Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,309
Nakaa kwenye nchi inayoongoza kwa Corona duniani, na nina jamaa zangu wa karibu waliowafahamu watu waliokufa kwa Corona (watu kama sita hivi).Haina taabu tukifa kwa Corona wakati tunapambana kusimika mtu mwingine atakaye sikiliza na kuthamini uhuru na haki za maisha ya watu.
Wote hao tangu dalili mapaka kufa hawakuchukua zaidi ya siku kumi, wakaondoka, tena mmoja alikuwa binti wa kichikana aliyekuwa na miaka 25 tuu.
Sasa ni Corona gani unayoijia wewe inayochukua miezi minne bila kuua?