi hizi za kujimilikisha madaraka na hata kuwa jaji na hakimu katikati ya hoja.

Kwamba mtu hajitambui, mnafiki, atumie akili zake sawa sawa, mjinga, usimjibu, achana naye, nk?

Who the hell are you?!

Mkuu huna mamlaka hayo dhidi ya member mwingine yeyote. Hiyo ni kuonyesha unyani wa kutokuona *undu lake tu mkuu.

Aghalabu statement kama hizo waweza pelekea watoto wako nyumbani kwako na kwa raha zako. Lakini si humu jamvini.

Here, is where we dare debate freely - as the rule of thumb!

By the way, unayakumbuka maswali yale mawili niliyokuuliza. Hukuwa na majibu eeh?
 
Una hakika usemalo kuhusu matokeo ya handling ya ugonjwa yaani hivyo vifo?,
wewe tu ndio umeona hivyo vifo?,
mbona vifo vilikuwepo hata kwa magonjwa mengine?,
hizo nchi zilizoachia hao wataalam kufanya kazi zao zimetuzidi nini katika mapambano dhidi ya nCOVID-19?,
chukulia mfano South Africa;

Mkuu usiniwekee maneno mdomoni tafadhali.

Waziwazi na in bold nimesema handling ya ugonjwa.

IMG_20200728_055303_084.jpg

Wapi nimesema handling ya vifo?

Ninapojiandaa kwenda msibani nadhani hii comment #251 ina kuhusu vilivyo:

IMG_20200728_054631_107.jpg

Sawia kabisa na yale maswali mawili uliyoshindwa kuyajibu.

Hiyo comment #251 ni tokea katika uzi huu:

Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii
 
hauko sawa,naona ni mbishi,jifunze kuwa na reasoning;
unasema unaenda msibani,vipi kuna hatua zozote za kujikinga umefata au unataka serikali tu ndio ifanye handling?,
ila watanzania sio watu wazuri,haiwezekani mtu anaandika mabandiko kila siku kuhusu jambo la nCOVID-19 ila kumbe hoja nzito kwenye mada zake hana;
mtu akitumia muda mwingi kusoma mada zako atapoteza tumaini kabisa juu ya nCOVID-19 nchini na atajua huenda hali ni mbaya sana au kuna mambo mabaya sana yanakuja,automatically hatafanya jambo lolote productive,lakini serikali imefanya jambo kubwa sana juu ya huu ugonjwa kuliko hoja zako zisizoeleweka yaani kuwatoa wananchi hofu,kutowafungia ndani,kuacha usumbufu wa kupima pasipo ulazima maana haina faida kupima wengi hali huna dawa wala kinga, pia nzuri zaidi ni kutoa rai wananchi kutumia hata dawa za asili kukabiliana na ugonjwa huu bila kusahau Mungu;
mimi sioni msaada wa hao uwaitao wataalam kwenye hili tofauti na kupima basi,kwa kuwa hakuna dawa je huyo mtaalam ana kazi gani zaidi ya hiyo?,
kuwa mkweli tu,hauna hoja yenye nguvu ili mada zako zikubalike hapa jukwaani;
kupima,kutoa idadi ya wagonjwa,je,kuna faida yoyote katika hayo?,
je,ndio kupambana na ugonjwa?,
kila mtu na kila nchi ina mfumo wake kwenye kupambana na huu ugonjwa, china walijenga hospital kubwa pale wuhan ila marekani hawajanya hilo,na wote wako sahihi;
na sisi hatutoi taarifa za wagonjwa, hatupimi bila ulazima, wanawe mikono,watu watumie dawa za asili maana zinatibu,wajifukize,na katika hayo tuko sahihi sana;
mambo ya wataalam "kujifukiza kunaunguza njia ya hewa" ndio ulitaka?,
hoja zako kwenye hili ni dhaifu sana,ni mtu wa uongo uongo kujionyesha great thinker ila hakika sivyo, na mada zako zimedhihirisha hilo maana hujui unataka nini hadi sasa;
corona haiondoki kwa kupima sana na kutangaza wagonjwa baada ya kupima,acha hao wapimao waendelee kupima, na sisi hatupimi na hatutakufa hakika;
KUWA MKWELI,ACHA UNAFIKI,HAKUNA FORMULA YA KUPAMBANA NA NCOVID-19, KILA MTU NA KILA NCHI ILA WATU TOFAUTI NA UCHUMI TOFAUTI, NA AKILI TOFAUTI NA MAWAZO TOFAUTI, ACHA MAISHA YAENDELEE;
JIFUNZE KUWA MKWELI;
Mkuu usiniwekee maneno mdomoni tafadhali.

