Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Mkuu unamanisha fiesta imefungulia mateja😀😀😀😀😀 kuna hatar ya watu kurudi home bila boxer huku viti vya taifa vikiwa taaban Kwa kung'olewa 🤣
Hahaha wacha tuone hizo levels za buku 3 meku🤣🤣🤣
 
Ilifikia mahali clouds wakawa na kiburi na kujiona miungu watu . Sasa wananyooshwa pumbavu hao
🤣🤣🤣🤣🤣 Yote haya ni kutaka kushindana na yule dogo wa Tandale.

Ubaya ni kuwa dogo alishawazidi mbinu tayari wanatapa tapa vibaya mno maana dogo ana support ya Al haji Utingo mkolomije mwenye jiji lake! Amewavurugia network ya lobbying serikalini jamaa wanatubu kinoma hadi huruma.😆😆😆
 
Sio mbagala tu🤣🤣🤣,,,

Sema Maninja wa Keko, TMK na mbagala watakuja kupiga show zao kwa Size yao kama tigo walivyojinadi! Wenye Iphone muache kwa wake zenu jamani,msiseme sijawaambia
 
😂😂😂😂😂 Wanajiita #Levels hahaha ila kumbe Level zenyewe ni za buku 3! Inasikitisha mno,
 
we fala nitakuwepo jiandae hayo malinda naona unawashwa kama madj zenu hapo mawinguni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 baharia kampige kazi huyo kinabo, anajifanya kuongea ongea kiboya nyuma ya keyboard!
 
Mfano wao upi wewe, mbona mnawakingia kifua hawa mabwege...Wameshayumba thats it!

Acheni utetezi wa hoja dhaifu, kama wanajiamini wamlete Drake au Chris Brown...Hio ndio Fiesta tuliokuwa tunaifahamu sisi. Tamasha pekee linaloleta msisimko nchini. Wasanii waliletwa wakali kuanzia nje na ndani. Sasa baada ys kufulia mnakuja na hoja mfu na kumtegemea Ally Kiba ndio awajazie uwanja msanii ambaye hata yeye mwenyewe hajiwezi
 
So inamaana unaenda kuangalia wasanii wa buku tatu.
Hao wasanii wanaenda kama Utamaduni tu na kulipa fadhila za kupigiwa nyimbo zao Clouds ila nina hakika rohoni mwao 80% hawana furaha na hilo maana itaminya malipo yao ila wafanyeje, wanajikuta wazalendo wa kisulisuli.

Clouds Media has lost the wand, a slowly poisoned dying dog!
 
Levels baby, mtu mmoja wasafi anawakilisha watu buku na ushehe🤣🤣🤣
 
Yani humor ndani sipati roba zitakazo trend
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka kisenge man, wenye viswaufu na cheni zao wakae mkao wa kula. Na wala mabishoo wa kujifanya wanachukua clip za show kwa kunyoosha mikono juu ya vichwa vya wenzao, wazee wa Ndolema wanawapa hi! 🤣🤣🤣 Wameagizwa kufanya kazi na watatekeleza.
 
Chuki zinakusumbua. Utakufa kwa pressure bure mzee

Mi nimeleta uzi wa clouds tigo fiesta,nyie machoko mnaleta mambo ya wasafi,sasa clouds tigo fiesta inahusianaje na wasafi festival!!?!?
Usipende kudandia treni kwa mbele fuatilia uzi ulipoanza utagundua nani mwenye chuki

Clouds ilianza na itaendelea kuwepo!
 
Clouds hawajawahi kubahatisha Tigo Fiesta DSM kufanyika Uwanja wa Taifa tarehe 8. Kiingilio ni sh. 3000 na getini 5000, hiki ni kiingilio cha kimwananchi kabisa.

Ukikosa shauri yako

Clouds FM

Tuonane tarehe 8,

Levels baby
Tutawalinganisha na wasafi festival watake wasitake. Wanatakiwa waruke kamba ìiyorukwa na wasafi. Kazi wanayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…