CLOUDS FM warusha live clip ya Lwakatare

Status
Not open for further replies.
Freedom of mass media lazima uzingatiwe kila upande, nyie mnataka yanayoiumbua serikali yanatangazwe ila ya mipango yenu ya mauaji yafukiwe,subiri watanzania waambiwe ukweli.
Si mnasema watanzania wanajua kuchambua mbivu na mbichi? Iweje hili la mikanda ya video ya kutaka kumuua mhariri kibanda isiwekwe wazi?.
 
Kama JF imekosea YouTube je? Na kama YouTube imekosea huyo aliyeipandisha huko je?

YouTube haiwezi kutambua ubaya wa video inayokuwa uploaded mpaka mtu anayefahamu ubaya huo atoe taarifa.

Mwenye makosa ni yule aliyeiona video hiyo YouTube na kutambua madhara yake, kisha hakutoa taarifa kwa YouTube. Bali yeye akaamua kuipost na kushare na social media na blogs za kibongo. Hapo alionelea kwamba anabreak the news!
 
clous imechangia sana watoto wengi kupata zero...utawa dhaifa ktk nnch yetu...mdo maana clouds wanafanya wanalo taka
 
Wewe huna hoja. Wewe ni Clouds hater tu.

wewe ndiye hoja zako dhalili, hazina mashiko wala mantiki. Yaani unashabikia eti kwasababu JF imekosea basi CLOUDS nao wafuate mkumbo! Nani hapa kichwa nazi?.
 
Freedom of mass media lazima uzingatiwe kila upande, nyie mnataka yanayoiumbua serikali yanatangazwe ila ya mipango yenu ya mauaji yafukiwe,subiri watanzania waambiwe ukweli.
Si mnasema watanzania wanajua kuchambua mbivu na mbichi? Iweje hili la mikanda ya video ya kutaka kumuua mhariri kibanda isiwekwe wazi?.

mbona Riz1 alipokamatwa na madawa kule china CLOUDS hawakutangaza?.
 
kwahiyo JF kama imekosea, CLOUDS nao wanadandia kosa hilo hilo?.

Umeuliza

Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio?

Kitu kinawekwa public mara moja tu.

Kikishawekwa public, yoyote atakayekichukua na kukitangaza tena, hajakiweka public.

Sasa swali lako lilikuwa kama ni sahihi kwa Clouds kuiweka public hii audio.

Jibu lako ni kwamba, Clouds FM hawakuiweka hii audio public, wameitangaza tu.

Ilikuwa public kwenye ma JF na ma Youtube huko watu washaiona tayari.

Kwa hiyo tafuta issue nyingine, si "kuiweka public".
 
Freedom of mass media lazima uzingatiwe kila upande, nyie mnataka yanayoiumbua serikali yanatangazwe ila ya mipango yenu ya mauaji yafukiwe,subiri watanzania waambiwe ukweli.
Si mnasema watanzania wanajua kuchambua mbivu na mbichi? Iweje hili la mikanda ya video ya kutaka kumuua mhariri kibanda isiwekwe wazi?.

hata hiyo fake yenyewe, hakuna palipomtaja Kibanda. Labda kama unataka tengeneza yako uoneshe Lwakatare anamtaja Kibanda.
 
Yaani kuna watu wana akili za kushikiliwa mbona JF wameweka clips kwa nini Clouds ndo mnyanyue midomo yenu au JF sio chombo cha habari
 
mbona Riz1 alipokamatwa na madawa kule china CLOUDS hawakutangaza?.

Hizo ni propaganda za vibandani hauwezi kurupuka na kuipublish ishu ambayo ni tetesi ila hii video iko wazi kabisa.
 
Umeuliza

Kitu kinawekwa public mara moja tu.

Kikishawekwa public, yoyote atakayekichukua na kukitangaza tena, hajakiweka public.

Sasa swali lako lilikuwa kama ni sahihi kwa Clouds kuiweka public hii audio.

Jibu lako ni kwamba, Clouds FM hawakuiweka hii audio public, wameitangaza tu.

Ilikuwa public kwenye ma JF na ma Youtube huko watu washaiona tayari.

Kwa hiyo tafuta issue nyingine, si "kuiweka public".
mapenzi na chama yamekuletea upofu, eti CLOUDS wametangaza tu! Watu wengine wabishi aisee. Umekurupuka toka wapi mkuu!
 
Hizo ni propaganda za vibandani hauwezi kurupuka na kuipublish ishu ambayo ni tetesi ila hii video iko wazi kabisa.

Vipi na ile picha ya Ze Utamu ikimwonesha mkuu wa kaya wakimgalatia! Kwanini na hii isiwe ya ukweli?.
 
sugu umesikia bro??? Wameanza tena basi harakati zakuwamaliza live live zirudi tena! Hao dawa yao ni sugu tu!
 
mapenzi na chama yamekuletea upofu, eti CLOUDS wametangaza tu! Watu wengine wabishi aisee. Umekurupuka toka wapi mkuu!

Mapenzi ya chama gani? Kwa hiyo unataka kusema kitu kinaweza kuwekwa public zaidi ya mara moja?

Huna discipline ya kufikiri unataka kuwa political commentator!
 
Kibonde dozi anasahau muda aliopangiwa au wanamuova dozi siku hizi ma virusi yamemjaa.
 
YouTube haiwezi kutambua ubaya wa video inayokuwa uploaded mpaka mtu anayefahamu ubaya huo atoe taarifa.

Mwenye makosa ni yule aliyeiona video hiyo YouTube na kutambua madhara yake, kisha hakutoa taarifa kwa YouTube. Bali yeye akaamua kuipost na kushare na social media na blogs za kibongo. Hapo alionelea kwamba anabreak the news!

Kwa vyovyote vile Clouds hawana kosa hata kidogo katika kuicheza audio ya hiyo video. Hawana makosa. Hawana makosa. Hawana makosa. Ni unazi tu wa watu unaoghubika bongo zao kufikiri kimantiki zaidi.
 
Hivi ni kwanini usingependa Watanzania kuona hiyo video au kusikio hiyo audio?

Hujaniuliza mimi lakini nitakujibu na jibu lake ni rahisi kabisa. Jibu ni kwa sababu ni CHADEMA ndiyo iko matatani hapa. Ingekuwa ni CCM hizi lawama zisizo na kichwa wala miguu wala usingezisikia. Ambacho ungesikia ni heko kemkemu kwa yule au wale waliowezesha hiyo video kupatikana.
 
wewe ndiye hoja zako dhalili, hazina mashiko wala mantiki. Yaani unashabikia eti kwasababu JF imekosea basi CLOUDS nao wafuate mkumbo! Nani hapa kichwa nazi?.

Hakuna kosa lolote katika kuwekwa hadharani hiyo video. Kosa lililopo ni chuki yako ya kinazi ambayo inakufanya ushindwe hata kufikiri kwa kutumia akili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom