Corona: Shule Afrika Kusini zafungwa tena

Kwanini wewe hujaweka kwenye hizo asilimia ili ushehenishe bandiko lako kabisa kabla ya kulileta huku?

Au nyie ndiyo wale wenye kulinganisha ng'ombe 20 kwa upande mmoja na punda 20 kwa upande mwingine, kutaka kujua wapi ni zaidi?

Ni kwenye utumbo, pua, mgongo, sharubu au ni kwenye masikio?

Hiiiii bagosha!
Asilimia ni negligible ,au hazipo kwasababu no CORONA, kama unayo unayo wewe siyo sisi.

Nyie akina nani wakati wew ndo umelinganisha !??
Sasa wewe unachokitaka hasa ni nini? kwaio kama Corona ipo si huku mitaani tungeshuhudia vifo au wagonjwa mahututi,
kwani corona tangu lini ikajificha!
kwani wewe umejiweka Caranteen ? na kama sivyo unapambana humu humu sasa unacorona !? naweza sema jambo moja wewe ni kati ya watu wasioitakia mema nchi yetu.
" No CORONA TZ, Thank GOD , viva JPM ", hebu jaribu kuyarudia hayo maneeno kimya kimya utajihisi poa sana
 
Asilia ni negligible ,au hazipo kwasabu no CORONA, kama unayo unayo wewe siyo sisi. Nyie akina nani wakati wew ndo umelinganisha !?? Sasa wewe unachokitaka hasa ni nini? kwaio kama Corona ipo si huku mitaani tungeshuhudia vifo au wagonjwa mahututi, kwani corona tangu lini ikajificha! kwani wewe umejiweka Caranteen ? na kama sivyo unapambana humu humu sasa unacorona !? naweza sema jambo moja wewe ni kati ya watu wasioitakia mema nchi yetu." No CORONA TZ, Thank GOD , viva JPM ", hebu jaribu kuyarudia hayo maneeno kimya kimya utajihisi poa sana

Haha ha ha. Usitake ncheke.

Yaani hapo ndiyo umeandika nini? Au unaandika kwa uzi upi?

Jiridhishe tafadhali. Hata kwa vyoo tu huna budi kujiridhisha kuwa jinsia imezingatiwa sembuse nyuzi?!

Ama kweli JF raha sana. Viva Don Nalimison.

Hiiii bagosha!
 
nashukuru sana umeuelewa ukweli ,
usijaribu tena kuongea jambo kwa mihemko wakati huna unachojua sawa kijana? JIPIGE KIFUA NA USEME ' NO CORONA ' kafanye kazi hakuna likizo za
bure hapa
 
Kujipiga vifuani ni tabia za masokwe.

Miye siyo mmoja wao.

Kuna ka list ngoja nikusajili pale (JF Kongole kwenu). Kila anayetinga humo huwa anatuacha kwa amani sana.

Bye bye amigo don't even mind to write back.
 
kwanini unahitimisha kuwa kujipiga kifua ni tabia za masokwe , kwani sisi binadamu hatuwezi kujipiga kifua , kujipiga kifua ni dalili ya kujiamini na kujipa moyo.
so jipe moyo na jiamini kwamba tumeishinda Corona .

kwaheri na kila la kheri
 
Inasemekana hata Spanish flu ilifanya kweli kwenye second blow. Baada ya watu kuchoka karantini, uchumi kuyumba wakaamua liwalo na liwe na ndipo nayo ikarudi kuwaadhibu kwa kishindo.
Watanzania wenzangu hatutakiwi kubweteka sana, tuwe makini.
 
😀😀
kweli maisha hayana formula sisi tulijidanganya na bado tukatoboa

Ipo tofauti ya wazi baina ya kutoboa na kujidanganya kuwa umetoboa hali uko dhoofu bin hohe hahe.

Wapumzike kwa amani waliotutangulia. Wametangulia wao nasi tu nyuma yao.

Haisaidii kujidanganya kuwa upo vizuri hali unajua kuwa uko vibaya. Hilo ni common sense.
 
Ni mwenye maslahi binafsi na ugonjwa huu tu, ndiye anayeweza kuidunisha hatari yake huku akijua kuwa huu ugonjwa upo, unauwa na kila mtu yuko hatarini.

Wapumzike kwa amani wote waliotangulia, nasi tuliotelekezewa janga hili, tu nyuma yao. Ni suala la muda tu:

Kutoka kwa wahanga watarajiwa wa Covid-19
Toka mwezi wa tatu hadi sasa bado unazungumzia muda? labda iwe suala la muda kwa maana kila mtu atakufa bila kujari utakufa na nini,lakini hivi vitisho vya corona havina nafasi tushatoka huko.
 
Suala la muda linatuhusu sisi tuliotelekezewa janga.

Kama wewe ni wale wenye taarifa sahihi za mikoa, wilaya, Kata, vitongoji, vijiji, nk vilivyo athirika zaidi kiasi cha kujiwekea tahadhari binafsi, suala la muda litakuhusu vipi?

Palikuwa na habari za ventilator kung'olewa hospitali moja kanda ya ziwa. Kama hata mnang'oa ventilator nzima nzima na kutembea nayo kote mnapokwenda, suala la muda litawahusu vipi?

Jiridhishe kwanza kama wewe ni mhanga mtarajiwa:

Kutoka kwa wahanga watarajiwa wa Covid-19

Wadanganyeni na wafumbieni wajinga. Ila, werevu watawang'amua.

Apumzike kwa amani mzee wetu rais mstaafu Mkapa.
 
Nilichogundua ni kwamba kujadiliana na nyie watu katika hili suala ni sawa na kubishana masuala ya imani,mshaamua kuamini hivyo mnavyoamini hata kama uhalisia unapingana nanyi.

Hivyo hao wanaofanya watu wajinga kwa kuwadanga ni nani? Tumeona mama mkapa akikumbatiana na mama magufuli,ila bado mtu hilo jambo halimfikirishi yeye kang'ang'ania tu kuwa Mkapa kafa na corona ila tunafichwa.
 
Onyesha wapi nilipoandika Mkapa kafa na Corona.

Unaruka ruka tu Mara huku mara kule.
 
usimjibu huyo jamaa,ni mjinga mmoja asiyejua anataka nini na akipata akitakacho kitamsaidia nini;
angeweza kunipa details 3 tu kuwa anataka sisi kama taifa tufanye nini na tukifanya hayo tutapata nini kama njia za kuishinda nCOVID-19 ningemuelewa,ila nimeona ni mjinga fulani asiye na maana,bali mnafiki na mbishi asiyetaka elimu mpya;
acha aendelee kusubiri muda,sisi tunajikinga huku tukipiga kazi,yeye aendelee kusubiri data za wagonjwa na vifo aone akipata data zitamsaidia nini;

Hakuna nilipoandika kuwa wewe umesema Mkapa kafa na corona bali nimewaelezea watu ambao wanaamini hivyo kwa kujiona kuwa wao ni waerevu hawadanganywi. Wao wanadai kumekuwa na wingi wa vifo vya ghafla na sababu ni corona hivyo wanaamini hata kifo cha Mzee Mkapa ni muendelezo wa vifo vya ghafla vya corona.
 
Jazba ya nini sasa? Mkikosa hoja mnarukia matusi?

Hayo mbona tangu MODs wafanye yao tukapata kale ka list pendwa ka kuwapumzisha mazwazwa unilaterally, hamtupi pressure tena. Sembuse wewe uliyeifahamu JF juzi juzi?

IMG_20200727_193837_131.jpg

Mara ngapi mmeambiwa nini kifanyike bado tu huoni? Comment #9 inakuhusu. Kama bado pia huoni nakuwekea hapa tena. Vaa na miwani kabisa inaweza kuwa shida macho yako:

IMG_20200725_112952_031.jpg
 
p

mimi nashanga watz sana

kama wewe ni mzima hata mimi ni mzima na flani pia ni mzima

tusilazimishe kuuguza watu wakati wewe hujaugua sijui wanataka nani augue

wanakera sana wanaolazimisha korona ipo
Wabongo wanapenda sana hadithi za kusadikika...kwa mfano kila Mvuvi atakayekuhadithia habari za uwepo wa Vibwengo baharini mwishoni atakwambia ilimtokea jamaa/ndugu/Mzazi wake....hakuna atakayekwambia kwamba yeye ndiye muhanga ingawa atasisitiza Vibwengo wapo.
 
Hakuna nilipoandika kuwa wewe umesema Mkapa kafa na corona bali nimewaelezea watu ambao wanaamini hivyo kwa kujiona kuwa wao ni waerevu hawadanganywi. Wao wanadai kumekuwa na wingi wa vifo vya ghafla na sababu ni corona hivyo wanaamini hata kifo cha Mzee Mkapa ni muendelezo wa vifo vya ghafla vya corona.

Jambo la maana kwamba kumbe hayo yote uliyokuwa umeandika hayanihusu na ulikuwa kwenye starehe zako tu.

Kukushauri tu, ukiwa unabandiko random kwa ajili ya watu wengine, jisikie huru kuanzisha uzi wako kwa hilo. Ndiyo ustaarabu huo mkuu. Sote tunafanya hivyo mkuu.
 
Kama wewe sio unayesemaga kwamba kumekuwa na wingi wa vifo vya ghafla katika kipindi hiki cha corona basi hayo hayakuhusu ila ikiwa ndio wewe unayehusisha vifo vya ghafla na corona katika kipindi hiki basi hayo yanakuhusu.
 
Back
Top Bottom