CLOUDS FM warusha live clip ya Lwakatare

CLOUDS FM warusha live clip ya Lwakatare

Status
Not open for further replies.
Ni bora kujua kama hujui kuliko kudhani unajua kumbe haujui na kwa kufanya hivi, utajifunza mengi.

Kuna watu hapa JF ukizisoma hoja zao zinachekesha kama siyo kusikitisha.

Kweli Tanzania bado tuko nyuma sana.
 
Kibonde anatafuta pa kushibia,cdm tukiingia ikulu ataenda uamishoni Southern Sudan tukamlimishe mpunga kule
 
hacha kujifanya chizi...tangu lini ukazuia video youtube??..video ukishaupload huwezi kuizuia..jf wana uwezo gani wa kucontrol youtube??..

JF wanauwezo wa kutokuruhusu hiyo video kutundikwa kwenye tovuti yao. Jingine?
 
Kwa hl la Lwakatare Chadema mmeshikwa vibaya kwn tatizo lililopo ni Watz wengi mamburula hivyo ukijumlisha na propaganda za media kuaminika ni very easy. Anyway hebu tuwe na subira tuone mwisho wake nn! Ila hii ishu nzito kueleweka kirahisi rahisi tu.
omba radhi kuwaita watanzania mburula.
Mbulrula ni wale wanaodhani watanzania ni wajinga kiasi hicho.ukisema watanzania ni waoga na wanafiki nitakuelewa.Kwa CLOUDS kutangaza clip hii nawapa heko na naviomba vingine hasa vilivyo huru vitangaze habari hii maana ni one step towards ukombozi.
Binafsi nawashangaa wanaCDM na wapenda mabadiriko kwa kutapatapa juu ya clip hii.Natoa ombi rasmi kwa watengenezaji na wasambazaji wa hii clip warelease angalau kama saba mfululizo yaani bandua bandika.
 
yaan hata hujui...ni jf au goutube?..km hujui video ukisha upload huwezi kuizuia mana kila mtu anakuwa na acces nayo..ungemlaumu aliyeupload...ni makosa kwa clouds kucheza video kwa kisingizio eti iko youtube..nia ni kuchafua si kutoa habari na kujenga chuki dhidi ya anayetuhumiwa...

what?!!
 
C wajuwa tena "ma MC iyena iyena"


Ukuu wa wilaya hauji hvi hvi, unapiganiwa ati hata ikiimanisha kukurupuka ilimradi uonekane waitetea CCM.
 
Sio sahihi hata kidogo,inshu iko polisi bado haijathibitika ni kweli.je ikithibitka ni video ya kugushi ?lengo lao ni kutimiza nia ya CCM kuipiga propaganda chafu CDM.wanajua watu wengi wanasikiliza hivyo wenye upeo mdogo wataamini ambao ni wengi. Na itakapo kuja kuthibitika ni uongo utawaona watapiga kimya wangese sana hao vibonde!
 
Tatizo liko wape? Kwenye video clip au maneno waliyochangia watangazaji?

Sent using wireless by wire
 
Jamani Kibonde anaumwa, na wenye ugonjwa huo WANAONGEA HAO kama nini!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom