Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

Huo uafadhali wa kupata GPA kubwa ukiwa private ni kwa sababu private wanamchukulia mwanafunzi kama mteja hivyo ukimkazia uzi wateja watakukimbia
Sasa nenda UDSM uone lecturers walivokua wanaa bro GPA unayopata ndo GPA yako halisi hakuna kuangushia kule lazima uhenye kuipata hata kama ni GPA ya 2.5
Ingekua wanajali wateja disco supplementary na carry zisingekuepo. Kua na uhakika na data zako punguza kukariri ndo kunakupunguzia GPA
 
Wewe mwenye si muhusika wa public University hujui kwa nini?
Kwa sababu sio mhusika wa private universities ambako wanazalisha watu wenye GPA kubwa kwa wingi kuliko public universities.
Aliyefanyia utafiti na kupata data hadi akatoa matokeo haya ndo aseme kwa nini huko private kuna hali hii.
 
Niulize mimi mkuu nitakupa each and every thing
 
Yaani hata Kiingereza chako ni cha wasiwasi utafikiri umelazimishwa. Private universities are for profits and treat their students as commodities. I would agree with you if you were talking about countries like the USA where prestigious private universities like Harvard, Princeton, Yale, Stanford, John Hopkins, Northwestern, U.of Southern California, Columbia, MIT etc produce some of the best minds in the world. Lakini hapa Tanzania mkuu vyuo vikuu binafsi ni magumashi na wanachojali ni pesa tu. Ndiyo maana utakuta mkuu wa Idara hata Masters hana. Unategemea wanafunzi wanaozalishwa wakoje?

Wabeja sana mwana wane kwa hili li comment maridhawa, nadhani baada ya kusoma reply hii mleta mada atakuwa kajiona mwenyewe alichokiandika ni uharo mtupu ambao haupaswi kutamkwa hadharani na msomi.

I do hope next time he'll try to be phlegmatic in order not to be beguiled by sham gimmicks of the so called private universities, also he will hide his surfet level of incognizance and mediocrity.
 
Mkuu ingependeza kama ungetumia kiswahili maana nimeshindwa kuelewa hiyo lugha uliyotumia.
Daima tumia lugha unayoimudu sio kuparamia lugha za watu usizozijua.
 
Wabeja sana mwana wane kwa hili li comment maridhawa, nadhani baada ya kusoma reply hii mleta mada atakuwa kajiona mwenyewe alichokiandika ni uharo mtupu ambao haupaswi kutamkwa hadharani na msomi.

I do hope next time he'll try to be phlegmatic in order not to be beguiled by sham gimmicks of the so called private universities, also he will hide his surfet level of incognizance and mediocrity.
Nyie ndo mnafeli mitihani unajifanya hodari wa vocabulary kumbe unaandika kisichoeleweka. Use a simple English.
 
1481661789626.jpg
katika ubora wake
 
Wabeja sana mwana wane kwa hili li comment maridhawa, nadhani baada ya kusoma reply hii mleta mada atakuwa kajiona mwenyewe alichokiandika ni uharo mtupu ambao haupaswi kutamkwa hadharani na msomi.

I do hope next time he'll try to be phlegmatic in order not to be beguiled by sham gimmicks of the so called private universities, also he will hide his surfet level of incognizance and mediocrity.
Kiingereza chako. Na Nyani Ngabu. Na Kiranga. Kilishanishinda. Nadhani mnastahili u-Sir kutoka kwa Malkia. Mnaijua lugha yake kwa ufasaha wa ajabu. Na huyu mwenzangu na mimi mleta mada hata sijui kama ataelewa cho chote katika hii comment yako. Asante!!!
 
Kaka;
Weye umeshangaa kichwa tu?? Umeusoma uzi wenyewe?? Jamani, hii lugha ya malkia ililetwa na meli, tusiishabikie kihivyo. Ndo maana wengi mnasema tuiondoe kwenye kufundishia chuo kikuu. Nadhani alipata shida saana kumsikia lecturer ka alipitia chuo chochote. It is so pathetic.
halafu inawezekana ameedit kabisa hata zaid ya mara tano kabla ya kupost...hahahaha...kweli kidhungu muachie pogba wa phd
 
Dah! Nasoma comments za wachangiaji ktk huu uzi mpaka inasikitisha aisee... Kama hali ya graduates ipo hivi sijui huko uraiani hali ikoje.
 
I think he is kidding, mnapoteza muda wa kulumbana naye. Haiwezekani kwa comments zote hizi aendelee kubisha tu, na ajione kuwa yupo sahihi kwa lugha aliyoitumia, atakuwa anatania. Anataka awatoe watu mapovu.

Ila kama atakuwa anamaanisha na hatanii, basi cha ARUSHA kinahusika. Huu ni mtazamo wangu tu. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom