Clouds FM yaishambulia JamiiForums

Guys kindly do not blame these people.

The big problem is their level of analyzing things is still very low, the major factor being low education and poor exposure.

Nothing they can tell to fellow citizens through media than covering their weakness by blaming other people's doing.

They have never cheered for JF being source of many useful information to the public and sometimes giving them topic to present in their Radio program.

JF is a resourceful gateway where people can get information from the voiceless citizens, and they yet never given a complement for JF.

They are given opportunity to talk through Radio however they are of no ethics and professional conduct.

Kibonde and the other guy are not intellects, they can say anything not in aware of its impact. Kibonde is characterized by supercalifragilisticexpialidocious

Stay blessed.
Kero
 
Hii ina maana JF inakua (growing), ila naona baadhi ya watu hapo juu wamekuwa wakali baada ya kukosolewa...Ni budi mkumbuke kuwa ni kweli baadhi ya thread humu zimeacha kujadili hoja na kukazania personality za watu. Kwa hiyo ni muhimu kama watu wazima tukubali kuwa hapo kuna kaukweli ndani yake, ingawa kwa kiasi kikubwa mijadala mingi ni kuhusu maswala muhimu.

Nakumbuka miaka ya chama kimoja Tz, CCM walikuwa wanadai kuwa kukosoa na kukosoana ruksa, ilhali hakuna aliethubutu kufanya hivo kwa viongozi wao. Hivyo mi naona sawa tu ingawa sikusikiliza hicho kipindi ila nakubali na niko muazi kwa maoni ya watu wote hasi au chanya, bring them on!! Tukumbuke kuwa kukosolewa ni mojawapo ya kusonga mbele kwa uhakika..

Wamekosolewa kwa lipi bana...Sema hawana upeo hao vijana...Ni vigumu sana kutenganisha watu na hoja(Issues)....hasa unapojadili issues,walipaswa kulifikiria hili kwanza kabla ya kuanza kuongea utumbo wao huu......
 
Naungana na mdau hapo juuuu, Kibonde na wenzako waandishi ni kioo kwa jamii, kama mwaipenda sana CCM nendeni Radio Uhuru sio hapo au mnatuambia sasa Clouds ni CCM B?
 
jamani achaneni nao hao kina VIBONDE, najua busara ndo inawasumbua/imewapungua, narudia tena ni MAKANJANJA tu!
 
We are great people discussing ideas and not personalities as anyone else may think be it Kibondeeeeeeeeee or someone else of the same myopic vision as............"where we dare to express our constructive views openly"


 
Kibonde mie kwa kweli naona hayuko sawa 'upstairs' na sijui anaelekea wapi
nina shaka hata kama anajua 'ethics' za taaluma yake (if at all its his proffession)
na huyo mshika Kibendera wake Gadner anapomjaza upepo basi K ndo utafikiri kafunguliwa.......
Sisikilizi hicho kipindi siku hizi, kinanichukiza sana....
 
Haya mambo yalianzia kwa mke wa Gadner kwenye bulogu yake na sasa wameamua kuivalia njuga. ila kama alivyosema Maxence kuwa sisi wachangiaji ndio ytunaokosoa na sio uongozi hivyo wanapaswa kuelewa kuwa wao si malaika kivile kwamba wasigiswe wala kumulikwa kwa mambo yao maovu.

Naamini kuwa sisi hatuendeshi vita ila tunajadili kwa uwazi maana katika vyombo vyao HAO hakuna uhuru wa maoni. wanaendeshwa na UTASHI wa mmiliki. Sisi hapa JF tunaweza kumpiga BANN hata invisible akileta fyongo. Uhuru kamili tena wa kuheshimiana ebo!
 
Naomba Great Thinkers wenzangu msipoteze muda kuwajadili hawa wababaishaji na wala msipoteze muda wenu kuwasikiliza wakibwabwaja redioni. Hao hata elimu yao ina utata!
 
Kuna mdau hapo juu( Balantanda)alitaka kujua CV za hawa wabwabwaji. Je, ni kweli humu ndani hayupo mwenye nazo ili tuwe na pa kuanzia!!
 