Waziwazi na in bold nimesema handing ya ugonjwa.

View attachment 1519222

Wapi nimesema handling ya vifo?

Ninapojiandaa kwenda msibani nadhani hii comment #251 ina kuhusu vilivyo:

View attachment 1519223

Sawia kabisa na yale maswali mawili uliyoshindwa kuyajibu.

Hiyo comment #251 ni tokea katika uzi huu:

Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii
 
hauko sawa,naona ni mbishi,jifunze kuwa na reasoning;
unasema unaenda msibani,vipi kuna hatua zozote za kujikinga umefata au unataka serikali tu ndio ifanye handling?,
ila watanzania sio watu wazuri,haiwezekani mtu anaandika mabandiko kila siku kuhusu jambo la nCOVID-19 ila kumbe hoja nzito kwenye mada zake hana;
mtu akitumia muda mwingi kusoma mada zako atapoteza tumaini kabisa juu ya nCOVID-19 nchini na atajua huenda hali ni mbaya sana au kuna mambo mabaya sana yanakuja,automatically hatafanya jambo lolote productive,lakini serikali imefanya jambo kubwa sana juu ya huu ugonjwa kuliko hoja zako zisizoeleweka yaani kuwatoa wananchi hofu,kutowafungia ndani,kuacha usumbufu wa kupima pasipo ulazima maana haina faida kupima wengi hali huna dawa wala kinga, pia nzuri zaidi ni kutoa rai wananchi kutumia hata dawa za asili kukabiliana na ugonjwa huu bila kusahau Mungu;
mimi sioni msaada wa hao uwaitao wataalam kwenye hili tofauti na kupima basi,kwa kuwa hakuna dawa je huyo mtaalam ana kazi gani zaidi ya hiyo?,
kuwa mkweli tu,hauna hoja yenye nguvu ili mada zako zikubalike hapa jukwaani;
kupima,kutoa idadi ya wagonjwa,je,kuna faida yoyote katika hayo?,
je,ndio kupambana na ugonjwa?,
kila mtu na kila nchi ina mfumo wake kwenye kupambana na huu ugonjwa, china walijenga hospital kubwa pale wuhan ila marekani hawajanya hilo,na wote wako sahihi;
na sisi hatutoi taarifa za wagonjwa, hatupimi bila ulazima, wanawe mikono,watu watumie dawa za asili maana zinatibu,wajifukize,na katika hayo tuko sahihi sana;
mambo ya wataalam "kujifukiza kunaunguza njia ya hewa" ndio ulitaka?,
hoja zako kwenye hili ni dhaifu sana,ni mtu wa uongo uongo kujionyesha great thinker ila hakika sivyo, na mada zako zimedhihirisha hilo maana hujui unataka nini hadi sasa;
corona haiondoki kwa kupima sana na kutangaza wagonjwa baada ya kupima,acha hao wapimao waendelee kupima, na sisi hatupimi na hatutakufa hakika;
KUWA MKWELI,ACHA UNAFIKI,HAKUNA FORMULA YA KUPAMBANA NA NCOVID-19, KILA MTU NA KILA NCHI ILA WATU TOFAUTI NA UCHUMI TOFAUTI, NA AKILI TOFAUTI NA MAWAZO TOFAUTI, ACHA MAISHA YAENDELEE;
JIFUNZE KUWA MKWELI;

Naelekea msibani mkuu. Sadly, nikiwa sina taarifa zozote sahihi za prevalence ya huu ugonjwa katika hatua zote nitakazo pita mimi wala waombolezaji wengine.

