Arusha Kilimanjaro
Member
- Jul 6, 2026
- 21
- 59
- Thread starter
- #81
Ahsante sana Babu.Nawe chunga sana mkeo asiwe mmoja wapo wa kugawa utamu kwa kigezo Cha huduma ama kukosa tendo
Japo ni vigumu kumridhisha mwanamke
Tuishi nao kwa akili

Barikiwa sana 🙏Ahsante sana Babu.
Ufirauni tu, hivi mwanaume unapata wapi ujasiri wa kukaza makebo kumwaga kwa mwanaume mwenzio kama sio ushogaZamani mtu akifumaniwa na mke wa mtu kesi inaitwa ya ugoni kisha pesa inadaiwa kesi inaisha ila siku hizi sijui kwanini watu wanataka sehemu za siri za nyuma za mwanaume zihusike kwenye kesi
Daah wazoefu mnapeana mbinu kabisaJitahidi usiwe unalala nao majumbani kwao, tafuta lodge za mbali na wanapoishi na uwe unabadilisha lodges mara kwa mara.
Kingine ukichukua mke wa mtu kwenda naye lodge acha maelekezo mapokezi achukue funguo aingie chumbani wewe ukiwa kwa mbali una scan mazingira kama dakika tano hivi ndio uingie kumfuata.
Pia usipende kumpakiza kwenye gari lako kwenda au kutoka naye lodge.
Sio mzoefu ila sipendi tabia za fumanizi na kupaka watu mafuta, naona ni kukosa ustaarabu. Mtu akijua mwanamke wake anachepuka aachane naye tu kwa amani badala ya kuanza kuleta vurugu.Daah wazoefu mnapeana mbinu kabisa
Namimi najuta kukuibia, mara kadhaa hujikuta nipo maeneo ya makazi yako ambapo hukutana na mkeo nyumbani kwa shoga yake, japo najutia lakini nashindwa kuacha, samahani jirani yangu.Lengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.
Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..
Naishi Mkoa wa Katikati ya nchi..Mpaka sasa nimelala na wake za watu wasio pungua 12..
Kuna wale niliolala nao wakiwa wajawazito..Hapa wengine nilijua wengine sikujua kuwa waja wazito. Kuna waajaliwa na ambao sio waajaliwa..
Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.
Kuna wake wa Police,Bankers na wafanya biashara wakubwa..Mimi pia ni Mtumishi issue inayonipa changamoto ni kuwa nikiweka ukaribu wangu tu sijawahi kataliwa ..
Kuna wakati wengine nimelala kwenye majumba yao kwasababu ya ratiba za ubusy wa wauke zao.
Hizi siku tatu mfululizo nimefululiza kulala nao mpka nimeona kero .Naona namkosea Mke wangu japo hajui lolote.
Nahitaji msaada wa kiushauri hata wa kiroho wakuu.
Yapo mengi nitazidi kuyaandika kwenye comment.
Mkuu Kila MTU ana mwisho wake wa hasira.Sio mzoefu ila sipendi tabia za fumanizi na kupaka watu mafuta, naona ni kukosa ustaarabu. Mtu akijua mwanamke wake anachepuka aachane naye tu kwa amani badala ya kuanza kuleta vurugu.
Ahahaa ila shem 😂😂😂Unapoandika sentinsi uwe unaimalizia ili title ieleweke vizuri.
Ukisema, "nimelele na mke wa mtu", binafsi najua umelala naye tu hadi pakakucha.
sema hivi:👉 Nililala na mke wa mtu na kumdinya.
Lengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.
Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..
Naishi Mkoa wa Katikati ya nchi..Mpaka sasa nimelala na wake za watu wasio pungua 12..
Kuna wale niliolala nao wakiwa wajawazito..Hapa wengine nilijua wengine sikujua kuwa waja wazito. Kuna waajaliwa na ambao sio waajaliwa..
Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.
Kuna wake wa Police,Bankers na wafanya biashara wakubwa..Mimi pia ni Mtumishi issue inayonipa changamoto ni kuwa nikiweka ukaribu wangu tu sijawahi kataliwa ..
Kuna wakati wengine nimelala kwenye majumba yao kwasababu ya ratiba za ubusy wa wauke zao.
Hizi siku tatu mfululizo nimefululiza kulala nao mpka nimeona kero .Naona namkosea Mke wangu japo hajui lolote.
Nahitaji msaada wa kiushauri hata wa kiroho wakuu.
Yapo mengi nitazidi kuyaandika kwenye comment.
Dhambi huwa inatabia ya kushtaki nafsi utajiona waajabu tu na hufai, tubu mkuu ili uanze maisha mazuri ya kumpendeza MunguLengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.
Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..
Naishi Mkoa wa Katikati ya nchi..Mpaka sasa nimelala na wake za watu wasio pungua 12..
Kuna wale niliolala nao wakiwa wajawazito..Hapa wengine nilijua wengine sikujua kuwa waja wazito. Kuna waajaliwa na ambao sio waajaliwa..
Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.
Kuna wake wa Police,Bankers na wafanya biashara wakubwa..Mimi pia ni Mtumishi issue inayonipa changamoto ni kuwa nikiweka ukaribu wangu tu sijawahi kataliwa ..
Kuna wakati wengine nimelala kwenye majumba yao kwasababu ya ratiba za ubusy wa wauke zao.
Hizi siku tatu mfululizo nimefululiza kulala nao mpka nimeona kero .Naona namkosea Mke wangu japo hajui lolote.
Nahitaji msaada wa kiushauri hata wa kiroho wakuu.
Yapo mengi nitazidi kuyaandika kwenye comment.
Ushauri wangu tembea nafuta jingiLengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.