Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,926
Aaah nilijua chombezo zimepigwa marufuku leo udugu wangu njooni shunie emmyta linamo numbisa cab sakayo ney stabe woman piten huku

Hahahaha bora umesema,huyu wa sasa sio kabisa. Yule mwingine kabla ya kupotea alikua hajui kubishana wala kutafuta wachuchu humu








josse wa mwanzo alikua mpole jaman
Tatizo sio muosha masufuria ujue dada tatizo watu huyo hana shida kabisa tena katumiss sanaAaah nilijua chombezo zimepigwa marufuku leo udugu wangu njooni shunie emmyta linamo numbisa cab sakayo ney stabe woman piten huku
Team ubuyuMbaya zaidi wametupachika na jina baya kabisa eti sisi team......![]()
Linamo hayupo online toka saa 4Shunie kweny pitapita zako leo hyjakutana na linamo pahal popote
Nimekuja maaLinamo hayupo online toka saa 4
Umetiririka Insha sijaaminiAiseeeenimekuwaje kwani
Halafu povu lao la sabuni ya mkopoNashkuru umeliona hilo ndugu halafu wanaanza kututolea povu woiiiii
Hello mamy miss youYaan kazi kweli kwel
Shem hajambo?Team ubuyu![]()

Nimekuja mpenziShunie kweny pitapita zako leo hyjakutana na linamo pahal popote