ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,720
Simu muache nyumbani vya bei chee vinaponza sana3000✖60000
10000✖10000
Hapo unachagua ipi mrembo
Simu muache nyumbani vya bei chee vinaponza sana3000✖60000
10000✖10000
Hapo unachagua ipi mrembo
😂😂😂😂😂 sawa ripota wa akibaMimi siku hiyo nitakuwepo kuwapa habari jinsi wana wanavyolizwa
Acha uoga,mwanaume wewe..!!Simu muache nyumbani vya bei chee vinaponza sana
We umekuja bongo kusoma!??..mond baba lenu,lenyewe kazi yake ni kopi na kupestiUmekuja bongo kulima lami,badala ya kusoma itakula kwako maana DIAMOND BABA LAO.
Jiandae kurudi nyumbani na boksaAcha uoga,mwanaume wewe..!!
MONDI mmoja ni sawa na Clouds yote na wapambe waoWe umekuja bongo kusoma!??..mond baba lenu,lenyewe kazi yake ni kopi na kupesti
Naona umeamua kujitekenyaMONDI mmoja ni sawa na Clouds yote na wapambe wao
Mwanaume gani unaogopa wanaume wenzako..!!Jiandae kurudi nyumbani na boksa
Lazima nipaniki....we huoni kama ni hatari dume zima linalialia eti "oooh wakabaji mara oooh wahuni,wakabaji"Tatizo lako Hassani Ngoma unapaniki mkuu
FactMONDI mmoja ni sawa na Clouds yote na wapambe wao
Papi chulo una uchulo eboooohNaona umeamua kujitekenya
SIMBA BABA YAKO EBOOOOHWe umekuja bongo kusoma!??..mond baba lenu,lenyewe kazi yake ni kopi na kupesti
Kama wewe ndo marketer wa clouds basi clouds imeishiwa pumziTarehe 8 taifa uje
Usiogope wahuni
Lakini ni Kusaga vs familyWametangaza wanamleta nani kama mwanamusic kutoka nje?Kiingilio book tatu kweli Clouds fm wameishiwa.
Na wewe unaogopa wakabaji!!?Kama wewe ndo marketer wa clouds basi clouds imeishiwa pumzi