Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Yan nawaambia akina Baba V Madame B Nicas Mtei snowhite moto2012 TANMO BAGAH Zinduna Bishanga King'asti Mtambuzi Remmy BADILI TABIA Asprin lara 1 mtu chake na watu wa Mwanza Elizabeth Dominic judgement na charminglady Arusha ndio makao makuu ya JF
karibuni sana Half London
Wakati naanza kuperuzi hii thrade, niliona kama ina mzahamzaha hivi, bt kila nilipokua nazidi kupitia comments za wadau nimekubali wadau wako bwii bwax la ukweli. Hawatanii !
huna haja ya kuja tena manake Amyner amemkubalia na mandovu yake.............. Kaa huko huko......... Kama vipi kuja kipande hii kabla sijaenda sero tena
wadau wote tofauti na Erickb52 tuko fiti.................. Tatizo lipo kwa jamaa................ Kwa mbaaali naniii ndo kidogo naye anakaribia kiwango cha kupelekwa kwa mago
In accordin with your hints concernin 52 it means till rite now headlamp zake hazifanyi kazi tena!
Ndo kusema muda huu anatambaa kwa kuonea parkinlamp only! Is't ?
Niko fit kaka tena niko najaribu kuhakikisha Mungi haondoki na muhudumu maana naogopa asipelejwe Sero tenaIn accordin with your hints concernin 52 it means till rite now headlamp zake hazifanyi kazi tena!
Ndo kusema muda huu anatambaa kwa kuonea parkinlamp only! Is't ?
Wacha weye... Me nashika pembe tu!