Clouds TV na propaganda ya vita kisiasa

Clouds TV na propaganda ya vita kisiasa

Hapana Mkuu,Pasco ni. Mwandishi wa habari(mwenyewe anapenda aitwe mwandishi huru) ambae ana "unasaba" fulani na ukada wa CCM na pia wagombea fulani wa uraisi ukianza na Lowasa, ila Rutashobola utakua umempata ndugu yake Rugemarila wa clouds!!!

Pasco amegonga LIKE yenye hisia kali sana hii post yako mkuu.
 
Hivi kuna haja ya kuihofia a tv hii kweli , matangazo yake yanaanzia posta na kuishia Magomeni Mapipa ........

We unaishi wapi?
Clouds inasikika nchi nzima.
Tatizo chadema mmefulia kwa siasa zenu za vurugu mkahisi kila mtu ni adui yenu.

Hiv sasa mnaogopa mpaka vivuli vyenu ACT-Tanzania.
 
Leo asubuhi nimeangalia clouds TV-wakatangaza daktari wa ebola aliyeambukizwa,wakaja kuhusu HIV,akaja yule mtangazaji wa michezo,yaani leo walikuwa wanapeana nafasi,hakuna kuingiliana au kukatizana hovyo hovyo,yaani watangazaji walikuwa makini utadhani sio wenyewe wa siku zote,Namshukuru mleta mada naona message imekuwa delivered.Ubarikiwe sana.
 
We unaishi wapi?
Clouds inasikika nchi nzima.
Tatizo chadema mmefulia kwa siasa zenu za vurugu mkahisi kila mtu ni adui yenu.

Hiv sasa mnaogopa mpaka vivuli vyenu ACT-Tanzania.

Umemaliza kujichetuaaaaa...
Kila.kitu chademaaaaa..mkeo atakuja kuchapwaaaaa.utawasingiziaaa chademaaaa....
Over
 
Tatizo la clouds ni ujinga tu wao wanadhani ccm itadumu milele!nawahakikishia hata huko ccm kwenyewe watu wanao shabikia ujinga wao mwisho wao 2015!! tunajua kila uchafu wanao fanya Nchi hii iko siku !!
 
vitisho kama hivi ndio vinawafanya kujiunga na timu ya kuhakikisha 2015 ni CCM tena!.
Pasco
 
vitisho kama hivi ndio vinawafanya kujiunga na timu ya kuhakikisha 2015 ni CCM tena!.
Pasco

Mkuu kama safu haijajaa naomba shavu kwenye Winning Team yetu ya mwamba wa kaskazini, na kadi yangu ya kijani nimeifufuwa na nimelipa ada ya uanachama mpaka december 2015.

Tafadhali mzee mwenzangu tusiangushane angalau na mimi nimalizie banda langu. uchaguzi wa safari hii wacha na mimi nikae kimaslahi tu.
 
CCM rejea tamko la KOMBA kuingia msituni!!!,Mwanasheria mkuu aliyetaka kumkata kichwa Kafulila kwa uchache tu,wengine waendeleze msururu
Ni vyama gani vilivyowahi kutishia kumwaga damu tanzania? Hebu nijibu hilo kwa kuanzia.
 
Hivi kuna watanzania wenye akili timamu bado ambao wanasikiliza hiyo chanel uchwara, si bora hata kuangalia katuni badala ya ----- wa hao jamaa
 
Mkuu kama safu haijajaa naomba shavu kwenye Winning Team yetu ya mwamba wa kaskazini, na kadi yangu ya kijani nimeifufuwa na nimelipa ada ya uanachama mpaka december 2015.

Tafadhali mzee mwenzangu tusiangushane angalau na mimi nimalizie banda langu. uchaguzi wa safari hii wacha na mimi nikae kimaslahi tu.
Huu ndio unaitwa mkweli mchungu, "if you can't beat them, join them!", kiukweli mimi ni mpiga debe wa kujitolea tuu, siko rasmi kwenye kambi, ila "Salva" wa kambi hii ni mshikaji wangu, subiri subiri kwanza huu mpunga CCM ukomae, uvunwe, ukobolewa, upepetwe kutolewa makapi, ndipo mchele safi upatikane, hapo sasa ndipo nitakushauri fufua kadi, unaweza kuja!.

Pasco
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom