carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,616
Wakufwe kabisaWanazimiaga nyuma ya keyboards za simu![]()
![]()
![]()

Wakufwe kabisaWanazimiaga nyuma ya keyboards za simu![]()
![]()
![]()

Ewaaaaa wa kutaka kujifunza viwaingieKabisa. Ili interview ipate kueleweka.
Watu walikuwa wanachit chat cuzoo waliokuwa wanasemaIlikuwaje![]()
![]()
Jf haiishiwi vituko kwakwelWanatoa povu huku wakitaman kuendelea kusoma ubuyu wetu aiseee
Na unavyojua kununua ugomvi sasaJibu la nani hili nikutolee povu!!?



Jose
Yaan huyu mpya kachangamka,mzima kabisa my dear. Miss u too




halaf ni ka bishi jamaan
Sana jamaan huyu sijui kawajeYaan alikua na comment fupi fupi tu
Katiwa ndimuYaan huyu mpya kachangamka,mzima kabisa my dear. Miss u too

WapiUsijali swahiba mie na wewe tena. Nilimwambia carba akufuate kule ujue ila hakukukuta.

Na unavyojua kununua ugomvi sasa![]()
Woiiiiii wajifunze nini pale![]()
![]()
![]()
Hogo au bamia




muosha masufuria mwenyewe anakwambia interview zake sio serious
Hovyo tuWanajifunza saiz za bamia na mihogomana kuna bamia saiz ya karoti
Tumewaachia na uzi wao huko wajifunze vizuri huu uzi umeshakuwa wetu ebu naomba uweke ubuyu numbii habari za umbea tuwe tuna discuss ujue huu uzi wetuWanatoa povu huku wakitaman kuendelea kusoma ubuyu wetu aiseee
Weye mwanamke nimekaribiaSubiri nikisaidie kumuita
CcKichwa kichafu waitwa huku
Kweli kabisa cuzooSwahiba usikoseshwe amani na watu wasio na msaada kwako. Ubakoseshwa amani na ID's na avatars fake??


ndo kwanza page ya 7