CLOUDS FM warusha live clip ya Lwakatare

CLOUDS FM warusha live clip ya Lwakatare

Status
Not open for further replies.
Mimi nimesema tokea asubuhi nasema clouds wanafanya makosa kurusha kitu ambacho hawana uhakika nacho

Wewe subiri watajuta kurusha hii clip

Prof Nkoma kaa tayari kwa hii sokomoko
 
ukilala chadema,ukiamka chadema unaota chadema poleni sana 2015 sio mbali
 
ukilala chadema,ukiamka chadema unaota chadema poleni sana 2015 sio mbali
 
Mimi nimesema tokea asubuhi nasema clouds wanafanya makosa kurusha kitu ambacho hawana uhakika nacho

Wewe subiri watajuta kurusha hii clip

Prof Nkoma kaa tayari kwa hii sokomoko

Na polisi wamefanya vibaya sana kumhoji mtu ambaye hawana uhakika naye.

Wewe subiri tu, watashitakiwa mahakani walipe fidia kubwa sana.
 
Great Thinkers wanashangilia hii video kuwekwa hapa JF lakini wanataka Clouds FM wasiitangaze?

That's a double standard. Kama haifai kutangazwa na Clouds ina maana haifai kuwekwa JF pia.
 
Hahahahahahahahah
waulize tcra kuhusu sheria za ku deal na social medias zitawekwa lini? Japo juzi wamesign!


Hivi ni sahihi kwa JF kuendelea kuiachia hiyo video kwenye huu uzi?

Nasema JF infungiwe mara moja kwa kukiuka maadili ya Mtanzania.
 
Hao ni wachumia tumbo tu! Hao akina Kibonde na mabosi wao bila shaka watakuwa kwenye payroll ya Lumumba, kwa namna wanavyotekeleza kikamilifu, kazi ya propaganda, ya kuwachafua CDM!

Sasa, wananchi wakiingiza madarakani CDM kwa sanduku la kura mwaka 2015, sijui hao Clouds radio, sura zao wataziweka wapi? kwa kuwa ingawa radio yao wameibatiza jina la the people's station, lakini katika hali halisi ilipaswa kuitwa the no. 1 people's betrayal station!!
 
Hahahahahahahahah
waulize tcra kuhusu sheria za ku deal na social medias zitawekwa lini? Japo juzi wamesign!

What's not good for the gander should not be good for the goose.

Kama ni vibaya kwa Clouds kurusha audio ya hiyo video basi ni vibaya kwa JF na media outlet (new, social, or traditional) kuirusha pia.
 
Safi sana,na ngoja iwekwe ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa wamemtoa jicho kibanda

Msitufanye wajinga!Basi hata video ya mauaji ya Daudi Mwangosi nayo iwekwe hewani alafu tuone kama kuna mtu atakamatwa au kuhojiwa!

Uhuru wa vyombo vya habari hapa bongo ni wa kinafiki!Jiulize hii clip ingehusu viongozi wa chama tawala ingefika hapa ilipofika au kuna kiongozi yeyote wa chama tawala angekamatwa?

Zile picha za mauaji ya Mwangosi si ulikuwa ushahidi tosha ila mbona hakuna aliekamatwa wala kuhojiwa?

Binafsi, sipingi Lwakatare kuhojiwa, ila napinga huu "unafiki" na hii "doule standard" ya kijinga.
 
Safi sana,na ngoja iwekwe
ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda
kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa
wamemtoa jicho kibanda
Umesahau na kule Singida, Ndago kweli ni wauwaji hao Mwigulu na Nepi, na propaganda zao za mauwaji.
 
tuwaambie vijana clouds ni adiu wa mageuzi no 2 baada ya ccm
 
..Ndo maana tukasema chadema wajiandae kutoa tamko! Hii single itahit platnum mwez huu!
 
Nimefungulia radio na kumsikia Kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la Mwananchi juu ya polisi kumkamata Lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.
anaweza kupelekwa ze heg (Hague) kwa kutoa video ya uchochezi, hata huyo aliye i load kwenye u tube, huku akijuwa wazi ni fake.
rejea yule mtangazaji wa kenya kule rift valley. shule muhimu jamani
 
Kile ni kituo cha habari mbali na mengineyo

Na ile ni habari

Almuhimu ni watakavyoiwasilisha tu.
 
Kibonde Kibonde huwa anashadadia sana mambo nmemsikiza nakumshit tu mana hajui alitendalo! Ukweli utapatikana na baadhi ya watu wataficha nyuso zao
 
KAMA VITA ITATOKEA TANZANIA clouds fm watakua Wamechochea kwa 100%.TCRA fungia kituo hiki mapema
 
Aliyeirecord hiyo video ajitokeze tuone! Tofauti na hapo polisi wasifanyie kazi kesi isiyo na mshitaki!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom