Clouds, Mungu anawaona kwa hiki mnachotufanyia

Ukipata ujuzi bure hautaupa thamani maana hauja utolea kitu, ukilipia kidogo utaona umuhimu na thamani yake.. Wabongo tuache kupenda vya kupewa bure bure
kwa hiyo hata machangudoa wanaojiuza ni wa thamani kwa sababu hawatoi bure?
 
Kuna mtu pale katafuta sana ukuu wa wilaya lkn ccm in wenyewe wamekuwa wakimpiga kanzu kila mwaka ila wanamwalikaga kusherehesha tu.....
 
Back
Top Bottom