Nimesikiliza na nimesoma. Kwa muda mrefu kumekuwa na dalili za wazi kuwa hiki kipindi chao kina mlengo fulani.

Katika hoja yao leo wamesema kuwa " CCM wametangaza kampeni yao na kama wewe una kampeni yako peleka pale watatangaza" ninalotaka kujua ni kwamba jana jioni Kibonde alikuwa anaongea na nani aliyemharibia jioni yake ambaye ni mwana JF? Jitokeze na utueleze hoja yenu ilikuwa kitu gani mpaka leo tutukanwe kiasi hiki na hiki kibwana mdogo ambacho tukiamua leo kinarudi kijijini Tukuyu kwa miguu.

Angalia sana kijana hapa kuna watu wanaokupa mkate wako wa kila siku acha kutukana jamii yote. Nimechukizwa sana na maneneo yake na ni vyema atumie njia ileile kutuomba radhi sisi.

Najua pale Clouds halipwi zaidi ya posho kazi tunazompa sisi ndizo zinampa kiburi, tukifunga bomba umekufa njaa kaka. OMBA RADHI HARAKA.
 
kwani wao shida yao nn hwaswa nilipi wao la msingi wanaloongea kwenye kipindi chao ujinga mtupu akuna lolote atakusikilia na watoto aifai wagejadili kuhusu kipndi chao kwanza kabla ya kushambulia jf
 
Hey! wakuu sioni sababu ya kujadili suala la Kibonde na mwenzake. Let us concentrate on serious issues.

hizi ndio destructions zinafanywaga kwa makusudi kupotezea watu muda na ku-kudivert attention kwa mambo muhimu!!

tusionekane wapumbavu bure kubishana na wajinga!!!
 
Nimesikiliza na nimesoma. Kwa muda mrefu kumekuwa na dalili za wazi kuwa hiki kipindi chao kina mlengo fulani.

Katika hoja yao leo wamesema kuwa " CCM wametangaza kampeni yao na kama wewe una kampeni yako peleka pale watatangaza" ninalotaka kujua ni kwamba jana jioni Kibonde alikuwa anaongea na nani aliyemharibia jioni yake ambaye ni mwana JF? Jitokeze na utueleze hoja yenu ilikuwa kitu gani mpaka leo tutukanwe kiasi hiki na hiki kibwana mdogo ambacho tukiamua leo kinarudi kijijini Tukuyu kwa miguu.

Angalia sana kijana hapa kuna watu wanaokupa mkate wako wa kila siku acha kutukana jamii yote. Nimechukizwa sana na maneneo yake na ni vyema atumie njia ileile kutuomba radhi sisi.

Najua pale Clouds halipwi zaidi ya posho kazi tunazompa sisi ndizo zinampa kiburi, tukifunga bomba umekufa njaa kaka. OMBA RADHI HARAKA.

KWELI kabisa,

Tena nilikuwa nimpe kazi ya uMC katika harusi ya dogo mmoja hivi, itabidi nibadilishe MC, amenichefua
maybe its time all JF members tumudibishe kwa kutompa kazi.

MH lakini huruma inanijia considering his situation and majukumu mazito ya kifamilia aliyonayo
 
KWELI kabisa,
tena nilikuwa nimpe kazi ya uMC katika harusi ya dogo mmoja hivi,itabidi nibadilishe mc,amenichefua
maybe its time all jf members tumudibishe kwa kutompa kazi.

MH lakini huruma inanijia considering his situation and majukumu mazito ya kifamilia aliyonayo

some people need to learn the harder way!!!

ccm watampa kazi mwaka wa neema huu au umesahau mkuu?
 
Jamani kweli tunapoteza muda, waswahili walisema toka miaka hiyo kuwa mwenye macho haambiwi tazama.

Sasa mnamlazimishaje kipofu kuona??? mwenyewe hajaona mwacheni
 
Clouds FM ni brain washers,wamejaa vilaza watupu pale,wanadhani sisi ni vilaza kama wao. Muhimu sana jamani tuachane nao,ni watu wasio na umuhimu wowote kwenye jamii yetu zaidi ya WIZI WA KAZI ZA WASANII na ujanja ujanja mjini.
 
Back
Top Bottom