Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,745
- 4,852
Mkuu Ngonani, tujitahidi tuwe na shukrani katika madogo ili tuweze kushukuru kwa makubwa!, Tangu kombe la dunia limeanza, kuna kituo chochote kimewahi kupeleka crew huko kombe linakochezewa?!. Badala ya kuilaumu Clouds, ulipaswa kuipongeza kwa hatua hiyo tuu ya kupeleka team Brazil! kutupatia hicho kidogo walichoweza!. Tuwe na appreciation japo kidogo!, ila pia sishangai, Watanzania wengi ni watu wa kulalamika na kulaumu tuu kutwa kucha!. Think positive, be positive!.
Pasco
Narudia tena wangechunguzwa kama kweli kilichowafanya wapeleke mtu Brazil ilikuwa ni mambo ya mpira. Watangazaji hao wanasikika sana kwa mambo yao ya unga mitaani. Afrika kusini wlikwenda kwa hilo hilo, tunaambiwa.