Safi sana,na ngoja iwekwe ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa wamemtoa jicho kibanda
Hata wamefanya maisha ya watanzania kuwa magumu, huduma mbovu za jamii, ufisadi, na wamesababisha ukosefu wa kinga za uwajibikaji na utawala wa sheria a.k.a rada , richmond, epa, twiga, jairo, nk mbaya sana si safi sana.