Clouds, Mungu anawaona kwa hiki mnachotufanyia

kutokana na ugumu wa maisha na mzunguko wa hela kupungua na kupelekea watu kutokua na pesa za kutosha mifukoni kumeibuka na hizi kampeni za FURSA zinazoendeshwa na hawa clouds, tena wanajinasibu kua, kutokana na hela kuwa ngumu, hela haipatikani mifukoni, wao wanatoa fursa na kukufanya uzitambue hizo fursa, uzitumie na ujikwamue katika huu mdororo wa uchumi kwa wananchi.
ila wanatoza 10,000 kama ada ya kushiliki hizo semina. sasa mi nauliza hivi awa wanatoa fursa au wanatumia fursa?, kama lengo ni kuwasaidia watu wazitambue hizo fursa kwanini wasitoe bure hizo semina?, 10,000 kwa mtu hasiye na kazi wala mtaji si uonevu huo?, na hivi tatizo kubwa hasa ni kuwa watanzania hawazijui fursa au watanzania wanazijua hizo fursa ila hawana mitaji ya kuwafanya wazitumie hizo fursa?.
Sielewi umeandika utumbo gani hapa hivi hata kwa akili ndogo uliyonayo unawez kuwaza kuandika utumbo kama huu hivi kwanini wtz mnapenda vya bure hiyo tsh elfu 10 umeiona nyingi sana kwa mtu anayekutengenezea future yako ya baadae.... Mbona mkienda kuomba kazi maofisini mnatoa na hongo kwenye vibahasha ili mpewe kazi na ungeambiwa kipo chuo cha fursa watu wakasome for 6month ada milion moja usingeenda? Ungesubiri vya bure? Usilete hadithi za FARU JOHN hapa vya kaisari mpe kaisari vya bure wakati mwingine vinaponza kulipa kodi/ ada/ ushuru. Sio dhambi
 
Kutokana na ugumu wa maisha na mzunguko wa hela kupungua na kupelekea watu kutokua na pesa za kutosha mifukoni kumeibuka na hizi kampeni za FURSA zinazoendeshwa na hawa Clouds, tena wanajinasibu kuwa kutokana na hela kuwa ngumu, hela haipatikani mifukoni, wao wanatoa fursa na kukufanya uzitambue hizo fursa, uzitumie na ujikwamue katika huu mdororo wa uchumi kwa wananchi.
ila wanatoza 10,000 kama ada ya kushiliki hizo semina.

Sasa mi nauliza hivi awa wanatoa fursa au wanatumia fursa? Kama lengo ni kuwasaidia watu wazitambue hizo fursa kwanini wasitoe bure hizo semina?

10,000 kwa mtu asiye na kazi wala mtaji si uonevu huo? Na hivi tatizo kubwa hasa ni kuwa watanzania hawazijui fursa au watanzania wanazijua hizo fursa ila hawana mitaji ya kuwafanya wazitumie hizo fursa?
kuwa mkweli ndgu
 
TRA Mko Wapi Wakati Hao Wanakusanya Michango Bila Efd. Clouds Ni Wakwepa Kodi Kwa Style Ya Fursa.

Mkulu Amesema Ukiuza Toa Risiti/Ukinunua Dai Risiti
Hao Clouds Wanaingia Kwenye Kundi La Wakwepa Kodi
 
Mleta Mada we haupo makini ni bure kabisa unapata na huduma ya chakula na vinywaj bure pamoja na huduma nipo kwenye hi timu ya fursa
 
Back
Top Bottom