Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,556
- 21,694
huwa nakosa amani inapofika hatua ya kumuhusisha Mungu na hizi siasa zetu, sina uhakika na juu ya ulinganisho wake.Mungu hawezi kuwa pamoja na siasa za Tanzania hata siku moja! Siasa gani? Hizi zinazoendeshwa na Manyang'au wa Kisiasa?! Watu kama sisi tunaweza kuwa manipulated na wanasiasa lakini sio mungu!!