Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,454
- 11,333
Husika na kichwa cha habari hapo juu,kila chama cha Siasa hua na kitengo maalumu cha kutengeneza mbinu zao kuwakabia juu wapinzani wao,
Mbinu hizo hutumika kama tool ya kuanzisha au kuhamisha mijadala ya mhimu ili kutia wenge wapinzani wao wajichanganye na wao wapate point 3 za mhimu katika maswala mbali mbali,
Kwa hapa Tanzania Chama tawala Yaani CCM kitengo cha Propaganda kinafeli sana kila kinapoanzisha kampeni yake, sababu kubwa ni waandaji kua na akili ndogo ya kung'amua na kubaini nguvu ya wapinzani wao imetokana na Chemistry nzuri ya chama na wafuasi wao,
Mfano mdogo ni hii propaganda ya katibu & Co wa CHADEMA Heche kula hela za donation kutoka kwa wanachama naona kitengo cha Propaganda kutoka CCM wamekivalia njuga na ajabu wote wanatumia style moja kuisambaza yaani ni kama imeratibiwa na mtu na wao kupewa scrip kiasi ambacho kinaitoa kwenye uhalisia na kuonekana ni cheap Propaganda,
Nashauri kwa Chama kikubwa kama CCM andaeni watu smart wa kutengeneza script nzuri ambayo itakua na hoja nzito za kuwakabia juu wapinzani wenu kama wao wanavyo wakabia juu
Kuliko kuandaa kitu kinachostukiwa na wapinzani kirahisi,
Tatizo la CCM ni kutumia watu wale wale kuandaa badala ya kua wabunifu kama wenzenu,
Nimalize na hili kuweni smart kuweka chambo kwenye shimo la nyoka maana ukitia mkono utaupanda mwili wako sumu!