Akiendelea kuna siku hatopost humu tenaUkiendelea kuna siku hautapost humu tena.
Indeed unahitaji .msada wa kirohoLengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.
Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..
Naishi Mkoa wa Katikati ya nchi..Mpaka sasa nimelala na wake za watu wasio pungua 12..
Kuna wale niliolala nao wakiwa wajawazito..Hapa wengine nilijua wengine sikujua kuwa waja wazito. Kuna waajaliwa na ambao sio waajaliwa..
Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.
Kuna wake wa Police,Bankers na wafanya biashara wakubwa..Mimi pia ni Mtumishi issue inayonipa changamoto ni kuwa nikiweka ukaribu wangu tu sijawahi kataliwa ..
Kuna wakati wengine nimelala kwenye majumba yao kwasababu ya ratiba za ubusy wa wauke zao.
Hizi siku tatu mfululizo nimefululiza kulala nao mpka nimeona kero .Naona namkosea Mke wangu japo hajui lolote.
Nahitaji msaada wa kiushauri hata wa kiroho wakuu.
Yapo mengi nitazidi kuyaandika kwenye comment.
Kabisa mkuu, ni heri kuwa na mwanamke wa pembeni kuliko mke wa mtu hasa wewe ukijikua kabisa una mke nyumbani. Yamkini stori za watu kuuliwa na kubakwa anachukulia utani tu.Atatengenezewa historia ambayo hatoisahau hapa duniani mpaka ahera.
😅😅😅😅😅😅😅Unapoandika sentinsi uwe unaimalizia ili title ieleweke vizuri.
Ukisema, "nimelele na mke wa mtu", binafsi najua umelala naye tu hadi pakakucha.
sema hivi:👉 Nililala na mke wa mtu na kumdinya.
Sahihi sana isitoshe wanawake ambao sio wake za watu ni wengi sana mtaani, mwana kulitafuta huyo..... Ni suala la muda tu atalipata.Kabisa mkuu, ni heri kuwa na mwanamke wa pembeni kuliko mke wa mtu hasa wewe ukijikua kabisa una mke nyumbani. Yamkini stori za watu kuuliwa na kubakwa anachukulia utani tu.
Hapana am tired..Kwa nini unataka kuacha? Unaonekana uko proud na unachokifanya
kujua tatizo ni hatua nzuri sana ila kwa ushauri focus na familia ako ondoa mazoea yoyote yanayochochea mahusiano na wake za watu umesema mazoea ndo yanachochea ondoa mara moja na mbakize mahusiano ya kikazi na kijamii ushauri wangu ACHA MARA MOJA ukiendelea hautapost HUTAPOSTIWALengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.
Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..
Naishi Mkoa wa Katikati ya nchi..Mpaka sasa nimelala na wake za watu wasio pungua 12..
Kuna wale niliolala nao wakiwa wajawazito..Hapa wengine nilijua wengine sikujua kuwa waja wazito. Kuna waajaliwa na ambao sio waajaliwa..
Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.
Kuna wake wa Police,Bankers na wafanya biashara wakubwa..Mimi pia ni Mtumishi issue inayonipa changamoto ni kuwa nikiweka ukaribu wangu tu sijawahi kataliwa ..
Kuna wakati wengine nimelala kwenye majumba yao kwasababu ya ratiba za ubusy wa wauke zao.
Hizi siku tatu mfululizo nimefululiza kulala nao mpka nimeona kero .Naona namkosea Mke wangu japo hajui lolote.
Nahitaji msaada wa kiushauri hata wa kiroho wakuu.
Yapo mengi nitazidi kuyaandika kwenye comment.
MUNGU wa mbinguni akusaidie mkuu umeonesha hamu ya kuacha hii kitu kwa kuanza mblock uyo uliyeanza mahusiano mapya na mpotezee kabisaHapana am tired..
Nafahamu sifanyo kitu kinachofaa jambo moja ni kwanini naendelea...Jana tu nimeistablish uhusiano mpya na nikawa najiuliza nitaendelea hivi mpaka lini na kwanini wake za watu.
Am truly tired of this shit.