barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,803
Baba joniii, mambo vipi...Mi nimeleta uzi wa clouds tigo fiesta,nyie machoko mnaleta mambo ya wasafi,sasa clouds tigo fiesta inahusianaje na wasafi festival!!?!?
Usipende kudandia treni kwa mbele fuatilia uzi ulipoanza utagundua nani mwenye chuki
Clouds ilianza na itaendelea kuwepo!