Ni vyama gani vilivyowahi kutishia kumwaga damu tanzania? Hebu nijibu hilo kwa kuanzia.
Ni CCMNi vyama gani vilivyowahi kutishia kumwaga damu tanzania? Hebu nijibu hilo kwa kuanzia.
Mkuu Boka, This is your own making!,Kwa wafuatiliaji inafahamika wazi kuwa wamiliki wa kituo hiki wapo karibu na watawala na imefikia pahali sasa wakiandaa na kuhodhi dhifa za kitaifa kama tukio la uzinduzi wa video ya uzalendo ya wasanii pale Dodoma,birthday ya Kikwete na keki juu,uzinduzi wa mradi wa Malaria miaka kadhaa iliyopita utafikiri hakuna vyombo cha serikali-TBC TVS na Radio!!Imefikia pahali hadi Raisi na mawaziri wanatumika na kituo hiki binafsi kuandaa jingles za radio huku wakikiacha solemba kituo cha Umma!
kama ni kweli umekereka na una hoja za msingi, chukua hatua!.Duh umeiandika kwa jaziba kweli kweli. Lakini inategemea pia mtazamo wako na tafasiri unayotaka nayo. Hata hivyo unaweza kulalamikia tangazo hilo TCRA ambako Kamati ya maudhui italiangalia na kulitolea maamuzi.
punde walikua wanaonesha tangazo mh. lowasa wasifu wake na mambo makubwa aliyoifanyia tanzania. kumekucha team lowasa
Nakujibu ingawa huwa sipendi kupoteza mda ku-argue na watu wanaolipwa kwa posts kutetea upuuzi na sio kwa msukumo wa uzalendo na mapenzi ya Taifa hili na watu wake!!
Rejea kauli ya Gen Abdallah Shimbo siku kadhaa kabla ya uchaguzi mkuu 2010 ambapo aliitisha waandishi wa habari huku yeye akiwa kama mnadhimu mkuu wa jeshi!!
Rejea kauli ya Waziri Mkuu ndani ya bunge wakati wa vuguvvugu la gesi kule Mtwara alipotoa amri kwa jeshi la Polisi na jeshi ya kuvunja katiba ya nchi kuwa watu wapigwe tu!!!
Rejea Kauli ya Mizengo Pinda pale aliposema kuwa wanaojihusha na mauwaji ya albino wauliwe wakipatikana,pasipokushitakiwa mahakamani!!!
Rejea Kauli ya Kikwete pale Diamond Jubilee alipotoa hotuba ya kupinga mgomo wa wafanyakazi wakiwa wanaongozwa na Mr Mgaya na kuwaambia wakithubutu kuandamana wataambulia mkongo'to na ameruhusu washughulikiwe!!
Ukisharejea hapo then azima busara uje useme hivyo vitendo vinadumisha amani ama??!! Je ndio hatua za kutoa hukumu kwa mkondo wa sheria??!!
Mkuu Boka, This is your own making!,
Kuna kitu kinaitwa "mtazamo hasi" ambao ndio wewe unao dhidi ya hii media, hivyo badala ya kuwa positive, wewe unakuwa too negative na kulitazama hilo tangazo kwa "fault finding!". Mkuu Geti amekushauri vizuri hapa, kama ni kweli umekereka na una hoja za msingi, chukua hatua!.
Hakuna tukio lolote la dhifa ya kitaifa lililohodhiwa na Clouds, matukio yuote unayoyaona yamemhusisha rais ni matukio ya Clouds wameyabuni wenyewe, "creativity" wakaandaa na kumwalika rais kuwa mgeni rasmi!, hata kama yamehusisha taifa, sio dhifa ya taifa!. Hata birthday ya JK wamemfanyia!, kwa nchi yetu birthday sio sherehe ya kitaifa!. Hata wewe andaa tukio lako, mwalike rais, lipia live ya radio na TV litatangazwa nchi nzima!, na siku ya birthday yake mwandalie, mwalike,atakuja!.
Hilo la kuwatumia viongozi kwenye jingles zao, ni pure creativity tena kwa hii, Clouds ilipaswa kupongezwa na kupigiwa mfano! na sio kubezwa!. Kama TBC hawana creativity ya kihivi, sasa wengine ndio wasifanye?!. Andaa jingle yako kuhusu tukio lolote lenye maslahi ya taifa, mualike JK atakuja na atakufanyia tangazo lako!, tena naamini ni bure!.
Watanzania generally tuna matatizo mengi tuu licha ya ujinga, umasikini, maradhi, rushwa, na ufisadi, pia tunapenda sana kulalamika, kunung'unika na kushutumu, badala ya kupongeza, na kuwa positive tufanye nini kupunguza matatizo yetu!.
Kwa maoni yangu, ukiondoa matatizo madogo madogo ya ujana uliopitiliza kwa baadhi ya watangazaji wake, Clouds TV na radio ni vyombo vya kupongezwa na sio kubezwa kwa kuhamasisha vijana kufanya kampeni kadhaa za kuleta mabadiliko chanya kama ile kampeni ya "Kuchangamkia Fursa!" hivyo vijana wana "change mind set for the better" kuhusu mitazamo mbalimbali hivyo kuleta ukombozi mkubwa kwa vijana!.
Japo Clouds media ni chombo binafsi cha habari, nakiunga mkono kusupport serikali iliyo madarakani na kupigia debe juhudi za serikali kuleta maendelea kwa Watanzania, ila pia na kiko huru kujinasibihisha na chama chochote, kiwe Chadema, CCM, ACT, Chausta or any, kwa maoni yangu, sii jambo zuri kufanya direct politics na kusupport chama fulani waziwazi, kwa sababu with politics sometimes you never know, hivyo nawashauri uongozi wa Clouds u play it safe, otherwise, Big up Clouds Media!.
Pasco.

Kumbuka na Tofari alilobeba Lema na kumpiga nalo Mwigamba je ni Amani
lengo la tangazo lile ni zuri sana, kutuasa. Shida ni angle waliyotumia imekaa kisiasa zaidi ambalo si jambo nzuri
Duh umeiandika kwa jaziba kweli kweli. Lakini inategemea pia mtazamo wako na tafasiri unayotaka nayo. Hata hivyo unaweza kulalamikia tangazo hilo TCRA ambako Kamati ya maudhui italiangalia na kulitolea maamuzi.