de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,037
- 21,857
Aisee🤣🤣🤣 tena uswazi ndo zao hizoo..napishana nao wamejifunga mitandio ya vijora chupi unaiona hii na unatikisiwa kabisa.
Aisee🤣🤣🤣 tena uswazi ndo zao hizoo..napishana nao wamejifunga mitandio ya vijora chupi unaiona hii na unatikisiwa kabisa.
Kuna mwaba mwingine nae anaruka na mkeo kama wewe unavyo ruka na wake wa wenzio, usio, usikute nanakula mpaka ndogoLengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.
Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..
Naishi Mkoa wa Katikati ya nchi..Mpaka sasa nimelala na wake za watu wasio pungua 12..
Kuna wale niliolala nao wakiwa wajawazito..Hapa wengine nilijua wengine sikujua kuwa waja wazito. Kuna waajaliwa na ambao sio waajaliwa..
Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.
Kuna wake wa Police,Bankers na wafanya biashara wakubwa..Mimi pia ni Mtumishi issue inayonipa changamoto ni kuwa nikiweka ukaribu wangu tu sijawahi kataliwa ..
Kuna wakati wengine nimelala kwenye majumba yao kwasababu ya ratiba za ubusy wa wauke zao.
Hizi siku tatu mfululizo nimefululiza kulala nao mpka nimeona kero .Naona namkosea Mke wangu japo hajui lolote.
Nahitaji msaada wa kiushauri hata wa kiroho wakuu.
Yapo mengi nitazidi kuyaandika kwenye comment.
😆Just imegine nilikuwa ugenini sina kampani zangu nikitoka job chap kuwahi geto nishike pc nicheki movie. Sasa mji una joto kinyama, bila feni hukai ndani siku moja umeme umekatika na karibu nyumba nzima wametoka.Aisee🤣🤣🤣 tena uswazi ndo zao hizoo..
Ha ha ha tumia tafsida mkuumwanaume abakwi anafirwa au kulawitiwa
Ni wengi sana saana.Sahihi sana isitoshe wanawake ambao sio wake za watu ni wengi sana mtaani, mwana kulitafuta huyo..... Ni suala la muda tu atalipata.
Kutembea na mke wa mtu kunafanya mke kupunguza mambo mengi sana kwa mumewe. Na hapo ndipo mwanaume anaanza kuwa na presha, mara kisukari nk so ni kama kuwahisha kifo cha mwanaume mwenzio.Wakati unajisifia kwenda kumla mke wa mtu kwenye nyumba yake na mumewe, jua kwamba na mkeo Kuna mwamba anakuja kumdinyia kwenye Kitanda chenu wewe ukiwa umeenda huko
Anyways, hakuna tuzo kwenye Uzinzi
Sisi kiimani, unakuwa umetenda dhambi 2 kwa pamoja
✓Uzinzi (amri ya 6)
✓Kutamani mke wa jirani yako (amri ya 9)
Mpende mkeo, kama umeona hakupi vile unapewa nje Anza kumfundisha
Sahihi kabisa, kwaninini ulale na mke wa mtu wakati wanawake wasioolewa wamejaa teleKutembea na mke wa mtu kunafanya mke kupunguza mambo mengi sana kwa mumewe. Na hapo ndipo mwanaume anaanza kuwa na presha, mara kisukari nk so ni kama kuwahisha kifo cha mwanaume mwenzio.
Mkuu wife ananipa kila ninachotakaWakati unajisifia kwenda kumla mke wa mtu kwenye nyumba yake na mumewe, jua kwamba na mkeo Kuna mwamba anakuja kumdinyia kwenye Kitanda chenu wewe ukiwa umeenda huko
Anyways, hakuna tuzo kwenye Uzinzi
Sisi kiimani, unakuwa umetenda dhambi 2 kwa pamoja
✓Uzinzi (amri ya 6)
✓Kutamani mke wa jirani yako (amri ya 9)
Mpende mkeo, kama umeona hakupi vile unapewa nje Anza kumfundisha
Kama unapewa na mke Kila huduma, basi hakuna haja ya wewe kumsalitiMkuu wife ananipa kila ninachotaka
Ahsante kwa ushauriKama unapewa na mke Kila huduma, basi hakuna haja ya wewe kumsaliti
Kitendo cha kumsaliti unamtengenezea mkeo sababu ya yeye naye kuanza kukusaliti ili kukulipishia
Mwisho wa siku, mtajikuta wote mnakuwa wagonjwa, mwisho wa siku mnakuja kuwaacha watoto wenu wakiwa mayatima
Mungu akubariki sana iwapo utaamua kubadirikaAhsante kwa ushauri
Kile kitendo cha kuandika tu hapa..Nimeuona moyo ukipata nguvu tena ya kusimama na kuachana na hili jambo..Mungu akubariki sana iwapo utaamua kubadirika
Am done nimechoka sasa natakiwa kuwa huru na imeshakuwa hivo.Shauri yako nakwambia 😅
Nawe chunga sana mkeo asiwe mmoja wapo wa kugawa utamu kwa kigezo Cha huduma ama kukosa tendoKile kitendo cha kuandika tu hapa..Nimeuona moyo ukipata nguvu tena ya kusimama na kuachana na hili jambo..
Nimejifunzq uzinzi ni addiction mbaya sana inayotumika na adui haswa ukizingati Mazingira yangu ya kuvutia zaid wake za Watu ndo ukakasi kabisa maana wasio olewa na single mother nilikuwa nawakwepa mno.
Ila Kwa ujasiri sana nasema Basi imetosha..
Maana nusu ya hawa walikuwa wananitumia kama nyenzo ya kulipa visasi kwa waume zao..
Linalonipa shida na hapa nitatumia jitihada ya ziada ni kwa wale ambao feelings za kimahusiano zilianzishwa.
Hawa wakutaka tu one time stendi hakika wanavumilika..
Na hii iwaendee waume za watu walioko humu pia..Wake zenu wengi wanatoka sana nje ya ndoa kwa kigezo cha migogoro na wengine kutopewa mapenzi inavotakiwa.