Pengine ningejua kikamilifu ningechukua tahadhari zaidi na hata kughairi kabisa. Pengine tungehitaji utaratibu thabiti zaidi kwenye zoezi zima tokea kwenye usafiri kumuaga mpendwa wetu hadi kurejea majumbani.

Kwamba unaonaje wewe kuhusiana na miye? Hiyo ni haki yako huna hata haja ya kuniambia. Mbona miye sijachukua jukumu la kukufahamisha wewe kuwa ninakuonaje?

Unadhani nakuona kuwa uko vizuri? Katu! Hii ni bila kusahau kukumbusha kwa mara nyingine tena kuepuka kujipa mamlaka ya kuwa hakimu au jaji katikati ya hoja.

Nikukumbushe pia ni "COVID" siyo "nCOVID" kama unavyoandika wewe kila unalipotaja neno hilo. Tafadhali jiridhishe hayo kwenye mabandiko yako yote yaliyopita.

Typo mistake mara moja. Mara zote mkuu?

Kuukimbia ugonjwa kamwe hakuufanyi kuondoka wenyewe zaidi ya kuwatelekeza watu wasiokuwa na hatia wala uwezo wa kujinasua, hatarini.

In red yanawahusu (heshima kwake mkuu 'kiranga'):

IMG_20200724_095942_863.jpg

Bila ya kupeana makavu kama haya hapa na bila ya kupepesa macho:

Uhuru says Kenya cannot hide COVID-19 information like other countries

mbona kutoboa itakuwa ni maajabu kuliko ya Firauni? Koleo si kijiko, kiungwana na liitwe kwa jina lake.

Walisema waungwana "mficha maradhi, kifo humuumbua."

Ngoja tuendelee kuuficha ugonjwa huu na taarifa zake, kwa maana ndivyo waliopoka uongozi wa mapambano dhidi ya ugonjwa huu, hali hawana a b c d zozote za elimu ya afya au kwa kutanguliza njaa zao, wanavyotaka.

Ukweli mchungu bandiko hili hapa chini linakuhusu wewe na wenzio wote mliopoka hatamu za mapambano dhidi ya ugonjwa huu kwa sababu zozote zile mlizojiaminisha ili kuuficha ukweli.

Kwa hakika bandiko hili #5, kwenye uzi huu linawahusu vilivyo:

IMG_20200728_075518_669.jpg

Eeh mola wetu na apumzike kwa amani mpendwa wetu rais mstaafu Hayati Mkapa.
 
Hivi serious unaandika "sina taarifa zote sahihi....." kweli?,
huu ni ukweli au uongo?,
mbona unaweka mada hapa kama vile una taarifa kamili?
Kama hauna taarifa sahihi,kaa kimya,ukipata taarifa sahihi leta;
wewe mwenyewe umesema hauna taarifa sahihi,hapohapo kwenye nchi hiyohiyo yenye serikali ileile isiyotoa taarifa sahihi unaenda msibani hali ukijua uko hatarini na unakubali kuwekwa hatarini hapohapo unaleta mada zako za nCOVID-19 hapa jukwaani katika weledi?,
sikubaliani na wewe kwa 99% lazima kuna kitu hakiko sawa;
Naelekea msibani mkuu. Sadly, nikiwa sina taarifa zozote sahihi za prevalence ya huu ugonjwa katika hatua zote nitakazo pita mimi wala waombolezaji wengine.

Pengine ningejua kikamilifu ningechukua tahadhari zaidi na hata kughairi kabisa. Pengine tungehitaji utaratibu thabiti zaidi kwenye zoezi zima tokea kwenye usafiri kumuaga mpendwa wetu hadi kurejea majumbani.

Kwamba unaonaje wewe kuhusiana na miye? Hiyo ni haki yako huna hata haja ya kuniambia. Mbona miye sijachukua jukumu la kukufahamisha wewe kuwa ninakuonaje?

