The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,281
Ni vyama gani vilivyowahi kutishia kumwaga damu tanzania? Hebu nijibu hilo kwa kuanzia.
Chama cha mapepo (ccm); na cha yule mujahdina fahmi dovutwa: updp
Ni vyama gani vilivyowahi kutishia kumwaga damu tanzania? Hebu nijibu hilo kwa kuanzia.
Kwa upande wangu mimi wanakosea uwaonesha wapinzani. Je kesho itokee upinzani unachukua dola. Ni risk kwao kwa cku za mbele. Watangaze uzalendo bila kunyoosha vidole kwa watu fulani.
Chama cha mapepo (ccm); na cha yule mujahdina fahmi dovutwa: updp
Ni vyama gani vilivyowahi kutishia kumwaga damu tanzania? Hebu nijibu hilo kwa kuanzia.
tatizo vijana wabongo wapo busy mitandaoni instead kuwa busy kwa kazi zitakazowapa good future.achaneni na siasa.
Mkuu Moudy Boka, nakubaliana na wewe, ila kwenye kitu kinachoitwa opinion, ukiisha kuwa negative, unapoteza vision na focus hivyo kila atakayekuambia ukweli, utamuona yuko biased!.Mkuu Pasco analytical yako Nzuri lakini bahati mbaya nusu yake ni biased na naamini kwa makusudi!!!
Hili la waandishi kujipendekeza, nalikubali na nakushukuru umesema wengi, ukimaanisha sio wote, japo na mimi umeniweka humo kwenye kundi la waandishi vimbelembele na kujikomba komba, kwa vile mimi najifahamu fika jinsi nilivyo independent, kwa kuusema ukweli kuhusu CCM ndio nionekane najipendekeza, hili halinitatizi kabisa!, kwa vile bado nipo na naendelea na kazi, huko nyuma kazi zangu zilisimama zenyewe, na tunakokwenda zitasimama wanaojua objectivity, impartiality, fairness and balance, watasimama na mimi!.Pasco ipo wazi kuwa waandishi wengi wa habari mnajipendekezaga kwa watawala/wanasiasa wa chama kilichopo Madarakani kwa kutumika kutetea au kupotosha kwa zile brown envelopes
Hili pia nakubaliana na wewe, na la Salva pia nalikubali, ila pia sio kweli, ni waandishi wote wanaoumind u DC, japo ni kazi ya heshima, gari ya bendera na mshahara mnono sana wa TZS 2,000,000 plus!.kujipendekeza ili mpate ukuu wa wilaya na mfano wa wakuu wa wilaya waandishi wa habari makada unawafamu vizuri sana na pia najua unafahamu fika Salva wa Ikulu kafikaje pale kwa hiyo sishangai unapojivika upogo!!!!
Pasco wa jf sio tuu sio kada wa chama, bali sio mwanachama wa chama chochote!, tatizo langu humu jf, wengi ni wanachama, wafuasi au mashabiki wa vyama, ila wengi kutokana na kukatishwa tamaa na CCM, wame take refuge kwenye vyama vya upinzani with high hopes kuwa CCM itaangushwa!, mimi kama mwandishi mkweli, yaani realist na sio wishful thinker, huwa nawaambia ukweli mchungu kuwa katika suala la kushika dola, wapinzani bado, hivyo 2015 ni CCM tena!, kauli hizi za ukweli mchungu zinawafanya wengi wanione kama kada!.Kuwa kada wa chama isitupofushe uzalendo na kuunga mkono vitu vinavyoleta ubaguzi kisa chombo binafsi,mtazamo binfsi au chama pinzani kwa media inayogusa umma!! Tangazo hilo halina tofauti kimaudhui na yale ya TBC yanayoshamiri wakati ya uchaguzi yakihusisha ujumbe kuwa kuchagua upinzani ni kuleta vita huku wakionyesha vita na mauaji ya nchi jirani zenye migogoro ya vita!!!
Mimi napenda sana mtu anayepata fursa na kuitumia vyema mradi tu asiwe amekwiba, amepokonya, amedhulumu au amehonga. Kwa ufahamu wangu mdogo, Clouds na wamiliki wake wanapopata nafasi/fursa huitumia vyema naamini kama siyo uzoefu wao waliotoka nao Marekani, (Kusaga na Ruge) ungekuta nao wamedhorora kabisa. Mleta mada nadhani unachuki binafsi au ya kichama au kisiasa, kumbuka Kiongozi wangu Freeman Mbowe alianzia maisha wapi na alitumiaje fursa kufikia hapo alipo!! usitake kuniambia alirithi tu basi akawa na maendeleo aliyo nayo la hasha alijikwamua, akatumia fursa akatumia watu aliowajua akafika na ataendelea kukwea ukwasi zaidi na zaidi. We baki ukiruka humu jamvini ukiwasemea wenye visemeo uone kama hutabki ulipo mpaka mwisho wa dhahari.
