Confession: Juu ya kulala na wake za watu

Lengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.

Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..

Naishi Mkoa wa Katikati ya nchi..Mpaka sasa nimelala na wake za watu wasio pungua 12..

Kuna wale niliolala nao wakiwa wajawazito..Hapa wengine nilijua wengine sikujua kuwa waja wazito. Kuna waajaliwa na ambao sio waajaliwa..

Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.

Kuna wake wa Police,Bankers na wafanya biashara wakubwa..Mimi pia ni Mtumishi issue inayonipa changamoto ni kuwa nikiweka ukaribu wangu tu sijawahi kataliwa ..

Kuna wakati wengine nimelala kwenye majumba yao kwasababu ya ratiba za ubusy wa wauke zao.

Hizi siku tatu mfululizo nimefululiza kulala nao mpka nimeona kero .Naona namkosea Mke wangu japo hajui lolote.

Nahitaji msaada wa kiushauri hata wa kiroho wakuu.

Yapo mengi nitazidi kuyaandika kwenye comment.
Mkuu una watoto kadhaa kama ulivyosema.Naamini wa kiume wapo.Kwa mujibu wa Imani yangu ambayo hapa sitoitaja,naloaamini ni hili,hiyo tabia huenda imetoka huko kwa babu wa mababu.Sasa omba sana isiende kwa watoto wala wajukuu wako.Nimeona umejisikia vibaya juu ya matendo hayo.Unaweza usipate baya lolote kwa sasa,ila kijana wako akaja akatenda hayo akaishia kubaya.Malipo ya dhambi hii ni MAUTI.Badilika mkuu.Wale wa imani ya kihindu wanasema KARMA haijawahi acha mtu salama.
 
Kabisa mkuu, ni heri kuwa na mwanamke wa pembeni kuliko mke wa mtu hasa wewe ukijikua kabisa una mke nyumbani. Yamkini stori za watu kuuliwa na kubakwa anachukulia utani tu.
mwanaume abakwi anafirwa au kulawitiwa
 
Lengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena.

Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto kadhaa..Hatujawahi kuwa na magomvi yoyote yanayohusu mahusiano baina yangu Mimi na Mke na Mke wangu..

Naishi Mkoa wa Katikati ya nchi..Mpaka sasa nimelala na wake za watu wasio pungua 12..

Kuna wale niliolala nao wakiwa wajawazito..Hapa wengine nilijua wengine sikujua kuwa waja wazito. Kuna waajaliwa na ambao sio waajaliwa..

Nusu ya hawa sex ilifanyika kwenye nyumba zao haswa Sebleni.

Kuna wake wa Police,Bankers na wafanya biashara wakubwa..Mimi pia ni Mtumishi issue inayonipa changamoto ni kuwa nikiweka ukaribu wangu tu sijawahi kataliwa ..

Kuna wakati wengine nimelala kwenye majumba yao kwasababu ya ratiba za ubusy wa wauke zao.

Hizi siku tatu mfululizo nimefululiza kulala nao mpka nimeona kero .Naona namkosea Mke wangu japo hajui lolote.

Nahitaji msaada wa kiushauri hata wa kiroho wakuu.

Yapo mengi nitazidi kuyaandika kwenye comment.
Acha tu kama ulivyoanza, ukishindwa kuna siku atatokea mume wa mtu atakuwezesha kuacha.
 
Kuwala wake wa wenzako ni kujiendkeza vibaya na si useme ulizidiwa, wapo ambao wanafanya mitego kwa vijana wakati waume zao wakiwa kazini. Ila kama unajielewa umaweza epuka. Badili ratiba na uwe geto muda ambao jamaa zao wamerudi.

Nishawahi kupanga nyumba nikawa na tabia ya kuamka mapema mji ambao hawaamki mapema. Nikawa napishana nao asubuhi kwenda chooni, hadi nilibadili ratiba bila hivyo ningewala zaidi ya wawili pale ndani. Fikiria wapangaji wote wamelala, napishana nao wamejifunga mitandio ya vijora chupi unaiona hii na unatikisiwa kabisa.

