Hahahhahaa Mungi unajitamanisha ndofu lol ngoja nigonge moja.... charminglady kuja tushtue moja aisee
Btw miss you sana
Hiyo group dawa yake naijua....kwanza mi siogopi mtu lol hehehe naogopa chupa tuHahaaaaaah kijana umetepeta, majungu squad imeibuka na ushindi tehe tehe.
Hiyo group dawa yake naijua....kwanza mi siogopi mtu lol hehehe naogopa chupa tu
Sasa chupa ina shida gani???? Sema niwewe tu???
Hahahahahahahaaaaaa
Mzee wa Rula unanifanya nitamani kuongeza nyingine
Kwani unadhani inanasa ukimchukua kwenye ugwadu mwenzio?Jamani nimesikia tukio sasa hivi kama la temeke limetokeo huku kwa mrefu na wahusika wamekimbizwa hapo hospital Arumeru hivi ErickB52 atakosa hapo? Hebu angalieni kama yupo kwenye kikao
Jamani nimesikia tukio sasa hivi kama la temeke limetokeo huku kwa mrefu na wahusika wamekimbizwa hapo hospital Arumeru hivi ErickB52 atakosa hapo? Hebu angalieni kama yupo kwenye kikao
Yan nawaambia akina Baba V Madame B Nicas Mtei snowhite moto2012 TANMO BAGAH Zinduna Bishanga King'asti Mtambuzi Remmy BADILI TABIA Asprin lara 1 mtu chake na watu wa Mwanza Elizabeth Dominic judgement na charminglady Arusha ndio makao makuu ya JFBa.,ba..baa., banjuka tu, anaweka shida chini ananyanyua mikono juu, maisha ni matamu lakini ni mafupi, banjuka tu, hayo ni maneno ya Erickb52.
angalia unavyojichanganya......... Hiyo coke pineapple ya wapi hahaaaaa
T.e.h
Mungi baada ya kuacha ndofu nimehamia kwenye Konyagi ya Kopo...imetulia mbaya...
LiverpoolFC na Arushaone karibuni muionje
Hahahhahaa Mungi unajitamanisha ndofu lol ngoja nigonge moja.... charminglady kuja tushtue moja aisee
Btw miss you sana
Wakati naanza kuperuzi hii thrade, niliona kama ina mzahamzaha hivi, bt kila nilipokua nazidi kupitia comments za wadau nimekubali wadau wako bwii bwax la ukweli. Hawatanii !