Hatimiliki tayariKabisa kule ni kupita kimya kimya huu ni uzi wetu yaan bado hatimiliki tuu

Nifundishe na mimi swahibaMmh. Vichwa ngumu nyie. Lol.
Mi niliacha wenye maswali yao wapate kuuliza ila nashangaa kimya.
Mwenzenu nakanda unga wa maandazi ndio mana nawapa likes tu si unajua maandazi ndio yananiweka mjini.
![]()
![]()
![]()
![]()
Jose new model![]()
![]()
Mzima mamy? ? Miss you
Usijali swahiba mie na wewe tena. Nilimwambia carba akufuate kule ujue ila hakukukuta.Nifundishe na mimi swahiba
josse wa mwanzo alikua mpole jaman
Woiiiiii wajifunze nini paleWatauliza mambo yao ya msingi leo kumbe huwa tunazuia wanashindwa kujifunza
Wanazimiaga nyuma ya keyboards za simuYaan unabaki unajiuliza kumbe tunavyo chat watu wanakereka woiiii

Nashkuru umeliona hilo ndugu halafu wanaanza kututolea povu woiiiii
Swahiba usikoseshwe amani na watu wasio na msaada kwako. Ubakoseshwa amani na ID's na avatars fake??Nilitetemeka sio siri maana kila anayeibuka katuona sie yaani nilikosa amani aisee.
Mzima rafiki? ??Mkimuona rafiki yangu linamo mwambieni namsalimia sana!![]()
Unasapoti nonsense!
Hahaaaa. AiseeeeWanatoa povu huku wakitaman kuendelea kusoma ubuyu wetu aiseee
Wanajifunza saiz za bamia na mihogoWoiiiiii wajifunze nini pale![]()
![]()
![]()
Hogo au bamia


mana kuna bamia saiz ya karoti