carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Chukua nguo ukafue mana povu la kutosha hiloShoga nimeona page za mwisho mwisho tu ten wala sikusumbuka san khaa jamani

Chukua nguo ukafue mana povu la kutosha hiloShoga nimeona page za mwisho mwisho tu ten wala sikusumbuka san khaa jamani

YaaaniKabisa yani kama wanatununulia bando vile![]()
Watu walivyokuwa wanachit chat kweli nyani haoni la mwenzieNiliuona
Kweli kabisa kuliko kukwazana na watuHalafu mtu Mzima kutolewa povu daaah, bora nikae kimyaaaa
Hahah simuoni siku hizMfyuuuuu ili niletewe I'd ya kiume nitukanwe ila kumepooza kule aisee
Mfyuuuuu ili niletewe I'd ya kiume nitukanwe ila kumepooza kule aisee


basi ukhty yupoUnaonekana wewe na kundi lakoWatu walivyokuwa wanachit chat kweli nyani haoni la mwenzie

Kabisa kule ni kupita kimya kimya huu ni uzi wetu yaan bado hatimiliki tuuNimeyashuhudia dada looh haya kule tukapite kimyakimya leo makutano yetu ni hapa leo
Acha tuNimeyashuhudia dada looh haya kule tukapite kimyakimya leo makutano yetu ni hapa leo
Ana I'd mpyaHahah simuoni siku hiz
Ana id mpya kuna uzi nilimuonaHahah simuoni siku hiz
Huyo muoga usimtegemee kabisa ujuebasi ukhty yupo
Nimewaza tu cuzoo I'd yake nyingine kajuaje kama mwifwa kala ban
Doh haaaaaaaaa cuzoo hadi wewe![]()
![]()
![]()
Kwani leo si siku ya kazi lakini
Alaaa kumbe![]()
![]()
![]()
Mmh. Vichwa ngumu nyie. Lol.Uuuwiiiihalafu sijamuona tangu jana

Huu uzi nahisi utakuwa uzi wetu wa kupiga storyuzi wa interview sio huu

Sio umekimbia povu la watu?Mmh. Vichwa ngumu nyie. Lol.
Mi niliacha wenye maswali yao wapate kuuliza ila nashangaa kimya.
Mwenzenu nakanda unga wa maandazi ndio mana nawapa likes tu si unajua maandazi ndio yananiweka mjini.
![]()
![]()
![]()
![]()
Naomba wote tuelekee Uzi maana Wa interview ya cocochanel upo chitchat

Jf tunapita tuu mdogo wanguKweli kabisa kuliko kukwazana na watu