Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,013
- 2,664
Hey! wakuu sioni sababu ya kujadili suala la Kibonde na mwenzake. Let us concentrate on serious issues.
Kibonde ni mtengeneza habari, ni mtu maarufu, ana wasikilizaji wengi Dar-es-Salaam au Tanzania, huwezi kumdharau.
Awe amesoma, hakusoma, anaongea pumba, hajui kitu, anavaa mashati kijani, meusi, mwisho wa siku ana wasikilizaji wengi, kuna Watanzania anawahubiria, na wanamsikiliza kama Kakobe. Kwani Kakobe kasoma nini? Huwezi kumdharau Kibonde.