Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Huijui Blaki Womani?hapo bold ndio kinywaji gani lol ndofu sio mchezo
Last edited by a moderator:
Huijui Blaki Womani?hapo bold ndio kinywaji gani lol ndofu sio mchezo
taja lokesheni ya supu tukuje fasta
TehtehChezea maji ya ilala weye, nilisema labda kuna kademu alikuwa anakafukuzia kakampa sharti hilo, ameshakalamba karudi NYUMBANI
Asa shem mbona wauliza habari za jana ukitumia vitenzi vya leo? "nani yuko bwax!" (prsnt cont tense) najua wajua sana ulipashwa uulize "nani alikua bwax?"
but una'act kujitoa fahamu! Hence mi nikichukulia hiyo yote is just because due "mning'inio" itakua siko sawa?
Btw umeamkaje Preta ?
7 Up...
kwani nini kinaendelea hapa.....bia yangu iko wapi.....?
Habari yako bhana ndio nazinduka, hee kumbe mmeshaondoka, hivi ni saa ngapi? kazi kweli kweli.
Well, akichelewa kutupa fidibaki nakunywa supu ya mzazi kwa hasira..................... kisingizio na mi pia ni mzazi kumbe mning'inio hahaaaaa
kwani nini kinaendelea hapa.....bia yangu iko wapi.....?
ukimaliza kunywa hakikisha unamnyonyesha kachanga
Thanks God ndo nimetoka ibada ya pili
Yaani LF kama ndo ilikua hivi , hadi netwk kufuta mawe yote ya mnara!
Asa una uhakika gani kama hakuna alietupia nyavuni wkt umepoteza? Na hapo akina Erickb52 , Mungi
Mzee wa Rula
Baba V
walikuwepo tena wakiwa tingas !