Clouds TV acheni kuwadhalilisha bibi, mama zetu!

Clouds TV acheni kuwadhalilisha bibi, mama zetu!

mimi mwenyewe nimewahi kuwapigia simu wakiondoe hicho kipindi kinadhalilisha mama zetu jamani, wakakata simu na kuizima kabisa
 
mimi mwenyewe nimewahi kuwapigia simu wakiondoe hicho kipindi kinadhalilisha mama zetu jamani, wakakata simu na kuizima kabisa

Asante kwa jitihada zako, mkuu. Hawa jamaa sio bure--kuna watawala wanawalinda ndio maana wanaendelea na huu upuuzi wao wa kuwadhalilisha bibi zetu.
 
subiri ma-'GREAT THINKER' waje utaambiwa wewe ni b-12,mara adam mchomvu.....ukitaka uonekane una akili humu we ponda clouds tu

sauti ya wengi ni sauti ya mungu.
na mimi naungana na wengi kuwaponda
 
Ndiyo maswali mengine siyo mazuri.
Inaonyesha hata waandaaji nao ni vihiyo pia.
 
Nami nijiunge kuchangia kuhusu hiki kipindi. Kuna watu wanawalaumu watoto, wajukuu au ndugu wanaowaruhusu. kwa kweli maswali wanayoulizwa hawa wabibi na mambo mengine ni ya kudhalilisha. Kuna wakati kulikuwa na tangazo Radio la kuhusu vitambaa vya kujihifadhi kina mama, jinsi lilivyoactiwa ni udhalilishaji na ilikuwa ni la aibu. Niliandika magazeti yote kulipinga , na wakati huo serekali ilikuwa inafanya kazi. Lilichunguzwa lile tangazo mpaka kuhojiwa walioact walisema nanukuu ' kwa kweli tuliact kwa shida ya pesa' . Mi nadhani hivyohivyo kina bibi lengo linaweza kuwa hilo.
Pamoja na hayo nadhanii badala ya kupigwa marufuku basi lilrekebishwe ili lisiwe la kudhalilisha bali la furaha , kujifunza na kufaidika kimapato. Kwani mimi naamini watu wazima/ mabibi nao wanahitaji kushiriki kwenye burudani na furaha lakini si za namna jinsi zinavyoendeshwa sasa. Kuna siku nulimuona mama mmoja nilimpenda na kumuonea sana huruma Bibi Vero jamani alikuwa anaishi na mjukuu wake. Kama Clouds wanapitia Jamii Forum tafadhali wanipatie contacts za bibi huyu.
Aidha mi sijui jinsi wanavyotoa zawadi lakini wangewa consider mabibi wote ( baada ya ku-review programme) wanaoshiriki kwa kuwapa angalau mitaji kidogo tu yakujianzishia vibiashara vya kujipatia kipato na vya kujichangamsha kulingana na nguvu zao.
 
Clouds TV kwangu mimi kipindi chenye maana ni Sports Bar peke yake na ni jumatatu tu....
 
Asante kwa jitihada zako, mkuu. Hawa jamaa sio bure--kuna watawala wanawalinda ndio maana wanaendelea na huu upuuzi wao wa kuwadhalilisha bibi zetu.
Sidhani kama Program inayoanzishwa na Adam Mchovu au sijui B 12 kweli itakuwa ya maana....
 
Una maana gani kupost huu uzi mara mbili? huoni kwamba unatujazia server bila sababau za msingi? Changia mada, kama huna hoja ya kuchangia, changanya miguu.

Uko wapi? Basi nenda kachangie huko ulikouona! Vinginevyo, changanya miguu....ama umetumwa na Ruge uje kutuvurugia mjadala?

Huelewi na hujaeleweka...soma vizuri wanachoandika wenzio. Au kichwa Bado kinauma?.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, kuna uhusiano gani kati ya hivi vipindi viwili--BIBI BOMBA & AFYA CHECK?

usirukie tu comment ya mtu bila kujua alielengwa alisema nini. niliemjibu alisema yeye anapenda sports bar tu kwenye vipindi vya clouds ndio nikamuuliza hapendi afya check ya dr issack?. hio bibi bomba yenu endeleeni tu na mjadala.
 
Sawa. Nilidhani umechanganya madesa, kumbe ulikuwa unagawa elimu. Hakuna tatizo.
 
Some Jerry Springer types of shows show the extent of freedom of expression, this freedom should reigns supreme, as long as laws are not broken.

Kama hupendi usiangalie, watu wa kutosha wakiacha kuangalia Clouds wenyewe itabidi wabadili vipindi.

Clouds wanaweza kuendelea na vipindi kama hivi ikiwa tu kuna watu wanavipenda.

Clouds is just a mirror which shows the true image of you, change and stop blaming the mirror.
 
Clouds is just a mirror which shows the true image of you, change and stop blaming the mirror.

Kama unafikiri nawalaumu Clouds hujanifahamu bado.

Rudia kusoma halafu fikiri kwa makini.

Kama kuna kipengere unahitaji msaada kukielewa uliza tu.
 
Kama unafikiri nawalaumu Clouds hujanifahamu bado.

Rudia kusoma halafu fikiri kwa makini.

Kama kuna kipengere unahitaji msaada kukielewa uliza tu.

mmi nilikuwa nasisitiza ulichosema kwa maneno mengine lakini ujumbe ule ule.
 
mmi nilikuwa nasisitiza ulichosema kwa maneno mengine lakini ujumbe ule ule.

Umeandika kwamba nimewalaumu Clouds.

Kitu ambacho sijafanya. Kama kuna sehemu unaona nawalaumu nipe hapa kwa mafundisho zaidi.

Comprehension please.
 
Back
Top Bottom