don-oba
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 1,387
- 680
- Thread starter
- #141
Mapenzi ya chama gani? Kwa hiyo unataka kusema kitu kinaweza kuwekwa public zaidi ya mara moja?
Huna discipline ya kufikiri unataka kuwa political commentator!
ndio, unaweza rudia kitu zaidi ya maramoja kukiweka public. Kwa mfano ile article ya Riz1 kukamatwa na madawa ya kulevya naweza kuipeleka tena public kupitia gazeti la UHURU.