kweli kabisa wauaji wapo CDM na ndio waliomuua Kolimba na Nyerere. Pia CDM wanalitumia jeshi la polisi kuua watu kwani waliliagiza kumuua Mwangosi. Polisi hawa wameasi!
SIONI tatizo kwa lililofanywa na Clouds FM! Magazeti yote yameandika suala hili na wanachi wamesoma...wengi wao wapo kizani; hawana uhakika endapo kilichoandikwa ni sahihi au hapana coz' si wote wana access na internet! So, Clouds kurusha taarifa, kutawafanya watu wajue ukweli au uongo wa kile kilichoripotiwa! Kwa mtu anayefuatilia siasa za TZ, hawezi kushindwa kuifahamu sauti ya Lwakatare, kwahiyo kupata hiyo audio version itawapa nafasi ya kufahamu kama anasingizia au hapana! Wananchi wana haki ya kujua kama ambavyo watumiaji wa mitandao tulivyojua! By the way, swali langu linabaki pale pale...A black cat may be a bad luck only if you're mouse....wewe kama si panya huna sababu ya kutaharuki baada ya kusikia paka anakuja!! Kuitwa polisi na hata kuwekwa ndani kwa mwanasiasa, ni mambo ya kawaida....kama video imepikwa, itajulikana tu...hofu ya nini?!
mbona hii methali haina urari na tunachozungumza hapa?. Jaribu kufikiri!.
Kama Clouds kwa kuirusha audio ya Lwakatare ni kuchochea vurugu - kwa kutumia mantiki hiyo hiyo, ina maana vyombo vya habari vinavyotangaza kuhusu watoto na wanawake kubakwa - je, huko ni kuchochea zaidi ubakaji dhidi ya watoto na wanawake?
Je, vyombo vya habari vinavyotangaza habari za matukio ya kijambazi - ina maana kwa kufanya hivyo vinahamasisha zaidi hayo matendo ya ujambazi?
Kama Clouds kwa kuirusha audio ya Lwakatare ni kuchochea vurugu - kwa kutumia mantiki hiyo hiyo, ina maana vyombo vya habari vinavyotangaza kuhusu watoto na wanawake kubakwa - je, huko ni kuchochea ubakaji dhidi ya watoto na wanawake?
Je, vyombo vya habari vinavyotangaza habari za matukio ya kijambazi - ina maana kwa kufanya hivyo vinahamasisha zaidi hayo matendo ya ujambazi?
Kuna matukio kadhaa ya uhalifu huwa yanahusishwa kufanywa na watu fulani na matukio hayo kutangazwa hata na TV achilia mbali Radio lakini at the end of story, inakuja kugundulika kwamba mtuhumiwa hana hatia!!Nimefungulia radio na kumsikia Kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la Mwananchi juu ya polisi kumkamata Lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.
Duh, kwa hii mifano yako uelewa wako uko ngazi ya chini sana. Najishusha niwe level yako ili twende sawa lakini hunielewi. Sasa kodoa macho, chungulia ulichokiandika hapo juu kama kweli hujakurupuka. Jitulize, jibishana kwa hoja na fahamu kwamba wengine hapa hatuna mahaba na vyama. Sisi tunasimamia ukweli tu.
You tube;
You agree that you are solely responsible for (and that YouTube has no responsibility to you for) your use of the Service or any Pay Content, any breach of your obligations under the Pay Content Terms, and for the consequences (including loss or damage of any kind which YouTube may suffer) of any such breach.
Jamii forums;
JAMIIFORUMS shall not be liable for any statement, misstatement, inaccuracy or omission of any type for any content submitted by a site member or visitor on any forum. JAMIIFORUMS bears no responsibility for accuracy of comments of any participants and will bear no legal liability for discussion results.
Je clouds FM?
Labda warushaji wa matangazo wanafanya hivyo kama wao na si kama employees wa clouds FM
Napita tu...
Hao ni wachumia tumbo tu! Hao akina Kibonde na mabosi wao bila shaka watakuwa kwenye payroll ya Lumumba, kwa namna wanavyotekeleza kikamilifu, kazi ya propaganda, ya kuwachafua CDM!
Sasa, wananchi wakiingiza madarakani CDM kwa sanduku la kura mwaka 2015, sijui hao Clouds radio, sura zao wataziweka wapi? kwa kuwa ingawa radio yao wameibatiza jina la the people's station, lakini katika hali halisi ilipaswa kuitwa the no. 1 people's betrayal station!!
Acha kukwepa kujibu maswali yangu kwa kujikweza.
Kama unaweza kujibu jibu, kama huwezi sema.
Wamponda sana SUGU lakini ikabidi wamwangikie, wasilisahau hilo ,WaTZ wanataka mabadiliko hata kama yatakuwa na negative impact kwao kwa sababu wamechoka na watu wale wale wa kila siku. CCM ikikaa nje ya madaraka kwa miaka mitano tuu. Itakuwa ccm mpya sio ya wanguzi tena, hivyo tuakuana vyama vyenye kupigania maslahi ya wananchi.
huna credibility ya kujibishana namimi, mtafute Ritz akusaidie angalau yeye nimwelewa. Wewe pamoja na ukongwe wako humu jamvini ni mtupu, dhalili, haba na una ukwasi wa ulimbukeni!. Jirekebishe, jisahihishe aghalabu ipo siku utaufuma uelewa.