Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Nilisahau dada ila hapa ndio natoa yaliyokuwemoHujazoea tuu, miee huniuma na kusahau
Nilisahau dada ila hapa ndio natoa yaliyokuwemoHujazoea tuu, miee huniuma na kusahau
Acha tu kumbe Mungu alikuwa upande wetuUlikuwa kama mie mana sikuchangia kabisa zaidi ya kushukuru kuitwa then nikawa napita zangu kimya kimya.
Utawaweza. Achana nao wao ndio wambea.Kule kwenye interview et anauliza hii team umbea umeiita ya niniwatu hawa

Na mie nimeupitia asubuhi yoteHata miee nilitoka mapema ndo asubuhi kuupitia
Watu wanachuki tuUmeshindwa kuvumilia. Ikabidi umuulize umbea wetu ni upi?
Wangejua sisi sio wambea tunachangamsha tu jf wala wasingepata shida na sisi.
Nimecheka sana ila nilichofanya nilimpa like halafu nikajitokea mie.Halaf anashangaa kumbe huu uzi wa interview![]()
Nimeamua nimuache tuUtawaweza. Achana nao wao ndio wambea.![]()
![]()
Kule yaan sichangii kitu ujue mwendo wa likes tu nikiguswanimekuona ujue
KabisaaKule yaan sichangii kitu ujue mwendo wa likes tu nikiguswa
Sana yaani kwa sababu hakuna hata mmoja tuliyewahi gombana naye ujue.Watu wanachuki tu
Yule ni mbea jamaan mdogo akee sakayo bora sisi keKule kwenye interview et anauliza hii team umbea umeiita ya niniwatu hawa
Kweli kabisaUmeshindwa kuvumilia. Ikabidi umuulize umbea wetu ni upi?
Wangejua sisi sio wambea tunachangamsha tu jf wala wasingepata shida na sisi.
Yule ni mbea jamaan mdogo akee sakayo bora sisi ke


kumbe,nimeamua kuachana nae
Kama mie tuNimecheka sana ila nilichofanya nilimpa like halafu nikajitokea mie.