Mwana mmoja akaja kuhamia ndiyo nikagumia siku moja mchana anamvutia mke wa mshkaji ambaye nilimuepuka. Nikakausha kama sijaona kitu, halafu mume wa demu ni mshkaji.

Tabia yangu ya kupotezea yasiyonihusu, hata kama sikuwagusa ikafanya wanikubali hata nikiwa naongea na waume zao wananichangamkia.
 
Kumtomba mke wa mpambanaji mwenzako ni jambo baya sana; si suala la matokeo yatakuwaje, bali ni suala la heshima na mipaka

Fikiria wewe unaenda kupambana, kujitafuta na kujenga maisha, halafu nyuma yako mwanaume mwenzako anakutombea mkeo

Hata kama mke wake ni malaya na au anakushobokea ni suala la heshima na mipaka

Atleast mtombee binti yake au beki tatu wake ila kwa mke umevuka mipaka

Unapataje raha kutomba mke wa mtu? Jitahidi uwe unabeba mafuta ya nazi next time
 
Zamani mtu akifumaniwa na mke wa mtu kesi inaitwa ya ugoni kisha pesa inadaiwa kesi inaisha ila siku hizi sijui kwanini watu wanataka sehemu za siri za nyuma za mwanaume zihusike kwenye kesi
 
Jitahidi usiwe unalala nao majumbani kwao, tafuta lodge za mbali na wanapoishi na uwe unabadilisha lodges mara kwa mara.

Kingine ukichukua mke wa mtu kwenda naye lodge acha maelekezo mapokezi achukue funguo aingie chumbani wewe ukiwa kwa mbali una scan mazingira kama dakika tano hivi ndio uingie kumfuata.

Pia usipende kumpakiza kwenye gari lako kwenda au kutoka naye lodge.
 
Kumtomba mke wa mpambanaji mwenzako ni jambo baya sana; si suala la matokeo yatakuwaje, bali ni suala la heshima na mipaka

Fikiria wewe unaenda kupambana, kujitafuta na kujenga maisha, halafu nyuma yako mwanaume mwenzako anakutombea mkeo

Hata kama mke wake ni malaya na au anakushobokea ni suala la heshima na mipaka

Atleast mtombee binti yake au beki tatu wake ila kwa mke umevuka mipaka

Unapataje raha kutomba mke wa mtu? Jitahidi uwe unabeba mafuta ya nazi next time
Kama imetokea wamependana afanyaje sasa?! Wanawake wengine huwa wanaolewa kwa sababu ya pesa tu au presha lakini hawana mapenzi kabisa na waume zao.
 
Amwambie huyo mwanamke atafute talaka kwa mumewe

Wakishatalikiana na mumewe hapo sasa yeye atakuwa huru kumtomba

Na sio kumtomba tu na kumuoa kabisa ili wafurahie mapenzi wakiwa huru
 
Unaona anachokifanya ni sawa wewe kila anayekupenda anakut*mba
 
Amwambie huyo mwanamke atafute talaka kwa mumewe

Wakishatalikiana na mumewe hapo sasa yeye atakuwa huru kumtomba

Na sio kumtomba tu na kumuoa kabisa ili wafurahie mapenzi wakiwa huru
Wanaume wengine wabishi kumuachia mwanamke waliyeoa, unakuta huyo mwanamke akijaribu kutamka talaka anaweza kupoteza hata maisha.
 
Jitahidi usiwe unalala nao majumbani kwao, tafuta lodge za mbali na wanapoishi na uwe unabadilisha lodges mara kwa mara.

Kingine ukichukua mke wa mtu kwenda naye lodge acha maelekezo mapokezi achukue funguo aingie chumbani wewe ukiwa kwa mbali una scan mazingira kama dakika tano hivi ndio uingie kumfuata.

Pia usipende kumpakiza kwenye gari lako kwenda au kutoka naye lodge.
Bado nausia 'Za mwizi ni 60 toa 20'
 
Hii tuki kudaka tuna paka mwili mzima unakua una teleza kama kambare Kisha utajua kwanini mke wa mtu Sumu
 
Attachments

  • kimbo oil.jpg
    kimbo oil.jpg
    17.9 KB · Views: 9
Back
Top Bottom