Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Wanajifunza saiz za bamia na mihogomana kuna bamia saiz ya karoti










halaf ni ka bishi jamaan
Sana jamaan huyu sijui kawaje
Huyu ni rapaSana jamaan huyu sijui kawaje



Kule kwenye interviewWapi![]()
![]()
Nenda siasaniMwee mwee in senga's voice ,yaan tunavyosomeshwa namba na uncle magu huku ugomvi muhimu kupunguzia machungu



Mwee mwee in senga's voice ,yaan tunavyosomeshwa namba na uncle magu huku ugomvi muhimu kupunguzia machungu








WoyoooooooooooWeye mwanamke nimekaribia
Bora umekuja ujibu maswali hukuWeye mwanamke nimekaribia

Hahahahaha akisoma hizi comment anaweza kuikana ID yake





analijua hilo ujue watu wengi wamelionaNenda siasani![]()
Inawezekana ujue nakumbuka yule mgegedaji aliyekua anatumia avatar yake alikoma kila akikutana nae kuna maneno kayaandika kwa ajili yake tuuHuyu ni rapa
Sijui wamedukua acc yake maana




