Ilishawekwa JF.
JF Tayari ni public domain.
Kama unataka kulalamikia audio clip kuwekwa kwenye public domain anza na aliyeiweka JF.
Huwezi kuacha mtu mmoja kaweka kitu katika public domain, ukambalasa mwingine aliyekichukua katika public domain na kukisambaza katika public domain zaidi.
Kwa sheria gani?
Hii ni habari, Clouds ni wanahabari.
Kwa nini unataka kuminya uhuru wa vyombo vya habari.
Granted, Clouds is a house of madness, lakini, mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Kama hakuna sababu muhimu ya kufanya tofauti, mara zote nasimamia uhuru wa vyombo vya habari.
Hata kama chombo chenyewe sikifagilii kama Clouds FM.