Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,683
- 2,157
Tunaweza kumjadili kama atafanya yaliyofanywa na Tajiri Zakayo:-
1. Agawe nusu ya mali zake zote kwa maskini (Lowassa anasadikiwa kuwa na more than 50b.)
2. Kama Aliiba mali yoyote ya Umma alipe mara mbili zaidi.
Kisha aje kwetu atubu then tunaweza kumfikiria kuanzia hapo.
Wote takataka tu. Chombo kichafu hakitoi chakula safi. Lowassa kwa aliyoyafanya hasafishiki kupitia JAMII FORUM.
tuko boti moja!naona hoja hapa ni yupi bora kati ya mwizi mchapakazi lowassa na mpole mdhaifu pinda..mie kwa upande wangu ni bora mpole mdhaifu pinda!
unaakili ya kuchanganua mambo: Nakubaliana kwa wawili hao,' bora mdhaifu mpole pinda'
you have spoken my mind,nchi itapoteza mamilioni kwa Pinda kuliko kwa LOWASSA.Kuna vitu viwili inabidi tuvitenganishe. Kuna swala la ufisadi na uchapaji kazi.. Kwa upande wangu naona Lowasa ni bora mara dufu ya Pinda kwan hata kama alikumbana na kashfa ya ufisadi alikua mchapakazi hodari asiyemwogopa mtu. hivyo ni rahisi kwake kuokoa rasisimali za taifa
Kuhusu pinda huyu bwana dhaifu kuliko maelezo kwani hasara nchi inayopata kutokana na upole wake ni bora ya ufisadi wa mtu mmoja. anaongea bila utendaji. hebu tujiulize kipindi chote toka MP pinda amekaa madarakan amefanya nini? he did nothing
Acha la ununuzi wa magari maana lina cheni kubwa sana kuliko unavyo weza kufikiria lakini kuna swala la kuitisha uchangu upya wa meya wa Arusha swala ambalo liko chini yake, ameshindwa amebaki kulindanganya taifa na kulia lia hovyo....Pinda anashindwa hata kufanya jambo dogo tu la kupiga marufuku ununuzi wa magari ya bei mbaya ambayo ni mzigo kwa serikali na taifa, anabaki kulalamika tu.