Nawasihi Clouds msichoke kufanya mnayoona yanafaa mradi tu msivunje sheria za nchi, msivuruge amani au uchochezi wa kisiasa. Kweli isemwe kweli uongo isemwe uongo. Kumbukeni kila media house ina sera zake (house policy) hivyo msijali kabisa kwa hili la mleta mada. Mfano mdogo wa kumalizia, hata siku moja Tanzania Daima haitatoa stoty au makala ya kumsema vyema Kikwete au ccm au kumsema vibaya Mbowe na Chadema, vivyo hivyo kwa uhuru na ccm na wengine wengi kila mmoja na mrengo wake.
Tufanye kazi tusitegemee chama fulani kitakuletea chakula mdomoni na kukumezesha ahaaa
Hii nimeinasa sehemu pia.......ingawa tetesi mwanzo zilikuwa ni Manji
Mkuu Moudy Boka, nakubaliana na wewe, ila kwenye kitu kinachoitwa opinion, ukiisha kuwa negative, unapoteza vision na focus hivyo kila atakayekuambia ukweli, utamuona yuko biased!.
Hili la waandishi kujipendekeza, nalikubali na nakushukuru umesema wengi, ukimaanisha sio wote, japo na mimi umeniweka humo kwenye kundi la waandishi vimbelembele na kujikomba komba, kwa vile mimi najifahamu fika jinsi nilivyo independent, kwa kuusema ukweli kuhusu CCM ndio nionekane najipendekeza, hili halinitatizi kabisa!, kwa vile bado nipo na naendelea na kazi, huko nyuma kazi zangu zilisimama zenyewe, na tunakokwenda zitasimama wanaojua objectivity, impartiality, fairness and balance, watasimama na mimi!.
Hili pia nakubaliana na wewe, na la Salva pia nalikubali, ila pia sio kweli, ni waandishi wote wanaoumind u DC, japo ni kazi ya heshima, gari ya bendera na mshahara mnono sana wa TZS 2,000,000 plus!.
Kuna waandishi wa aina 3.
- Wale waliokosa cha kufanya, hivyo kukimbilia uandishi kwa vile hawana jinsi, na humu ndimo wanakoibukiaga waandishi wanaitwa "makanjanja!".
- Waandishi waliosomea uandishi kama kazi, carrier, hawa wanakuwa waandishi wapate pesa waendeshe maisha, wakipata greener pasture kama u DC, wanakuwa more than happy!.
- Kuna waandishi wa wito, hawa money is not the motive, unaweza kukuta walisomea vitu vingine vyenye kulipa zaidi, lakini wanafanya uandishi just for the love of it!, hawa hata ukiwapandisha cheo wawe wahariri wakae desk, hawataki ndio itakuwa U DC?!. Mimi Pasco wa jf, nafanya uandishi for the love of it!.
Pasco wa jf sio tuu sio kada wa chama, bali sio mwanachama wa chama chochote!, tatizo langu humu jf, wengi ni wanachama, wafuasi au mashabiki wa vyama, ila wengi kutokana na kukatishwa tamaa na CCM, wame take refuge kwenye vyama vya upinzani with high hopes kuwa CCM itaangushwa!, mimi kama mwandishi mkweli, yaani realist na sio wishful thinker, huwa nawaambia ukweli mchungu kuwa katika suala la kushika dola, wapinzani bado, hivyo 2015 ni CCM tena!, kauli hizi za ukweli mchungu zinawafanya wengi wanione kama kada!.
Pasco
Kwa mtu makini ambae kashawahi kuliona hilo tangazo hawezi kulipigia upatu,lione kwanza then utafakari,pia soma wachangiaji utaona kuwa inasemekana imeuzwa kwa Rostam Aziz then connect dots!!!
umeona wanachoandika tanzania daima lakini kama kweli wewe ni mzalendo wa kweli.
Boka,Mkuu Pasco asante kwa kukili uwepo wa waandishi wengi makanjanja na hadi ukaamua kutusaidia kuwa-categories na kukili pia wengi wanatumika na wanasiasa/watawala isipokuwa wale wachache ambao they don't do it for green pasture,they do it for love ukiwemo wewe ambae
- umeshawahi kuparamia miti
- pale makaburi ya kinondoni
- kwenye mazishi ya jaji fulani
- ili upate angle Nzuri ya kumpiga Lowasa
- halafu ukatuletea hapa na updates!!
Naomba nikuulize swali dogo tu Mkuu,umeshalitazama Tangazo hilo ukiwa sober na ukaafiki uthabiti wake???!!!
Boka,
Na mwisho, its very unfortunately hula siangalii Clouds TV, hivyo tangazo sijaliona ila nimejibu very generally kuwa Clouds Radio wanafanya kazi nzuri ya kupigiwa mfano, uzuri au ubaya wa tangazo fulani ni perception, ukiisha kuwa na negative atitude kuhusu kitu fulani, unakosa clear vision ba badala yake unakuwa na blurred vision. Nikiliona kama ni kweli linasifa negative hizo ulizozitaja, nitarudi humu na kuomba sorry.
- Sijawahi kuparamia miti popote!
- Sijawahi kuparamia miti makaburi ya Kinondoni!
- Sikumbuki kuhudhuria mazishi ya jaji yoyote Kinondoni!
- Sijawahi kuhitaji kumpiga picha EL popote!
- Sijawahi muleta update coyote humu jf kumhusu EL!.
Pasco
Walitwangana!? Lini na akina nani?TCRA??????si walitwangana mbona wamenyamaza?