Unadhani nakuona kuwa uko vizuri? Katu! Hii ni bila kusahau kukumbusha kwa mara nyingine tena kuepuka kujipa mamlaka ya kuwa hakimu au jaji katikati ya hoja.

Nikukumbushe pia ni "COVID" siyo "nCOVID" kama unavyoandika wewe kila unalipotaja neno hilo. Tafadhali jiridhishe hayo kwenye mabandiko yako yote yaliyopita.

Typo mistake mara moja. Mara zote mkuu?

Kuukimbia ugonjwa kamwe hakuufanyi kuondoka wenyewe zaidi ya kuwatelekeza watu wasiokuwa na hatia wala uwezo wa kujinasua, hatarini.

In red yanawahusu (heshima kwake mkuu 'kiranga'):

View attachment 1519307

Bila ya kupeana makavu kama haya hapa na bila ya kupepesa macho:

Uhuru says Kenya cannot hide COVID-19 information like other countries

mbona kutoboa itakuwa ni maajabu kuliko ya Firauni? Koleo si kijiko, kiungwana na liitwe kwa jina lake.

Walisema waungwana "mficha maradhi, kifo humuumbua."

Ngoja tuendelee kuuficha ugonjwa huu na taarifa zake, kwa maana ndivyo waliopoka uongozi wa mapambano dhidi ya ugonjwa huu, hali hawana a b c d zozote za elimu ya afya au kwa kutanguliza njaa zao, wanavyotaka.

Ukweli mchungu bandiko hili hapa chini linakuhusu wewe na wenzio wote mliopoka hatamu za mapambano dhidi ya ugonjwa huu kwa sababu zozote zile mlizojiaminisha ili kuuficha ukweli.

Kwa hakika bandiko hili #5, kwenye uzi huu linawahusu vilivyo:

View attachment 1519285

Eeh mola wetu na apumzike kwa amani mpendwa wetu rais mstaafu Hayati Mkapa.
 
Corona ni hatari kuliko malaria ila ili uweze kuona athari yake ni hadi upime watu kwa wingi corona ndio uweze kujua athari yake,malaria pia ukiangalia takwimu utaona ni ugonjwa hatari maana unauwa sana watu japo mitaani watu hawana hofu na malaria japo kitakwimu ni moja ya magonjwa yenye kuondoa sana watu.
 
Tuletee mrejesho wa kutokuzingatia masharti, leo ni Sept 3 2020.

Ngoja tumwondoe jiwe kwanza.

Haina taabu tukifa kwa Corona wakati tunapambana kusimika mtu mwingine atakaye sikiliza na kuthamini uhuru na haki za maisha ya watu.

Dharura sasa hivi ni huyu bwana kupumzika salama Chatto kwanza.

Niyeye 2020 ndiyo habari ya mjini.
 
Kumbe theads zote za Corona ulizo zianzisha kila siku kumbe nyuma ulikuwa na ajenda zako za kisiasa.

Ila nitakushangaa zaidi kama ukiwa unaenda kwenye mikutano ya NI YEYE ,manake mwenzetu unaogopa Corona.

Kumbe tatizo Magu hii Corona uliitimia kama kiki tu ya kisiasa.
 
Kutoka kwa wahanga watarajiwa wa Covid-19

Huu ni waraka wa wazi kutoka kwetu tulio wahanga watarajiwa wa covid-19 kuja kwenu nyie tuliowapa mamlaka na sasa mnatutoa kafara wakati nyie mko pema.

Ninaandika waraka huu kwa kudra za mola nikiwa ningali hai na nikiwa na imani ya dhati kuwa marehemu wengi mliowatoa kafara wangeandika waraka kama huu laiti wangalipata nafasi au wangalijua au kuyahisi yaliyokuwa mbele yao muda kabla ya changamoto za kupumua kuwafika.
brazaj

Ila sasa jamaa amekubali kutolewa kafara bila shida.
 
Back
Top Bottom